mwehu ndama
JF-Expert Member
- Nov 12, 2019
- 2,472
- 9,542
Kwa huyu kibatala atanyoosha mikono juu
Mzee wa illnois sikukuona kwenye maandamano d25...au ulikua unaandamania huko illnoisWhat a useless country
Yani mtu badala afanye mambo yake a concentrate na kazi yake apokee mshahara wake aende kuinjoi nao na familia yake, akachagua kuwafurahisha manyumbu na wanaharakati uchwara wa mitandaoni...Kumbe ni mwl wa chekechea🤣
Akili kichwani ni zero
Simbachawene anafanya mazingaombwe tu...hilo genge linalotumia vyombo vya ulinzi kusumbua raia wasio na hatia liko juu ya kila kitu....viongozi wa serikali ni kama wanasesere tu....Katika hali kama hii hili jeshi unalisogeza vipi kwa wananchi?
Kwa hali hii Waziri Simbachawene ana mtihani mkubwa mno kwendana na hiyo dhamira ya kufanya mabadiliko ndani ya jeshi la polisi ili kulisogeza jeshi hilo karibu na wananchi kama chombo muhimu kwao.
Pole,Sikudhani kama siku moja nitakuwa upande wa police hadi nilipokutana na posts za huyo mzee
Nwei, mzee Clemence binafsi huwa ananikera huyo mzee sababu ya tabia ya uropokaji,hajiheshimu sifa zimemjaa
Police wafanye kazi yao
Asante mwayaPole,
Usiwe unaangalia clips zake mwaya
Si umwache achague anachopenda,mbona wewe umechagua kuwa chawa na hakuna aliyekubughudhiYani mtu badala afanye mambo yake a concentrate na kazi yake apokee mshahara wake aende kuinjoi nao na familia yake, akachagua kuwafurahisha manyumbu na wanaharakati uchwara wa mitandaoni...
Clemence Mwandambo hater wako huyu hapaSikudhani kama siku moja nitakuwa upande wa police hadi nilipokutana na posts za huyo mzee
Nwei, mzee Clemence binafsi huwa ananikera huyo mzee sababu ya tabia ya uropokaji,hajiheshimu sifa zimemjaa
Police wafanye kazi yao
Ila hatersSasa akafie ndani pumbavu huyu mzee, sijui kwanini mifyongo brain wanamshobekea, hana hata cha maana anachoongea, na tulijua muda sio mrefu ataanza kuingiza udini, akafie xubaaake
Nyumbu nendeni mkamdhamini tenaIla haters
Clemence Mwandambo
Nyumbu nendeni mkamdhamini tena
Mwandambo hadi watu waliokuwa wananikubali walianza kumkataa , hana mipaka na adabu katika uzungumzaji amekuwa akiropoka hovyo kwa misifa mpaka sometimes anajichanganya mwenyeweSikudhani kama siku moja nitakuwa upande wa police hadi nilipokutana na posts za huyo mzee
Nwei, mzee Clemence binafsi huwa ananikera huyo mzee sababu ya tabia ya uropokaji,hajiheshimu sifa zimemjaa
Police wafanye kazi yao
Nipo pamoja na polisi Mwandambo anatumika uhuru wake vibayaPole,
Usiwe unaangalia clips zake mwaya
Shenzi kabisa likafie mbele huko .Sasa akafie ndani pumbavu huyu mzee, sijui kwanini mifyongo brain wanamshobekea, hana hata cha maana anachoongea, na tulijua muda sio mrefu ataanza kuingiza udini, akafie xubaaake
Sio kosa lako, huelewei hata maana ya huo uhuru wenyewe.Nipo pamoja na polisi Mwandambo anatumika uhuru wake vibaya
Ndio ujue sasa nani aliyemtuma huyo SheikhKama sio upumbavu ni nini? Sheikh aliyesema atawakata watu vichwa yupo uraiani.