antanarivo
JF-Expert Member
- Jan 9, 2018
- 450
- 883
Hii clinic inafanyika ikiwa na malengo ya kutatua changamoto za kimshahara za walimu yaani waliopunjwa daraja, malimbikizo mbalimbali ya mshahara n.k
Swali langu ni kuwa siku hiohio wakishabaini kuwa huyu mwalimu anapaswa kulipwa anapewa chake au ndo yaleyale ya ombi lako linashughulikiwa?
Kama hawalipi cash naomba tu wasitishe maana watadisappoint walimu wengi maana nimeona mategemeo Yao wasipoona kile walichotarajia watavunjika moyo sana