PostGE2025 Clemence Mwandambo akamatwa (tena) na Polisi kwa tuhuma za kijinai

Conversations and stories after Tanzania's 2025 General Elections
Sikudhani kama siku moja nitakuwa upande wa police hadi nilipokutana na posts za huyo mzee

Nwei, mzee Clemence binafsi huwa ananikera huyo mzee sababu ya tabia ya uropokaji,hajiheshimu sifa zimemjaa

Police wafanye kazi yao
 
Simbachawene anafanya mazingaombwe tu...hilo genge linalotumia vyombo vya ulinzi kusumbua raia wasio na hatia liko juu ya kila kitu....viongozi wa serikali ni kama wanasesere tu....
 
Yani mtu badala afanye mambo yake a concentrate na kazi yake apokee mshahara wake aende kuinjoi nao na familia yake, akachagua kuwafurahisha manyumbu na wanaharakati uchwara wa mitandaoni...
Si umwache achague anachopenda,mbona wewe umechagua kuwa chawa na hakuna aliyekubughudhi
 
Simbachawene hataweza kuwaongoza hawa. Juzi tu katoka kusema kuhusu haya ya kukamata watu kisa mitandanoni sijui wamefanyaje! Leo yanaendelea yaleyale. Tatizo hawa wanapokea orders kutoka kwa watu wengine!! Orders hazieleweki zinatoka wapi, zipi zifatwe, zipi zisifatwe!! Kazi anayo baba wa watu kusafisha hili jeshi.
 
Sikudhani kama siku moja nitakuwa upande wa police hadi nilipokutana na posts za huyo mzee

Nwei, mzee Clemence binafsi huwa ananikera huyo mzee sababu ya tabia ya uropokaji,hajiheshimu sifa zimemjaa

Police wafanye kazi yao
Mwandambo hadi watu waliokuwa wananikubali walianza kumkataa , hana mipaka na adabu katika uzungumzaji amekuwa akiropoka hovyo kwa misifa mpaka sometimes anajichanganya mwenyewe
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…