Clemence Mtenga aliuawa sababu ya rangi yake? Serikali inafeli wapi wakati raia wa Thailand wote wameachiliwa?

Clemence Mtenga aliuawa sababu ya rangi yake? Serikali inafeli wapi wakati raia wa Thailand wote wameachiliwa?

Hata mbowe aliitwa gaidi.jee ni gaidi?
Hata Mandela aliitwa gaidi na hao hao Israel.... mind you Serikali ya makaburu ilikua inatambuliwa na Israel. Hawa jamaa wanashabikia kisa udini ila anayofanya Israel yangefanywa na Iran ingekua ishavamiwa na marekani.
 
Kweli ni ajabu, yanataka kuandanana badala ya kupigania MATEKA....hata hivyo sishangai, wao Ndugu zao si MAJINI...
mbona hakukua wanaotaka kuandamana kwa ajili ya mateka?
 
Hata Mandela aliitwa gaidi na hao hao Israel.... mind you Serikali ya makaburu ilikua inatambuliwa na Israel. Hawa jamaa wanashabikia kisa udini ila anayofanya Israel yangefanywa na Iran ingekua ishavamiwa na marekani.
Unateka mpk wamerekani, wathailand hadi watanzania halafu hutaki kuitwa gaidi.
Kabla na baada ya Yesu kuja kulikuwepo na taifa la Israel na mji wa Gaza ulikuwepo.
Hawa wapalestina ndiyo wafilisti?
 
Unateka mpk wamerekani, wathailand hadi watanzania halafu hutaki kuitwa gaidi.
Israel imeteka wapalestina elfu 1 umeona wameitwa magaidi? Au udini umekujaa
Kabla na baada ya Yesu kuja kulikuwepo na taifa la Israel
Na hao waliishi kwenye nchi ya canaan iliyokua na wafalme kama kina Rapha, Sihon, n.k. so waliteka nchi ya watu kwa kufanya mauaji ya halaiki. So sio kwamba walikuta ipo wazi.
Hawa wapalestina ndiyo wafilisti?
Hapana wafilisti walikua ni aegeans yaani jamii ya wagiriki. Walitokana na kina caphtor/Casluh. Ila palestines ni semites waliotokana na makabila ya hapo Palestine kumbuka hata kibiblia Abraham alikua na watoto 5 na hao wote walikua na vizazi hapo hapo palestina. Sijui nini kilitokea hao watoto wa Yakobo ndio wamejihesabia haki wakati urithi ulikua kwa uzao wa Abraham kwa ujumla
 
Huwa sikisii:

This article is more than 7 months old

Christians are in danger under Israeli government, says Holy Land patriarch​

This article is more than 7 months old
Benjamin Netanyahu’s rightwing policies are emboldening attacks on 2,000-year-old community, says Catholic regional leader

Soma: Christians are in danger under Israeli government, says Holy Land patriarch
Kuna ubaguzi mkubwa wa watu weusi katika nchi za kiarabu.

Arab region

Black people are discriminated against in the MENA region

Racism exists in the Arab world. People with dark skin are discriminated against and often see their rights curtailed. Activists have had enough of such treatment and are starting to rise up. The greatest progress has been made in Tunisia.

In standard Arabic as well as in various dialects, there are a number of racist expressions for people with dark skin. They are degrading and dehumanising because they emphasise the superiority of people with white skin. Some of these expressions can be traced back to when the Islamic and Arab world still practised slavery and were involved in the slave trade.

These expressions have outlasted slavery and even become set phrases and figures of speech that are used daily. Black is often synonymous with a bad omen in these sayings. The colours black and white are also used as opposites to stand for good or evil, with reference to the selection of a life partner, for example, or descriptions of feelings or experiences.
 
Iko hivi, wathailand 12 wameachiwa pamoja na waisrael 12 ikiwa ni makubaliano yaliyofanyika Kati ya Israel na Hamas. Sasa tujadili hill jambo. Clemence Mtenga sasa ni marehemu, amefia Gaza. Mpaka sasa maelezo hayajanyooshwa kuwa kafa kwa kombora, au gunshot etc. Vyombo vya habari vinavyojulikana hapa nchini hawakutangaza kuhusu hawa Vijana waliotekwa hata katika tukio la bwana Clemence kufariki. Katika pita pita Zangu mtandaoni niliona kuwa serikali ya Thailand ilifanya makubaliano na Iran ili wananchi wao waachiwe. Lakini bongo kuna watu wengi hawana hata taarifa kuwa kuna Mtanzania kauwawa. Nina unpopular opinion, mimi nadhani ubaguzi wa rangi na udini umefanya hili jambo lisichukuliwe kwa uzito na kusababisha kifo. Inasemekana wapalestina waarabu ni wabaguzi wa rangi kwa black Palestinians....inawezekana Hamas wamemuua kwasababu his, au alishikiliwa na raia na katika missle akawa mhanga. Pili mimi naamini Jina lake lingekuwa Rashid Mtenga, tungekuwa nae....ila kwa kuwa anaonekana sio part ya Islam umma, wala hakuna alietilia maanani kwanzia viongozi wa dini waliotaka kuandamana mpaka serikalini.

Huyo aliuwawa Oct. 7:

Screenshot_20231126-195059.jpg

Ipo siri kubwa ya Oct. 7 isiyoongelewa.
 
Israel imeteka wapalestina elfu 1 umeona wameitwa magaidi? Au udini umekujaa

Na hao waliishi kwenye nchi ya canaan iliyokua na wafalme kama kina Rapha, Sihon, n.k. so waliteka nchi ya watu kwa kufanya mauaji ya halaiki. So sio kwamba walikuta ipo wazi.

Hapana wafilisti walikua ni aegeans yaani jamii ya wagiriki. Walitokana na kina caphtor/Casluh. Ila palestines ni semites waliotokana na makabila ya hapo Palestine kumbuka hata kibiblia Abraham alikua na watoto 5 na hao wote walikua na vizazi hapo hapo palestina. Sijui nini kilitokea hao watoto wa Yakobo ndio wamejihesabia haki wakati urithi ulikua kwa uzao wa Abraham kwa ujumla
Kwanini hao Hamas wasingeteka waisrael tu? Wamarekani, Watanzania au Wathailand wanakosa gani?
Hao wapelestina waliofungwa ndiyo wale waharakati wa kutaka kuifuta Israel pale Middle East
 
Unateka mpk wamerekani, wathailand hadi watanzania halafu hutaki kuitwa gaidi.
Kabla na baada ya Yesu kuja kulikuwepo na taifa la Israel na mji wa Gaza ulikuwepo.
Hawa wapalestina ndiyo wafilisti?
Wapalestina siyo wafilisti. Kwanza hakuna kabila linaloitwa Wapalestina. Hawa wanaoitwa wapalestina ni waarabu, moja ya jamii ambazo zimekuwa zikiishi pamoja na Waisrael, kwenye ardhi ya Palestine kwa miaka mingi.
 
Kwa maana hiyo wapalestina ni wavamizi na wenye ardhi ni waisrael.
Wapalestina siyo wafilisti. Kwanza hakuna kabila linaloitwa Wapalestina. Hawa wanaoitwa wapalestina ni waarabu, moja ya jamii amvazo zimekuwa zikiishi pamoja na Waisrael, kwenye ardhi ya Palestina.
 
Hamas ukiwaita magaidi sawa na chadema kuwaita kamanda. Fahari yake moyoni sijui itakuwa vipi
Hamas ni magaidi tu hawaepukiki kuitwa hivyo
Hao Wamerekani, Wathailand, warusi na watanzania wanahusika nini kwenye mgogoro wao?
Wangekuwa wanaume si wangetangaza vita, mbona Israel alitangaza vita? Mbona Putin alitangaza vita kwa Ukraine, Hao Hamasi wanashindwa nini kutangaza vita kwa Israel ili wazichape vizuri?
 
Kwani alipopigwa risasi yule bint siku ya maandamano ya chadema alikuwa ktk maandamano? Halafu usiwe punguani unapojadili hoja. Au umeekewa chupa ukalie?
 
Hamas ni magaidi tu hawaepukiki kuitwa hivyo
Hao Wamerekani, Wathailand, warusi na watanzania wanahusika nini kwenye mgogoro wao?
Wangekuwa wanaume si wangetangaza vita, mbona Israel alitangaza vita? Mbona Putin alitangaza vita kwa Ukraine, Hao Hamasi wanashindwa nini kutangaza vita kwa Israel ili wazichape vizuri?
Kwani alipopigwa risasi yule bint siku ya maandamano ya chadema alikuwa ktk maandamano? Halafu usiwe punguani unapojadili hoja. Au umeekewa chupa ukalie?
 
Hao wapelestina waliofungwa ndiyo wale waharakati wa kutaka kuifuta Israel pale Middle East
Kwanini hawafunguliwi mashtaka ili wahukumiwe kifungo? Why watekwe kisirisiri huo pia ni ugaidi according to international law
Hamas wasingeteka waisrael tu?
Leverage, kwenye negotiations hauna power unless you have leverage. Yaani huwezi mlazimisha USA aingilie kati unless kuna maslahi yake yameguswa. Hivi bila mateka ceasefire ingefanikiwa?
 
Kauwawa sababu ni mtanzania ingekuwa ni mmarekani mweusi, Hamas wangeendelea kumshikilia sababu ana thamani kwao, Hamas ni washenzi sana mtanzania aliwakosea nini, na sisi hata tamko la kulaani hakuna ilipaswa balozi wa Palestina afukuzwe nchini, hata pole hajatoa wala kulaani utekaji.
 
Back
Top Bottom