Civil Engineering- St. Joseph University in Tanzania

Wadau mi nimechaguliwa st. Joseph- civil engineering. Wakati nafanya application kulikuwa na contradiction miongon mwa walionishauri. Wengine wanasema sio pazuri na wengine wanasema ni pazuri. Wengine wakaniambia civil haina ajira bora nichague education bt civil ndo ilikuwa ndoto zangu. Naomba kwa anaekifahamu vizuri hiki chuo na hyo kozi ya civil ni pazuri?

karibu bwana mdogo,maelezo yangu ni mengi mno lakini tafadhali yasome yote hii ni kwaajili ya kufukia mashimo ya wanaopotosha kuwa st.joseph ni chuo cha fm6 failures yatakusaidia sana kuclear doubts zako nyingi
mimi nipo pale tangu mwaka 2012,ni kweli wanafunzi wengi wanaosoma pale wana ufaulu wa pts 14,15,16 na 17(hiz n points za zamani)
hakuna chuo chochote kinachojipangia marks kwa ajili ya kudahili wanafunzi wa degree bila kuwa approved na TCU,kwaiyo kulingana na mashariti ya tcu minimum requirements zinazotakiwa kwa mwanafunzi kusoma degree ni principal(E) mbili,ambapo kwa hesabu ya haraka ni kitu ambacho hakiwezekani kwa mtu mwenye dvsn four ya pts 18 kuwa na izo principal pass mbili kwaiyo ni upotoshaji tena udhalilishaji kwa taasisi ya Tcu kuisingizia kuwa inadahili wanafunzi wenye dvsn 4 na kuwapeleka st.joseph,sababu wanafunzi wa st.joseph hudahiliwa na tcu yenyewe
Tcu ndio walioanzisha utaratibu wa pre entry na kuviruhusu vyuo vyote vinavyotaka kuendesha programu hiyo vidahali wanafunzi wenye ufaulu usio na principal mbili lakini angalau wawe na principal moja na subsiduary moja na program iendeshwe kwa kipindi cha miezi mitatu kisha chuo kitume majina tcu kwa ajili ya wanafunzi hao kuwa approved na kuruhusiwa kusoma degree,kwaiyo aliyedai kuwa st.joseph kuna wanafunzi wenye S flat fm6 amelipotosha jukwaa na tena ameidhalilisha tcu
Mwaka 2012 tcu iliufuta utaratibu wa pre entry ya miezi mitatu na kuanzisha utaratibu wa post fm 6 certificate ambapo badala ya wanafunzi wasio na principal 2 kusoma miezi mitatu,ilitakiwa wasome mwaka mzima na kisha baada ya hapo wanapewa cheti then wanaopt kuendelea kusoma degree palepale st.joseph ama wanajiunga na vyuo vingine kupitia central admission,na kuthibitisha hilo wanafunzi wa batch ya 1 kupitia program walidahiliwa ktk vyuo vya MZUMBE,NIT,MUST,SAUT na pia kuna wanafunzi waliosoma hiyo program mwaka huu wamedahiliwa UDSM,DIT,ARDHI na SUA kwaiyo wale mnaodai eti st.joseph ni chuo cha kichochoroni naomben kuanzia sasa mtambue kuwa udsm,dit,ardhi,sua,mist na mzumbe navyo ni vyuo vya kata kwa sababu wamekubali kudahili makapi na matakataka toka st.joseph ambao walifeli fm6
kuhusu ada kulinganisha st.joseph na saut siyo haki,sababu saut ina ada ndogo kuliko vyuo vyote vya serikali ukiondoa udom,hii ni sababu ni chuo cha muda mrefu na kina ruzuku kubwa toka serikalini,naomba tulinganishe ada ya st.joseph na ada ya st.john pamoja na tumaini ambavyo navyo ni vyuo vya private,ada ya education st.john ni 1.6 mil,ada ya education tumain 1.6 mil,ada ya education kampala n 2.2 mil,ada ya education st.joseph ni 1.75 mil,sasa unapata wapi ujasiri wa kuwaita wahindi matapeli wakati wana ada sawa na vyuo vingine vya private ambavyo ni vya wazawa???
Sawa ada ya st.joseph kwa engineering ni 2.75 mil,hii ni kwa sababu engineering n kozi zinazodemand practical na facilities zenye gharama kubwa na hata walimu pia wanademand mishahara mikubwa na ikumbukwe kuwa st.joseph ni chuo pekee cha private kwa engineering tz,saut wameanzisha civil na electrical mwaka jana na wanachukua wanafunzi wachache wasiozid 40,ili kukwepa gharama za kuendesha koz,maana yake ata tumaini leo wakianzisha engineering ada yao itakuwa kati ya 2.5-3.0 mil
All in all dogo karibu,nimeongea mengi lakin changamoto apa zipo,sheria ni kali,kwa muhindi no discipline no academic perfomance,ni pindi kuanzia asubuh mpaka saa tisa,na ole wako attendance yako darasan ikiwa chin ya 85% hufanyi mtihan wa semester,kila mwezi kuna CAT,assignments na mitihan ni mingi mno,hurusiwi kuvaa sendoz maeneo ya chuo,kama wewe ni sharobaro apa utapata taabu ni mwiko kuvaa kihuni ukiwa chuoni,then nakushauri ufungue akaunti exim bank lasivyo bumu utalisikia kwenye bomba
 
Vp? Sikuhizi st.joseph hamsomi kama primary yani asubuhi mpaka jioni mpo darasani pamoja nakuitwa majina kama watoto wa shule y msingi au mmeacha.
 
Niliposema kuna mtu ana S flat amesoma degree hapo sijakurupuka maana mimi namjua physically na kama wewe upo st joseph niambie nakuPM namba yangu then nakupa jina la huyo mkaka na namba yake ya simu umtafute ndio utajua ukweli, na hakuna kapi hata moja la st Joseph lililokwenda DIT,UDSM,ARDHI nk,then nakuuliza swali la kizushi,naomba unitaftie lecturer yeyote tutorial assistant au assistant lecturer anaefundisha UDSM,ARDHI,DIT,MUST,ATC,ukimpata kuna zawadi yako,wao si ndio wanatoka chuo bora,but mimi ukiwataka products za UDSM na vyuo vengine vinavyojulikana wanafundisha huko kwenu st Joseph?au nadanganya pale hamna lecturer kutoka UDSM?
 
Jibu ni rahisi tu. Wapo wengi nawajua wanatoka CoET na DIT wanafundisha pale St Joseph. Kama kuna mtu anabisha tunasema ubishi ni kuzoea
 
Niliposema kuna mtu ana S flat amesoma degree hapo sijakurupuka maana mimi namjua physically na kama wewe upo st joseph niambie nakuPM namba yangu then nakupa jina la huyo mkaka na namba yake ya simu umtafute ndio utajua ukweli, na hakuna kapi hata moja la st Joseph lililokwenda DIT,UDSM,ARDHI nk,then nakuuliza swali la kizushi,naomba unitaftie lecturer yeyote tutorial assistant au assistant lecturer anaefundisha UDSM,ARDHI,DIT,MUST,ATC,ukimpata kuna zawadi yako,wao si ndio wanatoka chuo bora,but mimi ukiwataka products za UDSM na vyuo vengine vinavyojulikana wanafundisha huko kwenu st Joseph?au nadanganya pale hamna lecturer kutoka UDSM?

Hahahahahahahahaaaaaa unatoa kamasi kwenye meno kusikia udsm,mzumbe,ardhi na misit zina makapi ya st.joseph?? Tena ambao hawakuwa na ufaulu wa kuwawezesha kuingia direct chuo kikuu??
Sijakurupuka katika hili na namba za simu zipo,ofisi za tcu na nacte zipo mikochen kama nimedanya basi naruhusu admin unipige ban!
 
Wewe ni secretary wa tcu??uache uongo,mbona mimi sisomi na hata mmoja zaidi ya mmoja aliesoma diploma huko ila anapelekwa puta pale mpaka tunamuonea huruma,tunamsaidia kumpa chabo ili maisha yaende,tena huyo alisona diploma sio pre entry
 
wenye S flat wapo tena wengi tuu ila hawasomi degree,wanasoma diploma miaka mitatu wakimaliza diploma ndio wanajiunga na degree kwa qualification za diploma na sio za cheti kichafu cha fm6 chenye s na f,na huyo jamaa yako mwenye cheti kichafu cha fm6,anasoma degree pale baada ya kumaliza diploma kama huamin muulize ni lini alimaliza fm6
 
Acha kukurupuka wewe soma vizuri post uone batch ya kwanza ya iyo post form six certificate ilikuwa ni lini,na ukimaliza iyo kozi chuo chochote unachoenda unaenda kuanza mwaka wa kwanza na sio mwaka wa pili kama diploma holders
 
Ckia we Punga,usibishe vitu usivovijua,amemaliza form 6 2008 na 2010 akaingia hapo,na amegraduate,alisoma miezi mi3 ya pre entry,mimi siwez kubishana na kitu nisichokijua,
 
Yote kwa yote, kasoro zilizotajwa hapa wenye chuo wazishughulikie. Kila jambo mwanzo ni mgumu. Nawapongeza wenye chuo kwa kuongeza wigo idadi ya watu wenye tasnia ya Uhandisi nchini Tanzania. Ni good movie!
 
karibu bwana mdogo,maelezo yangu ni mengi mno lakini tafadhali yasome yote hii ni kwaajili ya kufukia mashimo ya wanaopotosha kuwa st.joseph ni chuo cha fm6 failures yatakusaidia sana kuclear doubts zako nyingi
mimi nipo pale tangu mwaka 2012,ni kweli wanafunzi wengi wanaosoma pale wana ufaulu wa pts 14,15,16 na 17(hiz n points za zamani)
hakuna chuo chochote kinachojipangia marks kwa ajili ya kudahili wanafunzi wa degree bila kuwa approved na TCU,kwaiyo kulingana na mashariti ya tcu minimum requirements zinazotakiwa kwa mwanafunzi kusoma degree ni principal(E) mbili,ambapo kwa hesabu ya haraka ni kitu ambacho hakiwezekani kwa mtu mwenye dvsn four ya pts 18 kuwa na izo principal pass mbili kwaiyo ni upotoshaji tena udhalilishaji kwa taasisi ya Tcu kuisingizia kuwa inadahili wanafunzi wenye dvsn 4 na kuwapeleka st.joseph,sababu wanafunzi wa st.joseph hudahiliwa na tcu yenyewe
Tcu ndio walioanzisha utaratibu wa pre entry na kuviruhusu vyuo vyote vinavyotaka kuendesha programu hiyo vidahali wanafunzi wenye ufaulu usio na principal mbili lakini angalau wawe na principal moja na subsiduary moja na program iendeshwe kwa kipindi cha miezi mitatu kisha chuo kitume majina tcu kwa ajili ya wanafunzi hao kuwa approved na kuruhusiwa kusoma degree,kwaiyo aliyedai kuwa st.joseph kuna wanafunzi wenye S flat fm6 amelipotosha jukwaa na tena ameidhalilisha tcu
Mwaka 2012 tcu iliufuta utaratibu wa pre entry ya miezi mitatu na kuanzisha utaratibu wa post fm 6 certificate ambapo badala ya wanafunzi wasio na principal 2 kusoma miezi mitatu,ilitakiwa wasome mwaka mzima na kisha baada ya hapo wanapewa cheti then wanaopt kuendelea kusoma degree palepale st.joseph ama wanajiunga na vyuo vingine kupitia central admission,na kuthibitisha hilo wanafunzi wa batch ya 1 kupitia program walidahiliwa ktk vyuo vya MZUMBE,NIT,MUST,SAUT na pia kuna wanafunzi waliosoma hiyo program mwaka huu wamedahiliwa UDSM,DIT,ARDHI na SUA kwaiyo wale mnaodai eti st.joseph ni chuo cha kichochoroni naomben kuanzia sasa mtambue kuwa udsm,dit,ardhi,sua,mist na mzumbe navyo ni vyuo vya kata kwa sababu wamekubali kudahili makapi na matakataka toka st.joseph ambao walifeli fm6
kuhusu ada kulinganisha st.joseph na saut siyo haki,sababu saut ina ada ndogo kuliko vyuo vyote vya serikali ukiondoa udom,hii ni sababu ni chuo cha muda mrefu na kina ruzuku kubwa toka serikalini,naomba tulinganishe ada ya st.joseph na ada ya st.john pamoja na tumaini ambavyo navyo ni vyuo vya private,ada ya education st.john ni 1.6 mil,ada ya education tumain 1.6 mil,ada ya education kampala n 2.2 mil,ada ya education st.joseph ni 1.75 mil,sasa unapata wapi ujasiri wa kuwaita wahindi matapeli wakati wana ada sawa na vyuo vingine vya private ambavyo ni vya wazawa???
Sawa ada ya st.joseph kwa engineering ni 2.75 mil,hii ni kwa sababu engineering n kozi zinazodemand practical na facilities zenye gharama kubwa na hata walimu pia wanademand mishahara mikubwa na ikumbukwe kuwa st.joseph ni chuo pekee cha private kwa engineering tz,saut wameanzisha civil na electrical mwaka jana na wanachukua wanafunzi wachache wasiozid 40,ili kukwepa gharama za kuendesha koz,maana yake ata tumaini leo wakianzisha engineering ada yao itakuwa kati ya 2.5-3.0 mil
All in all dogo karibu,nimeongea mengi lakin changamoto apa zipo,sheria ni kali,kwa muhindi no discipline no academic perfomance,ni pindi kuanzia asubuh mpaka saa tisa,na ole wako attendance yako darasan ikiwa chin ya 85% hufanyi mtihan wa semester,kila mwezi kuna CAT,assignments na mitihan ni mingi mno,hurusiwi kuvaa sendoz maeneo ya chuo,kama wewe ni sharobaro apa utapata taabu ni mwiko kuvaa kihuni ukiwa chuoni,then nakushauri ufungue akaunti exim bank lasivyo bumu utalisikia kwenye bomba

ahsanten sana kaka.
 
Acha kukurupuka wewe soma vizuri post uone batch ya kwanza ya iyo post form six certificate ilikuwa ni lini,na ukimaliza iyo kozi chuo chochote unachoenda unaenda kuanza mwaka wa kwanza na sio mwaka wa pili kama diploma holders

Unamjua hata mmoja hao failure wako ambao walisoma pre entry st Joseph ambae yupo UDSM,ARU,DIT au MIST
 
All in all vijana chuo na maisha ya mtaani ni vitu viwili tofauti. Hususani kwa mazingira ya Tanzania, elimu ya chuo/akili zako za darasani siyo kipimo cha wewe kuja kuwa na maisha mazuri. You must have something extra to fullfill your dreams after college/university life.

And that is it.
 
Mdogo wangu ukisikia kuna kazi au elimu inatolewa na wahindi basi pakimbie hap😵VER
 
Wewe umesoma BE na mwenzako BSC E hamko sawa.

Unafanya kazi wapi?sema unafanya kazi wapi then nikupe mfano wa watu waliosoma UDSM,mm ninaowajua kwa kuanzia wawili
.1.mwenye derm electric anaitwa ridhiwan mringo yeye amesoma bsc in electrical engineering UDSM
2.yassin mringo ana kampun ya inaitwa Y&P architect amesoma architecture UDSM-UCLAS,
Hao ni ndugu tumbo moja na kampuni zao ni kubwa hapa mjini,haya niambie wewe umefanya kitu gani kikubwa
Ukitaka wengine individual nitakupa lukuki
 
Unamjua hata mmoja hao failure wako ambao walisoma pre entry st Joseph ambae yupo UDSM,ARU,DIT au MIST

siyo mmoja nawajua wanafunzi kumi na tatu wako kwenye hivyo vyuo walitoka st.joseph wanne wanaenda kuanza 1st yr,9 wanaenda kuingia 2nd yr
 
Ckia we Punga,usibishe vitu usivovijua,amemaliza form 6 2008 na 2010 akaingia hapo,na amegraduate,alisoma miezi mi3 ya pre entry,mimi siwez kubishana na kitu nisichokijua,

sasa nimeanza kuelewa ni sehemu gani unapotoka
inawezekana kweli jamaa yako 2008 alipata s flat,lakin kaja kaanza chuo 2010,apo pana gepu la miaka 2 sasa utajuaje kama aliresit mtihan na 2010 akaunganisha vyetii? Unaweza kunithibitishia vp kuwa alitumia matokeo yaleyale ya 2008?
Anyway kama ni kweli huyo mchizi ana mkopo? na kama ana mkopo ni kwanini bodi ya mikopo(HESLB) imetoa mkopo kwa mwanafunzi asiye na vigezo vya kusoma degree??
 
Niliposema kuna mtu ana S flat amesoma degree hapo sijakurupuka maana mimi namjua physically na kama wewe upo st joseph niambie nakuPM namba yangu then nakupa jina la huyo mkaka na namba yake ya simu umtafute ndio utajua ukweli, na hakuna kapi hata moja la st Joseph lililokwenda DIT,UDSM,ARDHI nk,then nakuuliza swali la kizushi,naomba unitaftie lecturer yeyote tutorial assistant au assistant lecturer anaefundisha UDSM,ARDHI,DIT,MUST,ATC,ukimpata kuna zawadi yako,wao si ndio wanatoka chuo bora,but mimi ukiwataka products za UDSM na vyuo vengine vinavyojulikana wanafundisha huko kwenu st Joseph?au nadanganya pale hamna lecturer kutoka UDSM?

Mara ya mwisho kupima magonjwa ya akili ni lini...?

Hivi mtu mwenye akili timamu unaweza m-quote mtu aliyetoa maelezo kama hayo kwa upuuzi huu uliondika hapa????

Hakika wewe ni mzigo na tahira kwa Taifa hili na wazazi wako..
 
Wewe ni secretary wa tcu??uache uongo,mbona mimi sisomi na hata mmoja zaidi ya mmoja aliesoma diploma huko ila anapelekwa puta pale mpaka tunamuonea huruma,tunamsaidia kumpa chabo ili maisha yaende,tena huyo alisona diploma sio pre entry

Tabia yako haina tofauti na member mwenye ID inayoitwa Mpigamsuli....

Sikiliza nikwambie kitu we zuzu mwenye hasara kwa maisha yako na familia yako, hapo unaposoma UDSM utatoka na Pass na wenzako wa St. Joseph wanatoka na First class....Nakuambia hivi hata masters kusoma wewe itakuwa mbinde...

Kwasasa hata Scholarship nje ya nchi wanaangalia ufaulu wako ndugu na wala si chuo...

Endelea kuleta majigambo mbuzi ukishamaluza ndo utajua mziki wake nini....

Ngoja nikupe mfano, kuna scholrship za afya zimetoka nchi ya Norway kwa kuwa MUHAS wanakomoa wanafunzi wao na mwisho wa siku watu wanamaliza na pass,, KCMC ambapo waliochaguliwa walikuwa na Div 3 ya PCB karibu 90% wamepata scholrship Norway kwa kuwa ufaulu wao ni wajuu......Ndugu siku hizi Scholrship zinatolewa kwa kuangalia Academic Merits.....

Kama unabisha google scholarship eligibility uone....Hupati Scholarship kama huna Upper au First Class....Ndugu chuo hakiangaliwii kabisaaaaaaaa......Leta mambo ya kizamani hapa....

We endelea kung"aa macho na UDSM yako uone moto utakavyokuwakia baadae wakati wenzako wanapeta....

Wenzako wakiwa final year hapo St. Joseph wanapata exchange program India....Daaah...Ameshang'arisha CV yake safiiiii.....We utabaki unang'aa macho kaa duanzi....
 
Back
Top Bottom