Clemence Mtenga aliuawa sababu ya rangi yake? Serikali inafeli wapi wakati raia wa Thailand wote wameachiliwa?

Clemence Mtenga aliuawa sababu ya rangi yake? Serikali inafeli wapi wakati raia wa Thailand wote wameachiliwa?

Iwe kauawa na hamas au mashambilizi ya israel huko gaza Lakini chanzo ni walichokifanya hamas Oct 7..
Wewe yahudi mweusi wa mazese kwa mfuga mbwa huo mgogoro kwani umeanza hiyo Oct 7 pole sana
 
Iko hivi, wathailand 12 wameachiwa pamoja na waisrael 12 ikiwa ni makubaliano yaliyofanyika Kati ya Israel na Hamas. Sasa tujadili hill jambo. Clemence Mtenga sasa ni marehemu, amefia Gaza. Mpaka sasa maelezo hayajanyooshwa kuwa kafa kwa kombora, au gunshot etc. Vyombo vya habari vinavyojulikana hapa nchini hawakutangaza kuhusu hawa Vijana waliotekwa hata katika tukio la bwana Clemence kufariki. Katika pita pita Zangu mtandaoni niliona kuwa serikali ya Thailand ilifanya makubaliano na Iran ili wananchi wao waachiwe. Lakini bongo kuna watu wengi hawana hata taarifa kuwa kuna Mtanzania kauwawa. Nina unpopular opinion, mimi nadhani ubaguzi wa rangi na udini umefanya hili jambo lisichukuliwe kwa uzito na kusababisha kifo. Inasemekana wapalestina waarabu ni wabaguzi wa rangi kwa black Palestinians....inawezekana Hamas wamemuua kwasababu his, au alishikiliwa na raia na katika missle akawa mhanga. Pili mimi naamini Jina lake lingekuwa Rashid Mtenga, tungekuwa nae....ila kwa kuwa anaonekana sio part ya Islam umma, wala hakuna alietilia maanani kwanzia viongozi wa dini waliotaka kuandamana mpaka serikalini.
uKweli ni kwamba Tanzan ia tunafanya mambo mengi kienyeji sana sana, ukienda kwenye hizo balozi wamejazana ndugu, marafiki na wale akina nanihii, na sio taaluma
 
Utmost bullshit, sema kama sio uvamizi wa Israel kwenye ardhi ya palestina kusingekua na huu mgogoro na watu wasingetekwa. Hivi unajua Israel ina mateka wa kipalestina zaidi ya elfu 1 ila wangetekwa na Hamas ungesikia kelele kibao kuwa ni magaidi.

Acheni unafiki
Ulikuwa unajificha ficha muda mrefu ila siku hizi naona uzalendo umekushinda..

Ndio maana nilikushtukia kwenye DPW na ule mkataba wa hovyo.

Sent from my SM-G900H using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom