GE2025 Clayton Chipando (Baba Levo) ateuliwa kugombea ubunge jimbo la Kigoma Mjini kupitia CCM

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025
Ulitaka akae nani huko kwenye huo muhimili wako?je kwanini hukugombea wewe badala ya Babalevo?
Mabunge yaliyopita hayakuwa na hao mabwana zako wasomi yalifanya nini cha maana zaidi ya kuuza wanyama,escrow,twintower,bot scandal,nk.?

Acha kuishi kijinga siku zote kwa kigezo cha wasomi,shit!
 
Siku akienda bungeni atakuwa anavua shati alafu anaenda kugonganisha matumbo na spika....wanapeleka vichaa bungeni na Wana uhakika wa kuiba kura kwa kishindo
Wewe ulitlyeandika haya na Babalevo nani kichaa?Je,kwenyeakili timamu anaweza kuona kuwa spika anaweza kuvua shati apige tumbo na Babalevo?

Wewe unaubora gani kumshinda Babalevo kuanzia kifamilia hadi kimataifa??
 
bunge
Hii nchi imeoza kaka.
Yani watu ambao wataingizwa bungeni na Halmashauri safari hii ni utumbo mtupu.
Nchi inaelekea shimoni hii.
Kwanini usiende bungeni wewe bwana au mpeleke baba yako badala ya Babalevo,vp mbona mnachosha watu wakati hata kugombea uenyekiti wa mtaa ulishindwa,?
 
Wewe ulitlyeandika haya na Babalevo nani kichaa?Je,kwenyeakili timamu anaweza kuona kuwa spika anaweza kuvua shati apige tumbo na Babalevo?

Wewe unaubora gani kumshinda Babalevo kuanzia kifamilia hadi kimataifa??
Mbona povu jingiπŸ˜ƒ, kiwango Cha ujinga wake kipo wazi Kila mahali...kama unamtetea endelea kumtetea...ila ndio hivyo kugonganisha matumbo na spikaπŸ’ͺ
 

Wivu unakutesa mkuu ni ngumu kukubali, Baba Levo alisha prove him self akiwa Diwani na ndio mana a Big Mass following.
 
Napenda nione mdahalo kati ya Zitto na Baba Levo, Zitto amekuwa Mbunge pale, na Baba Levo amkuwa Diwani.
 
Baba levo alivotangaza kuingia kwenye kinyang'anyiro Zitto ali panic. Zitto anamuelewa vizuri Baba Levo na nguvu yake anaielewa.
Baba Levo hana nguvu gani ya kumshinda zitto ilo jimbo kapewa baba Levo ni chawa hamna kitu kingine zaidi ya icho
 
Wivu unakutesa mkuu ni ngumu kukubali, Baba Levo alisha prove him self akiwa Diwani na ndio mana a Big Mass following.
Sina wivu hisia zako za kipuuzi ndio zinaona hivyo.
Hakuna cha maana alichofanya hata alivyokua diwani.
Endeleeni na unyumbu wenu hivyo hivyo.
 
bunge
Kwanini usiende bungeni wewe bwana au mpeleke baba yako badala ya Babalevo,vp mbona mnachosha watu wakati hata kugombea uenyekiti wa mtaa ulishindwa,?
We ****** usithubutu kutaja wazazi sawa we malaya!? Jikite kwenye mada na utoe hoja.
Kila mtu ana haki ya kutoa maoni,na utakua ni mpumbavu kukataa watu wasitoe maoni.
We ni nani hadi uzuie watu kutoa maoni!?
Kenge blue wewe.
 
Basi wapiga kura hao waha ndio dhaifu! Mtu hana hata uelewa wa muswaada ni nini halafu mna mpa ubunge? Kumbe kweli Waha ni mabingwa wa ubishi tuu lakini ni mbumbumbu!
 
Basi wapiga kura hao waha ndio dhaifu! Mtu hana hata uelewa wa muswaada ni nini halafu mna mpa ubunge? Kumbe kweli Waha ni mabingwa wa ubishi tuu lakini ni mbumbumbu!
Kwenye ground mambo ni tofaut sana kwenye siasa mkuu,
Kukubalika Kwa mtu kwenye eneo Fulani haihusian kabisa na elimu yake,
Wanasema mtaji wa siasa ni nyota tu ya kupendwa kismart Yan.
 
Kwenye ground mambo ni tofaut sana kwenye siasa mkuu,
Kukubalika Kwa mtu kwenye eneo Fulani haihusian kabisa na elimu yake,
Wanasema mtaji wa siasa ni nyota tu ya kupendwa kismart Yan.

mkuu hawa wanajiona wasomi uchwara hawaelewi hilo. Turufu kubwa ya siasa ni kukubalika kwenye jamii husika
 
Mbona povu jingiπŸ˜ƒ, kiwango Cha ujinga wake kipo wazi Kila mahali...kama unamtetea endelea kumtetea...ila ndio hivyo kugonganisha matumbo na spikaπŸ’ͺ
Sawa tu kagonganishe matako na wewe na lissu kama unaona ni rahisi kiasi hicho
 
We ****** usithubutu kutaja wazazi sawa we malaya!? Jikite kwenye mada na utoe hoja.
Kila mtu ana haki ya kutoa maoni,na utakua ni mpumbavu kukataa watu wasitoe maoni.
We ni nani hadi uzuie watu kutoa maoni!?
Kenge blue wewe.
Na wewe unajiona unatoa maoni au kamasi,sasa huyo Babalevo mnaemgusa na kumkashifu siyo mzazi wa mtu?ungekuwa na uchungu na wazazi wako kiasi hicho ungefunga kopo lako kenge wewe,huna ubavu wa kupiga bit mtu humu jf,kwa akili hiyo wazazi wako ni mbwa wamekuzaa wewe mbwa,shit holes!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…