Clemence Mtenga aliuawa sababu ya rangi yake? Serikali inafeli wapi wakati raia wa Thailand wote wameachiliwa?

Clemence Mtenga aliuawa sababu ya rangi yake? Serikali inafeli wapi wakati raia wa Thailand wote wameachiliwa?

Vyombo vyetu vya habari hukimbilia kuandika mambo ya hovyo kuliko ya msingi na yanye maslahi kwa taifa
Pale konki liquidi anapoalikwa bungeni hapo ndo utajua kuna shida katika mfumo wetu wa uongozi. A bunch of clowning arounds
 


Kwa hio umeileta kama evidence....I have a good one for you
View: https://www.reddit.com/r/ISR/s/7WDzrZSqU2


View: https://youtu.be/CeI1tM_9q5k?si=E8qhkTe4yaSzkkM6

Like racism iko sehemu nyingi. Issue yangu ni Mtanzania aliekufa. Kwa nini yeye ni foreign national pekee alieuawa? Nice try
 
Bahati mbaya ukijikuta kwenye mikono ya magaidi ya kiislamu

Gaidi akikuuliza unaitwa nani mwambie Abdulkarim akikuuliza tena mke mkubwa wa mtume anaitwa nani mwambie ndio umesilimu una wiki moja bado ujamjua
Pia usisahau kusema inshallah na allahmdulilai
Hili unusurike usije ukafa kiboya
Umenisanua...hivi mke mkubwa wa " bwana mkubwa" anaitwa nani, hata kale kadogo , kataje tu, ili tukitaitiwa tujue pa kuanzia.
 
Umenisanua...hivi mke mkubwa wa " bwana mkubwa" anaitwa nani, hata kale kadogo , kataje tu, ili tukitaitiwa tujue pa kuanzia.
Khadija na Aisha......ujue na shahada pia. Hapo ndo utakamatwa vizuri. Kuna Saudah Bint Zam'ma ila huyo ni wa story nyingine.
 
Khadija na Aisha......ujue na shahada pia. Hapo ndo utakamatwa vizuri. Kuna Saudah Bint Zam'ma ila huyo ni wa story nyingine.
Asante sana , Nita download Qur'an niwe aware kidogo.
 
Clemence siye mateka pekee aliyefariki huko Gaza, na sioni sababu ya kifo chake kihusishwe na rangi yake ama udini. Hoja kubwa ninayoiona hapa ni juhudi gani zilifanywa na wizara husika kuwanusuru hawa wenzetu, na wala hatukuona wakilipa uzito kwenye vyombo vya habari. Yani walishindwa hata kujiongeza kupiganisha huko Arab Emirates kwa wenye DPWorld yao wasaidie ku push kwakuwa ni maswahiba wa Hamas.
Dubai hawana mahusiano mazuri na Hamas.
Qatar , Iran, Lebanon , PLO Hata Egypt wana mahusiano mazuri na wote au tuseme karibu wote wana balozi zao Daressalaam.
Wizara ya mambo ya nje waende kufanya majadiliano nao .
Wa Thailand wameshaachiliwa tayari
 
Kauliwa na Isreal
Wewe unaropoka tu! Wewe utakuwa hupo sawasawa kichwani. Waliokuwa wanamshikilia, Hamas, wamekiri amekufa mikononi mwao, ila wamekataa kumwua, halafu wewe punguani unaropoka tu!!
 
Wewe unaropoka tu! Wewe utakuwa hupo sawasawa kichwani. Waliokuwa wanamshikilia, Hamas, wamekiri amekufa mikononi mwao, ila wamekataa kumwua, halafu wewe punguani unaropoka tu!!
Kafa wakiwa mikononi mwa hamas lkn kwa bomu la isreal
 
Either Israel missiles or Hamas. So far hatujui. Palestinian arab ni wabaguzi wa rangi wakubwa. It's possible walimuua kwa sababu ni mtu mweusi pia
Hamas wanasema kuwa marehemu aliugua. Wanadai walimpeleka hospitali, alipopata nafuu walimrudisha huko walikokuwa wamemficha. Wanadai eti, akiwa huko walikomficha alikufa kutokana na hofu!!
 
Poleni watanzania wote kwa kuondokewa na kijana Clement. Inahuzunisha.

Suluhisho la hili ni nini, mleta mada.?
Majibu yatatoa mwanga u-raia wa namna gani!
Tumfukuze balozi wa Palestina kwenye nchini mwetu. Hatuwezi kuwa na mahusiano na mamlaka inayolea magaidi.
 
Kauwawa na IDF .. Clemence Hana impact yoyote kwa Hamas ila IDF wamemuua ili kuja kuwa blame freedom fighters hamas ...
Wewe kweli punguani!! Hamas ambao waliwapiga na kuwaua Wapalestine wenzao ambao walikuwa wamefikia hatua nzuri ya kuwa na Taifa la Palestina, wewe unawaita freedom fighters!! Nchi yetu ni dhahiri ina wendawazimu wengi kuliko tunavyodhania.
 
Utmost bullshit, sema kama sio uvamizi wa Israel kwenye ardhi ya palestina kusingekua na huu mgogoro na watu wasingetekwa. Hivi unajua Israel ina mateka wa kipalestina zaidi ya elfu 1 ila wangetekwa na Hamas ungesikia kelele kibao kuwa ni magaidi.

Acheni unafiki
Hata unachoa dika wewe mwenyewe huelewi. Umesema wazi kuwa Israel ina wafungwa waarabu kwenye magereza yao. Mfungwa au mahabusu, ni tofauti kabisa na mateka wa magaidi.
 
Kweli ni ajabu, yanataka kuandanana badala ya kupigania MATEKA....hata hivyo sishangai, wao Ndugu zao si MAJINI...
Iko hivi, wathailand 12 wameachiwa pamoja na waisrael 12 ikiwa ni makubaliano yaliyofanyika Kati ya Israel na Hamas. Sasa tujadili hill jambo. Clemence Mtenga sasa ni marehemu, amefia Gaza. Mpaka sasa maelezo hayajanyooshwa kuwa kafa kwa kombora, au gunshot etc. Vyombo vya habari vinavyojulikana hapa nchini hawakutangaza kuhusu hawa Vijana waliotekwa hata katika tukio la bwana Clemence kufariki. Katika pita pita Zangu mtandaoni niliona kuwa serikali ya Thailand ilifanya makubaliano na Iran ili wananchi wao waachiwe. Lakini bongo kuna watu wengi hawana hata taarifa kuwa kuna Mtanzania kauwawa. Nina unpopular opinion, mimi nadhani ubaguzi wa rangi na udini umefanya hili jambo lisichukuliwe kwa uzito na kusababisha kifo. Inasemekana wapalestina waarabu ni wabaguzi wa rangi kwa black Palestinians....inawezekana Hamas wamemuua kwasababu his, au alishikiliwa na raia na katika missle akawa mhanga. Pili mimi naamini Jina lake lingekuwa Rashid Mtenga, tungekuwa nae....ila kwa kuwa anaonekana sio part ya Islam umma, wala hakuna alietilia maanani kwanzia viongozi wa dini waliotaka kuandamana mpaka serikalini.
 
  • Kicheko
Reactions: Lax
Hata unachoa dika wewe mwenyewe huelewi. Umesema wazi kuwa Israel ina wafungwa waarabu kwenye magereza yao. Mfungwa au mahabusu, ni tofauti kabisa na mateka wa magaidi.
Hata mbowe aliitwa gaidi.jee ni gaidi?
 
ina wafungwa waarabu kwenye magereza yao
Wapi nimeandika wafungwa? Hao ni mateka maana hawana kesi wala jalada la mashtaka bali wamekua detained permanently without due process in the courts of law. Hao ni mateka tu sema sababu ni Israel mnasifia ila akifanya Hamas mnadai ni magaidi.
 
Back
Top Bottom