Civil Engineering- St. Joseph University in Tanzania

We civil soma ipo poa but hicho chuo nacho mizinguo,wahindi wafanya biashara hao,ada kubwa kinyama
 
Wacha kumpotosha mwenzako.ada kubwa c ni kwa sababu ya kozi kuitaji vifaa Vingi vya kujifunzia na man power yenye elimu kubwa ..!!!hiki sio chuo cha umma ujue.pale ni pazuri sana.vilaza wanapakimbiaga maana mziki wake sio wakitoto.na ukitoka pale we ni engineer mzuri sana.kapge shule kijana umewekwa pahala salama
 
Acha uwehu wewe,nimempotosha nini?kuna vyuo vingapi vya private civil engineering ada ya kawaida,mfano SAUT so acha kukurupuka bwana mdogo,Mimi bench yangu waliofeli wote walikwenda st Joseph saiv unataka kusema mziki c wa kitoto,wadanganye uliokua huwajui mimi nitakuumbua bure,na usitake niseme mengi nikamkatisha tamaa Dogo,mtaishia kuwa vibarua tu
 
Wacha kumpotosha mwenzako.ada kubwa c ni kwa sababu ya kozi kuitaji vifaa Vingi vya kujifunzia na man power yenye elimu kubwa ..!!!hiki sio chuo cha umma ujue.pale ni pazuri sana.vilaza wanapakimbiaga maana mziki wake sio wakitoto.na ukitoka pale we ni engineer mzuri sana.kapge shule kijana umewekwa pahala salama

Kuna div 4 kibao pale zilizoingia kwa pre entry kabla haijaja central admission system,kuna mmoja anaitwa epafras nakuapia kwa mungu hana principal hata moja ana S zote PCB plus bam then useme vilaza wanapakimbia,pale hakuna div 1 wala 2 ya PCM then useme wanasoma vipanga,kama hao wa 3 na 4 ndio vipanga basi UDSM,DIT,ARU,UDOM wanasoma kina Albert Einstern
 
Kka engineering pale iko poa sna,,, civil watu 45 walomaliza akat nipo 2nd yr kila nae contact nae ana ajira tayar
 
duuh kumbe kazi ipo bhas. So kifupi elimu yake inazingua?

Nah nenda kasome sema ujiandae kulipia ada kuanzia M1 kwenda juu hata kama una mkopo 100% coz kama sikosei ada ni 2.5 kama haizidi now,then wana sheria shule kama ya msingi, but ukisoma ukitoka na kitu kichwani bas ajira hukosi
 
Kuna div 4 kibao pale zilizoingia kwa pre entry kabla haijaja central admission system,kuna mmoja anaitwa epafras nakuapia kwa mungu hana principal hata moja ana S zote PCB plus bam then useme vilaza wanapakimbia,pale hakuna div 1 wala 2 ya PCM then useme wanasoma vipanga,kama hao wa 3 na 4 ndio vipanga basi UDSM,DIT,ARU,UDOM wanasoma kina Albert Einstern

MBNA povu linakutoka hivyo??adi unashindwa kupangilia point yako!!so ajabu na wewe una dv4 na umesoma pale ndo maana unapajua!!!ckia nikwambie.mfumo wetu Wa elimu tangu awali adi chuo haumpi mwanafunzi nafasi ya kujaribu kutimiza ndoto zake.vyuo vyote hasa vya masomo ya sayansi.na hakuna mbadala Wa alieshindwa kufikisha marks Fulani basi atengenezwe vip aje kuwa anavyowaza.wale wahindi wameliona hill na wanawapa vijana Wa kitanzania nafasi ya kutimiza ndoto zao.naomba ukae utilize akili yako ujipe uwezo mpana Wa kufikili sio unalopoka tu.ninao vijan wengi sana Wa chuo kile.wanafanya vizuri SNA kuliko hao wwngine wanaokuja Wa vyuo vingine wamekalili maformula tu.utendaji bure kabisa
 
Ssa kumbe alisoma pre etry,,,
Hahahahahhahahah....
Kka badilika ukisoma pre etry hapo ndo unapata vigezo vya kuchukua shahada n matokeo ya pre entry hupelekwa tcu,,, yanakua converted n wanaangalia ka unavigezo vya kuingia bach,, ss kma ingekua pale kuna vilaza huyo mwehu mwenzako alipata s zote angeingia bach moja kwa moja
 
Kuna div 4 kibao pale zilizoingia kwa pre entry kabla haijaja central admission system,kuna mmoja anaitwa epafras nakuapia kwa mungu hana principal hata moja ana S zote PCB plus bam then useme vilaza wanapakimbia,pale hakuna div 1 wala 2 ya PCM then useme wanasoma vipanga,kama hao wa 3 na 4 ndio vipanga basi UDSM,DIT,ARU,UDOM wanasoma kina Albert Einstern

Hao vipanga unaowasema Wa vyuo vingine unavyovijua wewe ndo hapo baadae wanakuja kua wahasibu wetu.kule shuls znawashinda kutokana na mfumo uliopo Wa kukomoana.matokeo yake wanakimbia na kua wahasibu.ila hawa wakawaida wanaochukuliwa pale wanasoma kwa bidii sana na mwisho Wa siku wanafanya vizuri sana.jaribu kutembea nchi za wenzetu au hata peleleza elimu yao na jinsi vijana wanavyoibukia ktk sayansi jinsi wanavyopatikana.hakuna elimu ya kukomoana.ni almost the same SJU wanavyofanya.
 
MBNA povu linakutoka hivyo??adi unashindwa kupangilia point yako!!so ajabu na wewe una dv4 na umesoma pale ndo maana unapajua!!!ckia nikwambie.mfumo wetu Wa elimu tangu awali adi chuo haumpi mwanafunzi nafasi ya kujaribu kutimiza ndoto zake.vyuo vyote hasa vya masomo ya sayansi.na hakuna mbadala Wa alieshindwa kufikisha marks Fulani basi atengenezwe vip aje kuwa anavyowaza.wale wahindi wameliona hill na wanawapa vijana Wa kitanzania nafasi ya kutimiza ndoto zao.naomba ukae utilize akili yako ujipe uwezo mpana Wa kufikili sio unalopoka tu.ninao vijan wengi sana Wa chuo kile.wanafanya vizuri SNA kuliko hao wwngine wanaokuja Wa vyuo vingine wamekalili maformula tu.utendaji bure kabisa

Nitoke povu kwa st Joseph?hahaha,kijana mimi nilifaulu ndio maana sikwenda hapo,ningekua na three na four ningekuja hapo but sikupata hizo,pia wahindi wafanya biashara tu ndio maana wanawalazimisha lazima hela ya mkopo wawaingizie exim bank?au naongopa?washkaj zangu wapo pale wanalalamika kila Leo,wewe limbukeni wa chuo ndio unaona umefika peponi
 
Wadau mi nimechaguliwa st. Joseph- civil engineering. Wakati nafanya application kulikuwa na contradiction miongon mwa walionishauri. Wengine wanasema sio pazuri na wengine wanasema ni pazuri. Wengine wakaniambia civil haina ajira bora nichague education bt civil ndo ilikuwa ndoto zangu. Naomba kwa anaekifahamu vizuri hiki chuo na hyo kozi ya civil ni pazuri?

naona wengi wanachangia kutokana na kile walichokisikia au kuambiwa, mi nachangia sababu nimepitia moja ya taasisi zao hao wahindi.. ukwel ni huu, pale kwel wenye ufaulu wa chini ni wengi lakin pia wenye ufaulu wa juu wapo, na kuwa na wanafunzi wenye dvsn 4 au 3 sio kipimo cha umbumbumbu wao, wapo wenye one na wanaranda randa mtaani. kile chuo wanautaratibu wa kuchukua watu kila aina ila wale wenye ufaulu wa chini mnapitia pre entry na ukifeli haujiung na main koz ila ukifaulu unaingia main koz.. Lakin kwenye ishu ya elim jamaa wako ver serious pale na wanasheria nying za ajabu ambazo ukiteleza kidogo jua haumaliz chuo pale, lakin wanatoa shule nzuri tu na aliesema wengi wataishia vibarua sawa ni mawazo yake ila tutakiwa kujua elim ni ishu nyingne na kupata kazi ni ishu nyingne na ni majaliwa. lakin weng nawajua wametoka pale wapo makazin tayar.
 
Hao vipanga unaowasema Wa vyuo vingine unavyovijua wewe ndo hapo baadae wanakuja kua wahasibu wetu.kule shuls znawashinda kutokana na mfumo uliopo Wa kukomoana.matokeo yake wanakimbia na kua wahasibu.ila hawa wakawaida wanaochukuliwa pale wanasoma kwa bidii sana na mwisho Wa siku wanafanya vizuri sana.jaribu kutembea nchi za wenzetu au hata peleleza elimu yao na jinsi vijana wanavyoibukia ktk sayansi jinsi wanavyopatikana.hakuna elimu ya kukomoana.ni almost the same SJU wanavyofanya.

Wewe jipe moyo lakini cjawahi kuckia engineer aliemaliza st Joseph akasimamia miradi mikubwa,wewe ulifeli ndio maana ulikwenda kule,waliofaulu unajua wapo wapi saiv
 
Kuna div 4 kibao pale zilizoingia kwa pre entry kabla haijaja central admission system,kuna mmoja anaitwa epafras nakuapia kwa mungu hana principal hata moja ana S zote PCB plus bam then useme vilaza wanapakimbia,pale hakuna div 1 wala 2 ya PCM then useme wanasoma vipanga,kama hao wa 3 na 4 ndio vipanga basi UDSM,DIT,ARU,UDOM wanasoma kina Albert Einstern

Bila kupepesa macho, inawezekana wakawa wanatoa batch nzuri za graduates labda kama wanafundisha vizuri. Lakini entry point huwa za chini. Ukiwa na za juu pia wanachukua. Nayasema haya siyo kwa kubeza lakini kuna watu tena jamaa zangu wengi walitoswa UDSM, MUST na DIT wakajisalimisha pale.Ila mwisho wa siku wote wamemaliza na wanapiga mzigo kama kawa na wengi tulikutana pale Mlimani City siku ya Wahandisi! So dogo kasome tu. Kama hao hao wanaoonekana walipata alama za kawaida ERB imewakubali na kuwapa leseni wengine kula kiapo itakuwa hizi porojo tu za mitandaoni zisikukatishe tamaa!
 
mimi nasoma hapa nipo mwaka wa tatu civil engineering,,ukweli ni kwamba tupo vizuri usiwasikilize watu wasiokifahamu hiki chuo,,

.kuanzia mwaka wa kwanza hadi wa tatu utafundishwa practical zote za civil unazozijua hapa duniani tena kwa vitendo
mimi nipohapa nimeona uzuri wa hiki chuo,,watanzania acheni majungu,,ila kwa upande wa ada ni kweli ipo juu kutokana na sifa za fani zenyewe
 
mwisho nina hamu sana kukutana na mwanafunzi wa udsm kwenye ajira,,nione kitu gani amenizidi mimi wa st joseph
 
Ivi na zile tetesi za priority ya chuo kwenye ajira ni za kweli? Yaan kupewa au kunyimwa ajira kutokana na chuo ulichosomea. Na je inaweza ikaniathiri nikisomea st. Joseph?
 
mimi nasoma hapa nipo mwaka wa tatu civil engineering,,ukweli ni kwamba tupo vizuri usiwasikilize watu wasiokifahamu hiki chuo,,

.kuanzia mwaka wa kwanza hadi wa tatu utafundishwa practical zote za civil unazozijua hapa duniani tena kwa vitendo
mimi nipohapa nimeona uzuri wa hiki chuo,,watanzania acheni majungu,,ila kwa upande wa ada ni kweli ipo juu kutokana na sifa za fani zenyewe[/QUOTE mwasambili nakuoeamba tukutane PM kuna jambo nataka kuongea nawe!
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom