DOKEZO Clinic ya Marie Stopes Mwanza inatoa huduma za utoaji mimba (abortion)

DOKEZO Clinic ya Marie Stopes Mwanza inatoa huduma za utoaji mimba (abortion)

Hili ni dokezo maalum toka kwa mwananchi mtumiaji wa JF mwenye nia ya kuusaidia umma kuwa na taarifa 'maalum'
Hao Marie kila sehemu hizo huduma wanazo. Ni malegend
yani ya mwenge ndo wanaongoza kwa utoaji mimba na magonjwa ya zinaa toka CHUO CHA USTAWI WA JAMII.
nashauri chuo hiki kimulikwe badala ya kufundisha mambo ya ustawi wa jamii kwa kua wanaharibu jamii badala ya kusaidia jamii, ni full kutoa mimba, wamejaa mafangasi na magono.
mungu epusha hili gharika
 
Ila nyie wanaume pia ndo visababishi sana kwenye utoaji mimba, na mara nyingi nyie ndo mnatoa hela ya ku cover gharama ya hiyo dhambi.
Anakuwa ndo amekupanua anaingiza yale mavyuma ama kakulazimisha? anayefanya ndio anadhambi kubwa ambaye ni mwanamke.
 
yani ya mwenge ndo wanaongoza kwa utoaji mimba na magonjwa ya zinaa toka CHUO CHA USTAWI WA JAMII.
nashauri chuo hiki kimulikwe badala ya kufundisha mambo ya ustawi wa jamii kwa kua wanaharibu jamii badala ya kusaidia jamii, ni full kutoa mimba, wamejaa mafangasi na magono.
mungu epusha hili gharika
Ni hatari
 
manesi wa hapo hawajui kabisa kuchoma sindano....kila anaechomwa lazima tako liote kijipu...WAPENI AJIRA VIJANA NYINYI MARIE STOPES
 
Kimsingi wanawake mkikataa kutoa mimba hiyo dhambi inapotea.
Uko sahihi pia.
Ila mimi nawaza zaidi katika kuwa responsible pande zote mbili. Mara nyingi mwanaume ukiwa supportive kwa mwenza wako ni ngumu sana mwanamke kutoa mimba (labda wale vichwa ngumu). So, kwa upande wangu naona ni suala la ushirikiano zaidi kati yetu sisi wanawake na nyie wanaume.
 
Ushirikiano sawa. Ila anaebeba mimba ni mwanamke. Ndio mwenye jukumu kubwa zaidi.
 
Ushirikiano sawa. Ila anaebeba mimba ni mwanamke. Ndio mwenye jukumu kubwa zaidi.
Ni kweli kaka, ila kumbuka mimba inaingia kwa ushirikiano wa mwanaume na mwanamke. Kwa hiyo ushirikiano huu ukiendelea baada ya mimba kutungwa, ni ngumu kwa mwanamke kuwaza kutoa mimba.
 
Sijamaliza kusoma comment ila nimeona wahuni wamekataa maono ya mtoa mada. Mtoa mada omba samahani tu na useme hutajishughulisha na ya watu.
Watu wapo serious na abortion bwana [emoji23]
Tena bora hapo wanatoa safe abortion sio uchochoroni unakuwa huna Imani [emoji1787]
Em niendelee kusoma comment
 
Back
Top Bottom