DOKEZO Clinic ya Marie Stopes Mwanza inatoa huduma za utoaji mimba (abortion)

DOKEZO Clinic ya Marie Stopes Mwanza inatoa huduma za utoaji mimba (abortion)

Hili ni dokezo maalum toka kwa mwananchi mtumiaji wa JF mwenye nia ya kuusaidia umma kuwa na taarifa 'maalum'
Hizi NGOs zenye mrengo wa feminism ni kawaida yao ndiyo maana Magu aliziban, hiyo taasisi hicho wanachofanya ndiyo lengo lao kuu
 
Ila nyie wanaume pia ndo visababishi sana kwenye utoaji mimba, na mara nyingi nyie ndo mnatoa hela ya ku cover gharama ya hiyo dhambi.
Ni Kweli Ni cc nakumbuka nikiwa mbeya bint alipata ujauzito katu katu akagoma kutunza anadai hayuko tayari kwa Sasa kubeba mimba nikamuambia nitamsadia ila hakunisikiaaa bas nikatoa kitita Cha elf 45 akapatiwa tudonge ambazo aliambiwa azinywe na zingine aziweke kwenye ndani ya sehem zake za Siri Kisha mzigo utashukaa wenywew najuta Sana hyo kitu na mbaya Zaid Ni pesa zangu zilitumika kuzitoa

Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom