Civil Engineering- St. Joseph University in Tanzania

Civil Engineering- St. Joseph University in Tanzania

UJINGA SUMU... na ndio maana wabongo masikini... Hapa suala sio kubishana elimu ya huku ndogo kulingana na elimu ya kule cha maana ni kubadilishana mawazo kwa kile unachokipata sehemu flan naamin huko usomapo ww kuna ki2 unakosa na anaposoma mwngne kuna ki2 anakosa kwani hakuna chuo ambacho malecturer ni malaika wote ni binadam na kila m2 anamapungufu yake.... Vinginevyo 2takwenda mbele hatua nane tunarudi nyuma hatua 12... Nimeshawah kusoma primary kwa wahindi wapo makini hakuna ubabaishaji wa kibongo hutaki hiki sepaa,, hujalipa ada sepaa, wabongo tunahs tunaonewaa... Reagany ucjal ndgu., pa1 sana mi mwenyewe nimepangwa hukohuko...

Umenena vyema,,kinachotufanya wabongo tuwachukie wahindi ni nidhamu yao wanayaitaka kuimaintain ktk kila nyanja.kwa kweli wabongo hatuna nidhamu sio maofisini hats mashuleni wala majumbani.tupo rough sana.ndo maana ukimpata mbongo aliefanya kazi kwa mhindi ni tofauti sana na aliyeko kwenye serikali.vile vile hata kwenye vyuo vyao ni nidhamu kwanza .hats ukiuliza wanafinzi waliokwenda soma nje au kufanya kazi wanaushaidi na hill.hata kutolipa ada kwa wakati ni kukosa nidhamu na imekua Tabia yetu wabongo.ada Leo unataka lipa mwezi ujao.wahindi ilo hawana.
 
Chuo sio shule ndugu yangu,rank za chuo hazipangwi kwa first class nyingi,chuo chenu mpaka leo mnakitangazia kwenye radio na tv kutafuta watu,kubalini tu hapo hamna kitu wakuu

Utaendelea kushika bomba angali wenzako wamekalia siti....

Najibizana na mtu mwenye low understanding understanding capacity...
 
Utaendelea kushika bomba angali wenzako wamekalia siti....

Najibizana na mtu mwenye low understanding understanding capacity...

Kama nina low understanding capacity ningekua nipo st Joseph muda huu,nimefaulu ndio nasoma vyuo vya kueleweka wewe uliepata div yako 3 ya mwisho ndio unahangaika huko mbezi luguruni
 
Umenena vyema,,kinachotufanya wabongo tuwachukie wahindi ni nidhamu yao wanayaitaka kuimaintain ktk kila nyanja.kwa kweli wabongo hatuna nidhamu sio maofisini hats mashuleni wala majumbani.tupo rough sana.ndo maana ukimpata mbongo aliefanya kazi kwa mhindi ni tofauti sana na aliyeko kwenye serikali.vile vile hata kwenye vyuo vyao ni nidhamu kwanza .hats ukiuliza wanafinzi waliokwenda soma nje au kufanya kazi wanaushaidi na hill.hata kutolipa ada kwa wakati ni kukosa nidhamu na imekua Tabia yetu wabongo.ada Leo unataka lipa mwezi ujao.wahindi ilo hawana.

Kwa hio wa COET hawana nidhamu??wewe pale humalizi mwaka unarudi kwenu,hakuna wa kukukagua notes pale wewe mwanafunzi wa university, kama wahindi elimu yao ni bora wangekuwepo katika top ranks za universities duniani,but even wanaokwenda India na Malaysia wote wamefeli hapa ndio wanakimbilia huko,
 
sio kweli. Na wengi wanaofanya hivyo ni kwa wasiwasi wa kukosa mkopo chuo kikuu. But shule nzuri na zinazokimbiliwa ni za private.

SASA mtu kamsomesha mwanae shule sekondari ada milion 3...atashindwa chuo ada milion 1.5..........hebu fikiria kwanza
 
Back
Top Bottom