...'Kusambaza taarifa za uongo'...
Katika hali kama hii hili jeshi unalisogeza vipi kwa wananchi?View attachment 3522424
Safari hii mmh!
...'Kusambaza taarifa za uongo'...
Siku hizi Polisi wamekuwa ndiyo mahakama ya kuhukumu watu sasa?!
Mtuhumiwa mtamthibitishaje kusambaza taarifa za uongo hata kabla hamjamfikisha mahakamani?
Wanaothibitisha kuwa hizo ni taarifa za uongo ama za kweli ni mahakama pekee!
Mandate yenu ni kukamata na kumshitaki mtuhumiwa na kumuombea kibali cha kesi kwa Dpp
Kwa taarifa yenu hii Mwandambo kawa mkosa tayari kabla hata hajafikishwa mahakanani!
What for?
Kama samuya mwenyewe ni zero brain vp wasaidizi wake?!.Ni hatari ni zero brain
Huyo Simbachaweni unamuamini?Katika hali kama hii hili jeshi unalisogeza vipi kwa wananchi?
Kwa hali hii Waziri Simbachawene ana mtihani mkubwa mno kwendana na hiyo dhamira ya kufanya mabadiliko ndani ya jeshi la polisi ili kulisogeza jeshi hilo karibu na wananchi kama chombo muhimu kwao.
Kumbe ni mwl wa chekecheaš¤£
Akili kichwani ni zero
Namiliki ni kwa maana ipi sijaelewa.Jina la shule na jina la aliyekamatwa umesoma vizuri? Mitaa anayo ishi unazijua?
Wewe UVCCM unamiliki Nini hapo ulipo?
Mshindi wa 98% anawaogopa hadi walimu wa chekecheaKumbe ni mwl wa chekecheaš¤£
Akili kichwani ni zero