Hanifer Mjanja
JF-Expert Member
- Dec 10, 2019
- 217
- 329
- Thread starter
- #321
Wazoefu wanajua mziki wakeMzoefu huyo, brek poumbou
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wazoefu wanajua mziki wakeMzoefu huyo, brek poumbou
Kwa hiyo hakuna haja ya kuripoti huu uvunjaji wa sheria?Abortion kimsingi ni halali kwa sababu ni sheria isiyofuatiliwa, unenforced law.
Ni sawa na boda boda ku overtake kushoto, kitabuni ni kosa, in practice hakuna anaekamatwa.
Kuna celebrity mkubwa alisema mbele ya vyombo vya habari anajuta ametoa mimba tatu za Kanumba, na hakuna aliyeenda kumkamata kwa kukiri hadharani uhalifu wa ku abort mimba za Kanumba. Sio kesi Tanzania
una ushahidiiii??? kwani unadhani shida ni kureport... ukiambiwa leta document na watu waliofanyiwa utaleta?? heshimu ofisi na taasisi za watu.Kwa hiyo nimekosea kuripoti uhalifu humu?
Kwa hiyo kama huna ushahidi wa uhalifu hutakiwi kuripoti? Ni jukumu la kila mwananchi kuripoti uhalifu ambao umeuona; suala la kukusanya ushahidi zaidi ni suala la mamlaka husika.una ushahidiiii??? kwani unadhani shida ni kureport... ukiambiwa leta document na watu waliofanyiwa utaleta?? heshimu ofisi na taasisi za watu.
Unaijua dhambi kweli hiyo serikali yako ilyokuwa madarakan inanuka dhambi mbona hujawahi kusema kama kila dhambi inayofanywa na taasisi unaisemeaNasema njaa kwa sababu nilikubali kufanya kazi hapa nikijua kabisa kinachoendelea, na nimekua nikishiriki hiyo dhambi, ila imefika wakati naona sasa hapana, nimeona niseme tu ili mamlaka husika zichukue hatua. Wewe unajali wao kunyang'anywa leseni ila haujali uuaji wanaoufanya kila siku?
Nchi gani wakati hao viongozi wa nchi ndio wanaongoza kuwa na dhambi wanaiba kura na wizi katika dini haurusii je vipi unakubali kuongozwa na watu waliongia madarakani kwa dhambi ikiwa ww hupendi dhambiLakini ni maamuzi ambayo ni kinyume cha sheria ya nchi.
Hehehe...huo ukimwi wako naona umekupanda kichwani[emoji1787][emoji1787][emoji1787]Mzoefu huyo, brek poumbou
Unacheza wewe[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] Kwani inauma sana ile?
Mimi nimetimiza wajibu wangu kwa kuripoti uvunjifu wa sheria.Unaijua dhambi kweli hiyo serikali yako ilyokuwa madarakan inanuka dhambi mbona hujawahi kusema kama kila dhambi inayofanywa na taasisi unaisemea
Sasa unaanza kuongelea mambo ambayo sina control nayo. Angalau hili lla kuripoti nina control nalo, ndio maana nimeripoti.Nchi gani wakati hao viongozi wa nchi ndio wanaongoza kuwa na dhambi wanaiba kura na wizi katika dini haurusii je vipi unakubali kuongozwa na watu waliongia madarakani kwa dhambi ikiwa ww hupendi dhambi
mpendwa hebu ingia tu hata google uwatafute marie stopes uone kazi zao wanazofanya, so hata serikali inajua wanafanya nini, kwako ni uvunjaji wa sheria lkn wao wana kibali cha kufanya kazi nchini na katika kazi zao abortion ni mojawapoMimi nimetimiza wajibu wangu kwa kuripoti uvunjifu wa sheria.
Mbona umekasirika sana,au we ni doctor mtoa mimba?mtoa mada wewe ni shetani na una roho mbaya sana. kwani kuna mwanachuo chini ya miaka 18 na akitoa wewe inakuuma nini
Kwangu?mpendwa hebu ingia tu hata google uwatafute marie stopes uone kazi zao wanazofanya, so hata serikali inajua wanafanya nini, kwako ni uvunjaji wa sheria lkn wao wana kibali cha kufanya kazi nchini na katika kazi zao abortion ni mojawapo
Lazima tuwalaumu wote wote. Hawa kwa kutoa hiyo huduma wanakiuka sheria za nchi pamoja na kanuni ambayo imewapatia wao usajili wa kutoa huduma za afya nchini, hivyo lazima tuwalaumu na tuwaripoti.Hizo lawama tusiwape Marie stopes, wapeni wanao kuja kutoa mimba na wanao wapa mimba maana wanaogopa kuzaa mtoto atatunzwa na nani ?.
Hahahaha...!Hehehe...huo ukimwi wako naona umekupanda kichwani[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Ifike mahala tuseme tu ya kwamba sio kila mimba iko planned nyingine ni bahati mbaya. Every child to be planned nadhani huo ndio moto wa hii taasisi.
Tukubali tu km mimba sio planned si lazima itunzwe tuna sheria nyingi tu ambazo zinapaswa kufanyiwa marekebisho.
Tuna watoto wengi wa mitaani nyingi mnaosema kila mimba iachwe mmefanya nini kuwasaidia watoto hawa wasio na msaada?
Km huwezi kufanya hiyo kazi sepa acha mambo yaendelee hata viongozi wako wanajua hiyo kitu.
Najua utasema why watu wasex bila kuchukua precaution, hili halikuhusu ni uamuzi wa mtu na km mimba hawajaipanga au wahusika hawajajiandaa itolewe tu.
Ww unasema dhambi waliokuletea dini wenyewe wamelegalise.
Acha mambo hayo kweli niliwahi kufanya usaili pale mwenge japo sikupata ile nafasi ila siungi mkono kuzaliwa watoto bila utayari wa kuwalea.
So,ina maana na wewe unayo kesi ya kujibu kwa kushiriki hiyo jinai hata kama kwasasa umeacha,kwanini hukuripoti toka mwanzo?Hapana, soma vizuri uzi wangu. Nimeona tu siwezi kuendelea kushiriki hili. Nimeamua kupaza sauti ili mamlaka husika zichukue hatua stahiki.