DOKEZO Clinic ya Marie Stopes Mwanza inatoa huduma za utoaji mimba (abortion)

Hili ni dokezo maalum toka kwa mwananchi mtumiaji wa JF mwenye nia ya kuusaidia umma kuwa na taarifa 'maalum'
Ndio maana nilimwambia huyo mdau kwamba kama anataka apambane ili utoaji uruhusiwe,sio kusema tuangalie hali ya mtoaji,kama tukitaka kuangalia hali ya mtoaji itabidi tuende mbali zaidi tujiulize mbona kuna njia kibao za uzazi,kama alijua hali yake kwanini hakutumia hizo?
 
Na slogan yao ni birth by choice not by chance
 
Wee jamaa hiyo issue ya abortion ni very complicated, omba Mungu yasikukute,. Acha kulaumu na kuharibia watu kazi kwa sababu zako za kisiasa au kidini, mtaani watu wana shida huko, unataka waende sehemu ambazo sio salama wafe au
 
Kuzikusanya wapi. Unajua nimeshiriki hilo kwa muda gani?
Its never too late.
Better late than never.
 
Kweli kabisa hata mimi nimemshangaa
 
Weww sio mtu mzuri kabisa, na hautakuja kufanikiwa kwa roho mbaya yako
 
Wee jamaa hiyo issue ya abortion ni very complicated, omba Mungu yasikukute,. Acha kulaumu na kuharibia watu kazi kwa sababu zako za kisiasa au kidini, mtaani watu wana shida huko, unataka waende sehemu ambazo sio salama wafe au
Kisiasa?
Sheria za nchi ni suala la kisiasa au la kidini?
Mimi nawashauri bora muishawishi serikali iifute sheria ya kuzuia utoaji mimba na iruhusu hilo, kama baadhi ya nchi.
Ila kutetea uvunjaji wa sheria halafu kujificha kwenye 'very complicated' sio sahihi. Hata wezi wanaoiba wengine huwa wanakua na shida sana kimaisha na hivyo na wao tuseme tusiwakemee wala kuwashtaki kwa sababu situation yao ni 'very complex'?
Acha kutetea jinai kwa sababu zisizo na mashiko.
 
Hiki kizazi kina watoto wenye laana manina. Hivi mama zao wangeishi kishetani kama wao ingekuwa vipi?!

MUNGU yupo atawashikisha adabu.
 
mtoa mada wewe ni shetani na una roho mbaya sana. kwani kuna mwanachuo chini ya miaka 18 na akitoa wewe inakuuma nini
Shetani anaepingana na utoaji wa mimba? Kuna kitu shetani anapenda zaidi ya kitendo cha uuaji?
Yaani nina roho mbaya kwa sababu tu napinga utoaji mimba?
Duuuuhhhh!!
 
Reactions: Cyb
Shetani anaepingana na utoaji wa mimba? Kuna kitu shetani anapenda zaidi ya kitendo cha uuaji?
Yaani nina roho mbaya kwa sababu tu napinga utoaji mimba?
Duuuuhhhh!!
unapinga wewe kama nani kwani hii kazi ya kujaji mwachie Mungu atawachoma mwisho wa dunia. acha watu wapate huduma za uzazi salama
 
Wewe unajua Leo hiyo Kaka,hiyo taasisi ndio kazi yake lakini kingine vitendo vya kutoa mimba Ni kawaida at least hapo wanatoa very professional kuliko kwenda kutoa mtaani
 
Kutoa mimba ni dhambi
Tuepuke hii dhambi jamani
..vipi we Hanifa umeshashiriki dhambi hiyo ya kuwatoa watoto mara ngapi,?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…