Clemence Mtenga aliuawa sababu ya rangi yake? Serikali inafeli wapi wakati raia wa Thailand wote wameachiliwa?

Ninachomaanisha ni kwamba hawakutiliwa maanani sasa Joshua Mollel hatujui kama yup salama au la.
Kuna taarifa serikali ilituma ndege kwenda kuwachkua vijana waliopo Israel. Vijana wengi walikataa kurudi. Simaanishi Hata waliotekwa kama walikataa!!
 
Iko hivi, wathailand 12 wameachiwa pamoja na waisrael 12 ikiwa ni makubaliano yaliyofanyika Kati ya Israel na Hamas. Sasa tujadili hill jambo. Clemence Mtenga sasa ni marehemu, amefia Gaza. Mpaka sasa maelezo hayajanyooshwa kuwa kafa kwa kombora, au gunshot etc. Vyombo vya habari vinavyojulikana hapa nchini hawakutangaza kuhusu hawa Vijana waliotekwa hata katika tukio la bwana Clemence kufariki. Katika pita pita Zangu mtandaoni niliona kuwa serikali ya Thailand ilifanya makubaliano na Iran ili wananchi wao waachiwe. Lakini bongo kuna watu wengi hawana hata taarifa kuwa kuna Mtanzania kauwawa. Nina unpopular opinion, mimi nadhani ubaguzi wa rangi na udini umefanya hili jambo lisichukuliwe kwa uzito na kusababisha kifo. Inasemekana wapalestina waarabu ni wabaguzi wa rangi kwa black Palestinians....inawezekana Hamas wamemuua kwasababu his, au alishikiliwa na raia na katika missle akawa mhanga. Pili mimi naamini Jina lake lingekuwa Rashid Mtenga, tungekuwa nae....ila kwa kuwa anaonekana sio part ya Islam umma, wala hakuna alietilia maanani kwanzia viongozi wa dini waliotaka kuandamana mpaka serikalini.
Mama yuko bize social media, hayo mambo ya uwongozi ni yakina kikwete
 
Nimesikia Msikitini leo kuwa Tanzania imetuma Makomandoo 50 kwenda Israel na hadi sasa yashavuka mpaka wa Gaza kuanza kazi ya Kumsaka Mtanzania na Kulipiza kwa kifo cha Mtz aliyeuwawa Hamas wanaelewa nguvu na sio kubembelezwa Safi sana Mama kwa Maamuzi sahihi
 
Elewa tu kwa kifupi vita haichagui rangi ya mtu wala taifa la mtu. Imetokea amekufa kama maelfu ya wengine walivyokufa! Ndiyo maana watu tunaombea amani milele!
 
Kwenye hili wizara ya mambo ya nje imepwaya. Rais hawezi kuwa bingwa wa kila kitu. Kosa lake ninaloweza kumlaumu ni kuteua viazi kuwa mawaziri kwa minajiri ya kulipa fafhila kwa familia za watu fulani fulani.

Yule padre mtanzania aloyetekwa na boko haram inawezekana kanisa ndio lilihangaika aachiwe, foreign service yetu iko hoi bin taaban. Kazi wanayoiweza ni kuandaa mikitano na kukaribisha wageni. Pathetic!

Siyo yetu tu sema za mataifa mengi zipo hoi! Ungekuwa wewe ungefanya nini ili Hamas wamuachilie?
 
Elewa tu kwa kifupi vita haichagui rangi ya mtu wala taifa la mtu. Imetokea amekufa kama maelfu ya wengine walivyokufa! Ndiyo maana watu tunaombea amani milele!
Correction angebaki kwenye ardhi aliyoifikia asingekufa.
 
Kuna taarifa serikali ilituma ndege kwenda kuwachkua vijana waliopo Israel. Vijana wengi walikataa kurudi. Simaanishi Hata waliotekwa kama walikataa!!
Labda wamependa nchi 🤔waulize waarabu wa huko Israel wanasema maisha ni bieeenn
 
Nimesikia Msikitini leo kuwa Tanzania imetuma Makomandoo 50 kwenda Israel na hadi sasa yashavuka mpaka wa Gaza kuanza kazi ya Kumsaka Mtanzania na Kulipiza kwa kifo cha Mtz aliyeuwawa Hamas wanaelewa nguvu na sio kubembelezwa Safi sana Mama kwa Maamuzi sahihi
No confirmation
 
Iko hivi, wathailand 12 wameachiwa pamoja na waisrael 12 ikiwa ni makubaliano yaliyofanyika Kati ya Israel na Hamas. Sasa tujadili hill jambo. Clemence Mtenga sasa ni marehemu, amefia Gaza. Mpaka sasa maelezo hayajanyooshwa kuwa kafa kwa kombora, au gunshot etc. Vyombo vya habari vinavyojulikana hapa nchini hawakutangaza kuhusu hawa Vijana waliotekwa hata katika tukio la bwana Clemence kufariki. Katika pita pita Zangu mtandaoni niliona kuwa serikali ya Thailand ilifanya makubaliano na Iran ili wananchi wao waachiwe. Lakini bongo kuna watu wengi hawana hata taarifa kuwa kuna Mtanzania kauwawa. Nina unpopular opinion, mimi nadhani ubaguzi wa rangi na udini umefanya hili jambo lisichukuliwe kwa uzito na kusababisha kifo. Inasemekana wapalestina waarabu ni wabaguzi wa rangi kwa black Palestinians....inawezekana Hamas wamemuua kwasababu his, au alishikiliwa na raia na katika missle akawa mhanga. Pili mimi naamini Jina lake lingekuwa Rashid Mtenga, tungekuwa nae....ila kwa kuwa anaonekana sio part ya Islam umma, wala hakuna alietilia maanani kwanzia viongozi wa dini waliotaka kuandamana mpaka serikalini.
Acha wapigwe had wany. e... Makobasi sikuzote akil hawana
 
Back
Top Bottom