Xiao qui shui JF-Expert Member Joined Feb 26, 2022 Posts 6,461 Reaction score 11,345 Dec 30, 2025 #41 adriz said: Shenzi kabisa likafie mbele huko . Click to expand...
Huruma siyo malezi JF-Expert Member Joined Jul 18, 2020 Posts 2,168 Reaction score 4,773 Dec 30, 2025 #42 Sawa mbona inafahamika Sheria siyo msumeno
Ponjoro wa Kinondoni JF-Expert Member Joined Jan 5, 2024 Posts 3,771 Reaction score 10,311 Dec 30, 2025 #43 polisi tanzania hamna kazi ya kufanya?
Joanah JF-Expert Member Joined Aug 14, 2016 Posts 26,721 Reaction score 98,896 Dec 30, 2025 #44 adriz said: Mwandambo hadi watu waliokuwa wananikubali walianza kumkataa , hana mipaka na adabu katika uzungumzaji amekuwa akiropoka hovyo kwa misifa mpaka sometimes anajichanganya mwenyewe Click to expand... Mwandambo ni maana halisi ya mtu mzima hovyo
adriz said: Mwandambo hadi watu waliokuwa wananikubali walianza kumkataa , hana mipaka na adabu katika uzungumzaji amekuwa akiropoka hovyo kwa misifa mpaka sometimes anajichanganya mwenyewe Click to expand... Mwandambo ni maana halisi ya mtu mzima hovyo
Smart911 Platinum Member Joined Jan 3, 2014 Posts 179,428 Reaction score 197,153 Dec 30, 2025 #45 Ngoja tuone... Cc: Mahondaw