Clemence Mtenga aliuawa sababu ya rangi yake? Serikali inafeli wapi wakati raia wa Thailand wote wameachiliwa?

Clemence Mtenga aliuawa sababu ya rangi yake? Serikali inafeli wapi wakati raia wa Thailand wote wameachiliwa?

Yale mapelistina huwa ya kipuuzi sana. Yakikukamata usalama wako unakuwa mdogo sana, yanauliza dini, ukisema ni mkristo umeisha ukisema ni muislam yanakuona ni ndugu yao na uko pamoja nao katika mapambano yao
 
Clemence siye mateka pekee aliyefariki huko Gaza, na sioni sababu ya kifo chake kihusishwe na rangi yake ama udini. Hoja kubwa ninayoiona hapa ni juhudi gani zilifanywa na wizara husika kuwanusuru hawa wenzetu, na wala hatukuona wakilipa uzito kwenye vyombo vya habari. Yani walishindwa hata kujiongeza kupiganisha huko Arab Emirates kwa wenye DPWorld yao wasaidie ku push kwakuwa ni maswahiba wa Hamas.
 
Iko hivi, wathailand 12 wameachiwa pamoja na waisrael 12 ikiwa ni makubaliano yaliyofanyika Kati ya Israel na Hamas. Sasa tujadili hill jambo. Clemence Mtenga sasa ni marehemu, amefia Gaza. Mpaka sasa maelezo hayajanyooshwa kuwa kafa kwa kombora, au gunshot etc. Vyombo vya habari vinavyojulikana hapa nchini hawakutangaza kuhusu hawa Vijana waliotekwa hata katika tukio la bwana Clemence kufariki. Katika pita pita Zangu mtandaoni niliona kuwa serikali ya Thailand ilifanya makubaliano na Iran ili wananchi wao waachiwe. Lakini bongo kuna watu wengi hawana hata taarifa kuwa kuna Mtanzania kauwawa. Nina unpopular opinion, mimi nadhani ubaguzi wa rangi na udini umefanya hili jambo lisichukuliwe kwa uzito na kusababisha kifo. Inasemekana wapalestina waarabu ni wabaguzi wa rangi kwa black Palestinians....inawezekana Hamas wamemuua kwasababu his, au alishikiliwa na raia na katika missle akawa mhanga. Pili mimi naamini Jina lake lingekuwa Rashid Mtenga, tungekuwa nae....ila kwa kuwa anaonekana sio part ya Islam umma, wala hakuna alietilia maanani kwanzia viongozi wa dini waliotaka kuandamana mpaka serikalini.
Serious accusations halafu unafanya guessing tu 🤔🤔
 
Yale mapelistina huwa ya kipuuzi sana. Yakikukamata usalama wako unakuwa mdogo sana, yanauliza dini, ukisema ni mkristo umeisha ukisema ni muislam yanakuona ni ndugu yao na uko pamoja nao katika mapambano yao
Utakuwa unachuki na waislam sio bure. Ukiwauliza mateka watakwambia Hamas ni watu wenye utu kuliko hata baba zao na mama zao
 
Hawajapewa uzito sababu kwanza sio dini ile pendwa kwa serikali awamu hii pili sio wazenji tatu hawana uarabu daah
😆
Kauwawa na IDF .. Clemence Hana impact yoyote kwa Hamas ila IDF wamemuua ili kuja kuwa blame freedom fighters hamas ...
So according to you, Israel missiles zimewabagua Thailand citizens, Philippine citizens na wale wazee walioachiliwa leo imeenda kuua Clemence. Are you serious bruv? Okay IDF missiles zina ubaguzi wa rangi ffs

Point ya pili, unawaita Hamas freedom fighters
😆. Viongozi wake freedom fighters huwa wanapenda kuona maendeleo kati ya watu wanaowapigania. Kaangalie historia ya Black Oanthers wa Marekani na jitihada walizozifanya kusaidia community za wamarekani weusi. Umkhonto wenyewe walifanya terrorist attacks ila hawakufuata na kutarget raia hata kama ni Boers. They even apologized for collateral damage. Leo unataka tuwalinganishe Hamas na the later? Kwenda door to door kuuwa vitoto vichanga, killing pregnant women na kuchukua watu wasiojiweza hostage is freedom fighting? Is rape freedom fighting tena on top of that kwa kumdhihaki mwenyenzi Mungu wao na kusema Allahuakbar.....stop it bwana
 
Vyombo vya hapa nyumbani vinaelekezwa cha kuandika na waziri wao ambaye kwa bahati mbaya hajui hata wizara yake ina majukumu gani
Vituko bin vituko
 
Poleni watanzania wote kwa kuondokewa na kijana Clement. Inahuzunisha.

Suluhisho la hili ni nini, mleta mada.?
Majibu yatatoa mwanga u-raia wa namna gani!
Mimi ninavyoona, serikali yetu ilikuwa na uwezo mzuri wa kufanya negotiations either na Proxy wa Hamas (Iran) kama walivyofanya Thailand or something else. Ninachomaanisha ni kwamba hawakutiliwa maanani sasa Joshua Mollel hatujui kama yup salama au la.
 
Back
Top Bottom