zitto junior
JF-Expert Member
- Oct 7, 2013
- 20,537
- 31,729
Hata Mandela aliitwa gaidi na hao hao Israel.... mind you Serikali ya makaburu ilikua inatambuliwa na Israel. Hawa jamaa wanashabikia kisa udini ila anayofanya Israel yangefanywa na Iran ingekua ishavamiwa na marekani.Hata mbowe aliitwa gaidi.jee ni gaidi?
Unataka mpk wasiyo waisrael halafu unataka wakuite shujaa.Kauliwa na Isreal
mbona hakukua wanaotaka kuandamana kwa ajili ya mateka?Kweli ni ajabu, yanataka kuandanana badala ya kupigania MATEKA....hata hivyo sishangai, wao Ndugu zao si MAJINI...
Unateka mpk wamerekani, wathailand hadi watanzania halafu hutaki kuitwa gaidi.Hata Mandela aliitwa gaidi na hao hao Israel.... mind you Serikali ya makaburu ilikua inatambuliwa na Israel. Hawa jamaa wanashabikia kisa udini ila anayofanya Israel yangefanywa na Iran ingekua ishavamiwa na marekani.
Israel imeteka wapalestina elfu 1 umeona wameitwa magaidi? Au udini umekujaaUnateka mpk wamerekani, wathailand hadi watanzania halafu hutaki kuitwa gaidi.
Na hao waliishi kwenye nchi ya canaan iliyokua na wafalme kama kina Rapha, Sihon, n.k. so waliteka nchi ya watu kwa kufanya mauaji ya halaiki. So sio kwamba walikuta ipo wazi.Kabla na baada ya Yesu kuja kulikuwepo na taifa la Israel
Hapana wafilisti walikua ni aegeans yaani jamii ya wagiriki. Walitokana na kina caphtor/Casluh. Ila palestines ni semites waliotokana na makabila ya hapo Palestine kumbuka hata kibiblia Abraham alikua na watoto 5 na hao wote walikua na vizazi hapo hapo palestina. Sijui nini kilitokea hao watoto wa Yakobo ndio wamejihesabia haki wakati urithi ulikua kwa uzao wa Abraham kwa ujumlaHawa wapalestina ndiyo wafilisti?
Kuna ubaguzi mkubwa wa watu weusi katika nchi za kiarabu.Huwa sikisii:
This article is more than 7 months old
Christians are in danger under Israeli government, says Holy Land patriarch
This article is more than 7 months old
Benjamin Netanyahu’s rightwing policies are emboldening attacks on 2,000-year-old community, says Catholic regional leader
Soma: Christians are in danger under Israeli government, says Holy Land patriarch
Iko hivi, wathailand 12 wameachiwa pamoja na waisrael 12 ikiwa ni makubaliano yaliyofanyika Kati ya Israel na Hamas. Sasa tujadili hill jambo. Clemence Mtenga sasa ni marehemu, amefia Gaza. Mpaka sasa maelezo hayajanyooshwa kuwa kafa kwa kombora, au gunshot etc. Vyombo vya habari vinavyojulikana hapa nchini hawakutangaza kuhusu hawa Vijana waliotekwa hata katika tukio la bwana Clemence kufariki. Katika pita pita Zangu mtandaoni niliona kuwa serikali ya Thailand ilifanya makubaliano na Iran ili wananchi wao waachiwe. Lakini bongo kuna watu wengi hawana hata taarifa kuwa kuna Mtanzania kauwawa. Nina unpopular opinion, mimi nadhani ubaguzi wa rangi na udini umefanya hili jambo lisichukuliwe kwa uzito na kusababisha kifo. Inasemekana wapalestina waarabu ni wabaguzi wa rangi kwa black Palestinians....inawezekana Hamas wamemuua kwasababu his, au alishikiliwa na raia na katika missle akawa mhanga. Pili mimi naamini Jina lake lingekuwa Rashid Mtenga, tungekuwa nae....ila kwa kuwa anaonekana sio part ya Islam umma, wala hakuna alietilia maanani kwanzia viongozi wa dini waliotaka kuandamana mpaka serikalini.
Kwanini hao Hamas wasingeteka waisrael tu? Wamarekani, Watanzania au Wathailand wanakosa gani?Israel imeteka wapalestina elfu 1 umeona wameitwa magaidi? Au udini umekujaa
Na hao waliishi kwenye nchi ya canaan iliyokua na wafalme kama kina Rapha, Sihon, n.k. so waliteka nchi ya watu kwa kufanya mauaji ya halaiki. So sio kwamba walikuta ipo wazi.
Hapana wafilisti walikua ni aegeans yaani jamii ya wagiriki. Walitokana na kina caphtor/Casluh. Ila palestines ni semites waliotokana na makabila ya hapo Palestine kumbuka hata kibiblia Abraham alikua na watoto 5 na hao wote walikua na vizazi hapo hapo palestina. Sijui nini kilitokea hao watoto wa Yakobo ndio wamejihesabia haki wakati urithi ulikua kwa uzao wa Abraham kwa ujumla
Wapalestina siyo wafilisti. Kwanza hakuna kabila linaloitwa Wapalestina. Hawa wanaoitwa wapalestina ni waarabu, moja ya jamii ambazo zimekuwa zikiishi pamoja na Waisrael, kwenye ardhi ya Palestine kwa miaka mingi.Unateka mpk wamerekani, wathailand hadi watanzania halafu hutaki kuitwa gaidi.
Kabla na baada ya Yesu kuja kulikuwepo na taifa la Israel na mji wa Gaza ulikuwepo.
Hawa wapalestina ndiyo wafilisti?
Wapalestina siyo wafilisti. Kwanza hakuna kabila linaloitwa Wapalestina. Hawa wanaoitwa wapalestina ni waarabu, moja ya jamii amvazo zimekuwa zikiishi pamoja na Waisrael, kwenye ardhi ya Palestina.
Hamas ukiwaita magaidi sawa na chadema kuwaita kamanda. Fahari yake moyoni sijui itakuwa vipiUnataka mpk wasiyo waisrael halafu unataka wakuite shujaa.
Hamas ni magaidi
Hamas ni magaidi tu hawaepukiki kuitwa hivyoHamas ukiwaita magaidi sawa na chadema kuwaita kamanda. Fahari yake moyoni sijui itakuwa vipi
..Hata mbowe aliitwa gaidi.jee ni gaidi?
Kwani alipopigwa risasi yule bint siku ya maandamano ya chadema alikuwa ktk maandamano? Halafu usiwe punguani unapojadili hoja. Au umeekewa chupa ukalie?Hamas ni magaidi tu hawaepukiki kuitwa hivyo
Hao Wamerekani, Wathailand, warusi na watanzania wanahusika nini kwenye mgogoro wao?
Wangekuwa wanaume si wangetangaza vita, mbona Israel alitangaza vita? Mbona Putin alitangaza vita kwa Ukraine, Hao Hamasi wanashindwa nini kutangaza vita kwa Israel ili wazichape vizuri?
Kwanini hawafunguliwi mashtaka ili wahukumiwe kifungo? Why watekwe kisirisiri huo pia ni ugaidi according to international lawHao wapelestina waliofungwa ndiyo wale waharakati wa kutaka kuifuta Israel pale Middle East
Leverage, kwenye negotiations hauna power unless you have leverage. Yaani huwezi mlazimisha USA aingilie kati unless kuna maslahi yake yameguswa. Hivi bila mateka ceasefire ingefanikiwa?Hamas wasingeteka waisrael tu?
Israel ndiyo waliomteka kumpeleka Gaza!! Endeleeni na ushetani wenu dunia itawachoka mtafanyiwa mnachowafanyia dini nyingine.Kauliwa na Isreal
Sawa yahudi mweusi wa kiboshoHamas ni Magaidi wabaya MNO!
Pole sana yahudi mweusi wa kwa mpalangeKama Hamas wasingevamia Israel yote haya yasingetokea.
Lawama bado zinaenda kwa maghaidi Hamas.