Corona2020
Senior Member
- Feb 8, 2020
- 142
- 391
Inashangaza sana Mimi Kuna mchezaji wa kibongo alikuwa anacheza ligi kuu Mimi nipo darasa la nne Ila Leo nimemzidi umriNakumbuka alikuwepo ile stand united iliyoshuka Daraja, muda aliyoichezea na kuja kuachana nayo akaenda kufanya kazi ya bodaboda kabla hajaibukia Yanga na huo umri wake vinatatiza