GE2025 Clayton Chipando (Baba Levo) ateuliwa kugombea ubunge jimbo la Kigoma Mjini kupitia CCM

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025
B levo Baaaaa Fundi majumba ennheeehheehehee

Hongera Sana mkuu hapo ubunge Tayari huku kwingine hata usipopigiwa Kura na mtu wewe tayari ushaula.

Na lile ghorofa Γ±aona sasa linakwenda kumalizika Kwa kasi sanaa

Dah Jamaa ametoka mbali sana. Ni mpambanaji hasa
 

Baba levo alivotangaza kuingia kwenye kinyang'anyiro Zitto ali panic. Zitto anamuelewa vizuri Baba Levo na nguvu yake anaielewa.
 

Kinachowatesa hawa jamaa ni kumchukulia poa Baba levo wakihusisha na kiwango cha elimu yake. Ila kwa ACT kigoma kwa uhakika wamevurugwa, mana wao wanaijua vizuri nguvu ya Baba Levo.
 
Mie sio fan wa jamaa,but kama hakuna interference yoyote Baba levo anamshinda zitto mapema sana.
Zitto alisha chuja na watu wamisha mchoka.
Sio kweli. Hakuna aliyemchoka Zitto.
Ila yote ya yote kheri Zitto kuliko hiyo takataka Baba levo.
 
Hii nchi watu tunafanywa wajinga sana. Eti naye huyu mpuuzi anaenda kugombea Ubunge!
Atasema nini huko bungeni na ata implicate nini!?
Nchi ishakua ya kipuuzi puuzi.
 

wabongo bado tuna mambo ya kishamba sana, tena unakuta mtu anamuonea mtu wivu kabisa kwa kuwa anamaisha bora ila hajasoma na yeye na degree yake ni majalala. mtu akishasoma anahisi yeye ndio ana deserves everything
 
Hii nchi watu tunafanywa wajinga sana. Eti naye huyu mpuuzi anaenda kugombea Ubunge!
Atasema nini huko bungeni na ata implicate nini!?
Nchi ishakua ya kipuuzi puuzi.

kuna kosa gani yeye kuamua kugomebea ubunge mkuu? mbona mnakuwa na wivu kiasi hicho, mambo mengine noma bana
 
kuna kosa gani yeye kuamua kugomebea ubunge mkuu? mbona mnakuwa na wivu kiasi hicho, mambo mengine noma bana
Niwe na wivu kisa huyo!?πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚.
Broo embu jishikilie basi.
Ukweli lazima usemwe,huyo jamaa hana any quality of a good leader.
Hana silka wala vigezo vya kiongozi stahiki.
Matokeo yake ndio kama yale ya Babu Tale kisa umaarufu kagombea Ubunge Morogoro vijijini kapata ubunge ila hakuna kitu hata kimoja alichokifanya.
Hata kutoa mchango wa kimawazo bungeni hakuna hata siku moja alitoa.
Come on broo embu wacheni kuwa wajinga hivi!
Yani huyu ndio wa kukaa katika muhimili moja wapo wa serikali kuu na awe miongoni mwa watunga sheria kweli!??
Embu waza kwa kutumia kichwa sio hisia zako hizo za kijinga jinga.
Mwana FA aligombea ubunge akashinda,Muheza ameifanyia nini!??
 
Siku akienda bungeni atakuwa anavua shati alafu anaenda kugonganisha matumbo na spika....wanapeleka vichaa bungeni na Wana uhakika wa kuiba kura kwa kishindo
 
Siku akienda bungeni atakuwa anavua shati alafu anaenda kugonganisha matumbo na spika....wanapeleka vichaa bungeni na Wana uhakika wa kuiba kura kwa kishindo
Hii nchi imeoza kaka.
Yani watu ambao wataingizwa bungeni na Halmashauri safari hii ni utumbo mtupu.
Nchi inaelekea shimoni hii.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…