Clement Mzize ni under 20?

Clement Mzize ni under 20?

Ni ngumu sana kwa watu wa kizazi cha 2000's kudanganya Umri
 
Clement Mzize amechaguliwa kuwa mchezaji bora under 20 kwenye hafla ya utoaji tuzo huko Tanga.

Nampongeza sana lakini kusema ana chini ya miaka 20, mh!
Vijeba mliodumaa utotoni mna chuki za siku zote na watu wenye miili mikubwa. Una kadi yake ya kliniki utuwekee hapa au we ni mama yake mdogo?
 
[emoji38][emoji38][emoji38]under 20 anabadili dini kisa goma la kidigo???
 
Wonder kid onyango alistahiri hii tuzo
20230613_092909.jpg
 
Ha ha ha ulicheza nae pale Tanita?
Alikuwa timu ya Stand united ya Shinyanga ilipokuwa ikicheza ligi kuu bara, iliposhuka daraja aliachana nayo akaenda kuwa bodaboda huko Iringa kabla hajaibukia Yanga
 
Sasa 4m 4 2004, si ana zaidi ya 35 huyu. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Khaaah
FB_IMG_16867464561164163.jpg
 
Back
Top Bottom