Nakumbuka alikuwepo ile stand united iliyoshuka Daraja, muda aliyoichezea na kuja kuachana nayo akaenda kufanya kazi ya bodaboda kabla hajaibukia Yanga na huo umri wake vinatatiza
Umri sahihi wa mwanamichezo wa kiafrika ni unachukua umri aliokutajia jumlisha 7. Kama Mzize ana miaka 20 basi jumlisha 7 kupata umri sahihi. Kwa ONYANGO jumlisha 10 maana ile ni SPECIAL CASE.