Clement Mzize ni under 20?

Hapo Gongowazi ni nani mwenye mwili wa miraba minne?

Labda Juma Shabani maana tulimsikia Zahera akimsema kuwa ananenepa hovyo.

Sasa kama kunenepa ndio miraba minne basi siwezi kubisha.
Mwamnyeto, aucho, mzize, hao hakuna anaewafikia hapo kolokolon kwenu
 
Nakumbuka alikuwepo ile stand united iliyoshuka Daraja, muda aliyoichezea na kuja kuachana nayo akaenda kufanya kazi ya bodaboda kabla hajaibukia Yanga na huo umri wake vinatatiza
Ha ha ha ulicheza nae pale Tanita?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…