UJINGA SUMU... na ndio maana wabongo masikini... Hapa suala sio kubishana elimu ya huku ndogo kulingana na elimu ya kule cha maana ni kubadilishana mawazo kwa kile unachokipata sehemu flan naamin huko usomapo ww kuna ki2 unakosa na anaposoma mwngne kuna ki2 anakosa kwani hakuna chuo ambacho malecturer ni malaika wote ni binadam na kila m2 anamapungufu yake.... Vinginevyo 2takwenda mbele hatua nane tunarudi nyuma hatua 12... Nimeshawah kusoma primary kwa wahindi wapo makini hakuna ubabaishaji wa kibongo hutaki hiki sepaa,, hujalipa ada sepaa, wabongo tunahs tunaonewaa... Reagany ucjal ndgu., pa1 sana mi mwenyewe nimepangwa hukohuko...
Umenena vyema,,kinachotufanya wabongo tuwachukie wahindi ni nidhamu yao wanayaitaka kuimaintain ktk kila nyanja.kwa kweli wabongo hatuna nidhamu sio maofisini hats mashuleni wala majumbani.tupo rough sana.ndo maana ukimpata mbongo aliefanya kazi kwa mhindi ni tofauti sana na aliyeko kwenye serikali.vile vile hata kwenye vyuo vyao ni nidhamu kwanza .hats ukiuliza wanafinzi waliokwenda soma nje au kufanya kazi wanaushaidi na hill.hata kutolipa ada kwa wakati ni kukosa nidhamu na imekua Tabia yetu wabongo.ada Leo unataka lipa mwezi ujao.wahindi ilo hawana.