Reagany Mchome
Member
- Sep 14, 2014
- 65
- 45
!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
We civil soma ipo poa but hicho chuo nacho mizinguo,wahindi wafanya biashara hao,ada kubwa kinyama
Wacha kumpotosha mwenzako.ada kubwa c ni kwa sababu ya kozi kuitaji vifaa Vingi vya kujifunzia na man power yenye elimu kubwa ..!!!hiki sio chuo cha umma ujue.pale ni pazuri sana.vilaza wanapakimbiaga maana mziki wake sio wakitoto.na ukitoka pale we ni engineer mzuri sana.kapge shule kijana umewekwa pahala salama

duuh kumbe kazi ipo bhas. So kifupi elimu yake inazingua?
Kuna div 4 kibao pale zilizoingia kwa pre entry kabla haijaja central admission system,kuna mmoja anaitwa epafras nakuapia kwa mungu hana principal hata moja ana S zote PCB plus bam then useme vilaza wanapakimbia,pale hakuna div 1 wala 2 ya PCM then useme wanasoma vipanga,kama hao wa 3 na 4 ndio vipanga basi UDSM,DIT,ARU,UDOM wanasoma kina Albert Einstern

MBNA povu linakutoka hivyo??adi unashindwa kupangilia point yako!!so ajabu na wewe una dv4 na umesoma pale ndo maana unapajua!!!ckia nikwambie.mfumo wetu Wa elimu tangu awali adi chuo haumpi mwanafunzi nafasi ya kujaribu kutimiza ndoto zake.vyuo vyote hasa vya masomo ya sayansi.na hakuna mbadala Wa alieshindwa kufikisha marks Fulani basi atengenezwe vip aje kuwa anavyowaza.wale wahindi wameliona hill na wanawapa vijana Wa kitanzania nafasi ya kutimiza ndoto zao.naomba ukae utilize akili yako ujipe uwezo mpana Wa kufikili sio unalopoka tu.ninao vijan wengi sana Wa chuo kile.wanafanya vizuri SNA kuliko hao wwngine wanaokuja Wa vyuo vingine wamekalili maformula tu.utendaji bure kabisa
Wadau mi nimechaguliwa st. Joseph- civil engineering. Wakati nafanya application kulikuwa na contradiction miongon mwa walionishauri. Wengine wanasema sio pazuri na wengine wanasema ni pazuri. Wengine wakaniambia civil haina ajira bora nichague education bt civil ndo ilikuwa ndoto zangu. Naomba kwa anaekifahamu vizuri hiki chuo na hyo kozi ya civil ni pazuri?
Hao vipanga unaowasema Wa vyuo vingine unavyovijua wewe ndo hapo baadae wanakuja kua wahasibu wetu.kule shuls znawashinda kutokana na mfumo uliopo Wa kukomoana.matokeo yake wanakimbia na kua wahasibu.ila hawa wakawaida wanaochukuliwa pale wanasoma kwa bidii sana na mwisho Wa siku wanafanya vizuri sana.jaribu kutembea nchi za wenzetu au hata peleleza elimu yao na jinsi vijana wanavyoibukia ktk sayansi jinsi wanavyopatikana.hakuna elimu ya kukomoana.ni almost the same SJU wanavyofanya.
Kuna div 4 kibao pale zilizoingia kwa pre entry kabla haijaja central admission system,kuna mmoja anaitwa epafras nakuapia kwa mungu hana principal hata moja ana S zote PCB plus bam then useme vilaza wanapakimbia,pale hakuna div 1 wala 2 ya PCM then useme wanasoma vipanga,kama hao wa 3 na 4 ndio vipanga basi UDSM,DIT,ARU,UDOM wanasoma kina Albert Einstern
mimi nasoma hapa nipo mwaka wa tatu civil engineering,,ukweli ni kwamba tupo vizuri usiwasikilize watu wasiokifahamu hiki chuo,,
.kuanzia mwaka wa kwanza hadi wa tatu utafundishwa practical zote za civil unazozijua hapa duniani tena kwa vitendo
mimi nipohapa nimeona uzuri wa hiki chuo,,watanzania acheni majungu,,ila kwa upande wa ada ni kweli ipo juu kutokana na sifa za fani zenyewe[/QUOTE mwasambili nakuoeamba tukutane PM kuna jambo nataka kuongea nawe!