Wakipekee
JF-Expert Member
- Aug 21, 2019
- 6,194
- 10,711
Bila kucheza YangaFeisal wa leo kimaslahi asingefika hapo bila kupigana vile vita.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Bila kucheza YangaFeisal wa leo kimaslahi asingefika hapo bila kupigana vile vita.
Kuwepo Yanga ni jambo moja na kupigania maslahi ni jambo jingine, hata angebaki Yanga lazima maslahi yangeboreshwa kwa kiwango kikubwa sababu alianzisha vita vya maslahi na akavipigana.Bila kucheza Yanga
Yan unavyoandika kujitafutisha huruma utafikiri sisi ndio tunasoma muandiko wako kwa mara ya kwanza. Mpaka sasa nyie ndio mnaongoza kumpiga majungu Mzize kwa kiwango chake na ndio amewaumbua sasa alivyowaka, sababu mliyobakiwa nayo ni umri eti hamuamini kama dogo ni 21.Nioneshe wapi na lini mimi binafsi nilimponda. Wakati mashabiki wa Yanga wanawakataa Mzize na Musonda, na hii ni juzi juzi tu hapa kuonesha mlivyo vigeugeu, mimi nilikuwa mmoja wa watu wachache niliosema wakiachwa Simba wachukue.
Suala la umri bado lina utata labda ndilo linawapa kigugumizi Yanga na huyo Mzize mwenyewe.
Hakuna anayekatazwa kupigania maslahi yake au kwa kuboreshewa akiwepo hapo hapo au kwa kutafuta malisho sehemu nyingine. Kinachoangaliwa unatumia mbinu kupata maslahi yako?Kuwepo Yanga ni jambo moja na kupigania maslahi ni jambo jingine, hata angebaki Yanga lazima maslahi yangeboreshwa kwa kiwango kikubwa sababu alianzisha vita vya maslahi na akavipigana.
Zungumza kwa ushahidi. Bonyeza kitufe cha duara hapo juu halafu tafuta comments zangu kuhusu Mzize. Ukizipata leta mrejesho.Yan unavyoandika kujitafutisha huruma utafikiri sisi ndio tunasoma muandiko wako kwa mara ya kwanza. Mpaka sasa nyie ndio mnaongoza kumpiga majungu Mzize kwa kiwango chake na ndio amewaumbua sasa alivyowaka, sababu mliyobakiwa nayo ni umri eti hamuamini kama dogo ni 21.
Acheni unafiki bhana mlishashindwa kuzungumza mpira msijikute sasa hivi ndio mna huruma na huyu dogo baada ya kumtukana na kumponda.
Feisal hana mkenge wowote alioingia. Alikuwa sahihi 100% na anavuna alichopanda, kama huamini kaulizie thamani yake pale Azam. Fanya kama unataka kumsajili.Hakuna anayekatazwa kupigania maslahi yake au kwa kuboreshewa akiwepo hapo hapo au kwa kutafuta malisho sehemu nyingine. Kinachoangaliwa unatumia mbinu kupata maslahi yako?
Wakati Feisal na washauri wake wa hovyo wanashauriana ule mchezo mpaka kufikia kuitukana Yanga nyie ndio mlishadadia sana kwa kigezo mnatetea, sasa nyie hao hao eti leo hii mnataka Mzize aingie mkenge uleule aliouingia Feisal. Kwani nyie mnahisi Mzize hajazungumza na wakala wake pamoja na uongozi wa club?
SHIDA YAKO UNAENDESHWA KWA MIHEMKO, UNAUSHAHIDI WA MALIPO YAO YA BANK? KAMA HUNA WE NI MPUMBAVU.Narudia tena feisali analipwa 16m mzinze analipwa 7m, feitoto analipwa pesa mara 2 ya mzize akiwa na kipengele kinachosema akifikisha magoli 10 anapewa 10m.
Huna unachokijua
Huna unachokijua
Huna unachokijua utopolo mkubwa ww