DOKEZO Clinic ya Marie Stopes Mwanza inatoa huduma za utoaji mimba (abortion)

Hili ni dokezo maalum toka kwa mwananchi mtumiaji wa JF mwenye nia ya kuusaidia umma kuwa na taarifa 'maalum'
Wanapata faida mara mbili

Ya kwanza pesa wanayolipwa kwa kufanya hiyo huduma ya utoaji mimba

Ya pili kuuza huo uchafu ambao unatolewa kama mimba, wenyewe wanasema unauzwa kwa pesa nzuri sana kwa ajili ya kutengenezwa mafuta fulani...
Asante kwa maneno kuntu
 
Mtu mzima unajitahidi kupekecha lakini wapi, peke (gololi) zinagusa ukuta wa Makao Makuu ya Chama chetu kileee
 
Simply ondoka hapo katafute maisha sehemu nyingine ? Wewe si umesoma ? Ni competent ? Jiamini na vyeti vyako, maisha sio sehemu moja tu !

Wanaotoa si wameamua wenyewe ? Inakuhusu ?

Sheria ? Ndo kitu gani ? Zimewekwa ili zivunjwe !
Bila shaka wewe ndo mkuu wa hicho kitengo
 
Hongera kwa ujasiri wako.Unaweza kusaidia kutoa ushahidi tulishugulikie immediately?
Niko tayari yes, lakini nitaomba nihakikishiwe usiri.
Maana najua kuwa hii 'biashara' ya utoaji wa mimba wanaopata maslahi nayo ni wengi, kwa hiyo kuna watu hawatafurahia na wakinijua hawashindwi kunidhuru na hata kukatisha uhai wangu.
Na tunafahamu vyombo vyetu vya ulinzi, ukiwa na pesa ni rahisi sana kuvi manipulate vifanye utakacho, ndio maana hii taarifa sikutaka kuitoa polisi maana najua usalama wangu ungekua mashakani mno.
Pia nawaomba na nyie fanyeni uchunguzi wenu mbona ni rahisi sana, sio kwamba hata wanafanya kwa kificho? Hakuna mwanamke kutoka huko kwenu ambae anaweza akaenda clinic yoyote ya Marie Stopes na akasema ana mimba na anataka kuitoa? Mbona mkitumia hiyo mbinu ni mnawadaka wahusika yaani kilaini sana? Kwa sababu kama wengine walivyosema hapa inaonekana hii ishu clinic zao zote nchini zinafanya, na wala sio jambo la kificho..!! Kweli mnashindwa kupandikiza wanawake wakaenda kwenye hizo clinic zao na kusema wanahitaji kutolewa mimba? Ni simple sana kwa sababu wala hawafanyi kwa kificho mbona?
 
Asante sana
 
Marie Stopes ni jina la mtu, one of the founders wa hiyo taasisi. Soma historia yake kwenye link ifuatayo Marie Stopes | British botanist and social worker
Mara nyingi Jina linawakilisha tabia za mtu husika.

Hawa wapo kwa ajili ya kustop maisha ya watoto wanapozaliwa wana record hiyo nchi nyingi duniani.
Hata kenya walishapigwa ban mwaka 2018 kwa tuhuma hizo hizo.

Hata kujifungua kwa kawaida sio jambo la heri kwa wanawake kwenda kupata huduma kwenye hospital zao.
(Asomaye na afahamu)

Nimewafatilia hawa kwa ukaribu.
 
Njoodar utaipenda vyoooni
Kamauuna mume dk huku ujue moto una msubiri mazima
Clinic ya Marie Stopes iliyoko jijini Mwanza wanajihusisha na vitendo vya utoaji mimba. Mimba zinatolewa sana hapa, hasa za wanafunzi wa vyuo vikuu. Mchezo unaofanyika ni kwamba wanawake wanaohitaji hiyo huduma hufika hapo na huulizia huduma ya abortion, au kwa kujifanya mimba imeharibika.

Kinachofuata, mhusika anafanyiwa huduma inaitwa "dilatation and curateage", ambayo kimsingi ni kutanua njia ya shingo ya kizazi, kisha kuharibu mimba kwa kusafisha kizazi.

Sasa, the way wana record hiyo ili kuficha huo uozo ni wana record kama vile mtu alikuja na "miscarriage" tayari au "incomplete abortion" halafu kuwa wao wakasafisha tu kizazi kuondoa mabaki yaliyobaki kwenye kizazi, lakini ukweli ni kwamba wanakua wameharibu mimba na kufanya abortion ila kwenye rekodi zao wanaonyesha kama vile ni incomplete abortion.

Kuna uwezekano pia timu ya usimamizi wa huduma za afya ya halmashauri na hata ya mkoa inajua kabisa mchezo unaoendelea lakini wananyamazishwa kwa bahasha, maana hizi habari ziliwahi kuripotiwa kwao lakini hakukua na hatua zozote ziulizofuata.

Pia, hawa watu kuanzia wakati wa usahili kama unataka kuajiriwa pale kama daktari au muuguzi, wanakuuliza kabisa wewe mtazamo wako kuhusu utoaji mimba ukoje, na wanakupa scenario kuwa ikitokea wakati unatimiza majukumu yako halafu akaja mteja ambae anataka kutoa mimba je utachukua hatua gani? Ukitoa majibu ambayo yanaonyesha kama vile unapinga mambo ya abortion, wanakuchinjia baharini hupati hiyo kazi.

Tukumbuke kuwa kwa nchi yetu, utoaji wa mimba (abortion) ni kinyume cha sheria za nchi.

Nimeona nifichue hili jamani nimechoka vitendo hivi kila siku nashiriki utoaji mimba ila ni kwa sababu ya njaa tu, nimeona nije kutoa ripoti huku, Wizara ya Afya Tanzania fuatilieni hili mchukue hatua.

Nendeni pale kagueni records zao muone walivyo na "incomplete abortion" kibao ambazo wanazifanyia dilatation and curatage, hizo zote ni mimba ambazo zimetolewa hakuna cha incomplete abortion wala nini.

Fanyeni uchunguzi kwa makini, mtagundua kitu, ila msiende kichwa kichwa.

Asante.
 
Asante sana
Tafuteni mdada ambae anajijua ana mimba, kisha aende kupima kwenye moja ya clinic zao. Akipewa majibu kuwa ana mimba, aonyeshe kusikitika na kushtuka, then ataona hapo hapo wataanza kumwambia kuwa wanaweza ichoropoa kama akitaka.
Hakuna kinachofanya kwa kificho, ndio maana baadhi ya members hapa wame comment kuwa ni kitu kinajulikana hata kwa mamlaka, ila wameamua kufumbia macho kwa sababu wanazojua wao.
 
Mara nyingi Jina linawakilisha tabia za mtu husika.

Hawa wapo kwa ajili ya kustop maisha ya watoto wanapozaliwa wana record hiyo nchi nyingi duniani.
Hata kenya walishapigwa ban mwaka 2018 kwa tuhuma hizo hizo.

Hata kujifungua kwa kawaida sio jambo la heri kwa wanawake kwenda kupata huduma kwenye hospital zao.
(Asomaye na afahamu)

Nimewafatilia hawa kwa ukaribu.
Uko sahihi sana.
 
Tafuteni mdada ambae anajijua ana mimba, kisha aende kupima kwenye moja ya clinic zao. Akipewa majibu kuwa ana mimba, aonyeshe kusikitika na kushtuka, then utaina hapo hapo wataanza kumwambia kuwa wanaweza ichoropoa kama akitaka.
Hakuna kinachofanya kwa kificho, ndio maana baadhi ya members hapa wame comment kuwa ni kitu kinajulikana hata kwa mamlaka, ila wameamua kufumbia macho kwa sababu wanazojua wao.
Ooh Asante sana kwa ushirikiano.
 
Clinic ya Marie Stopes iliyoko jijini Mwanza wanajihusisha na vitendo vya utoaji mimba. Mimba zinatolewa sana hapa, hasa za wanafunzi wa vyuo vikuu. Mchezo unaofanyika ni kwamba wanawake wanaohitaji hiyo huduma hufika hapo na huulizia huduma ya abortion, au kwa kujifanya mimba imeharibika.

Kinachofuata, mhusika anafanyiwa huduma inaitwa "dilatation and curateage", ambayo kimsingi ni kutanua njia ya shingo ya kizazi, kisha kuharibu mimba kwa kusafisha kizazi.

Sasa, the way wana record hiyo ili kuficha huo uozo ni wana record kama vile mtu alikuja na "miscarriage" tayari au "incomplete abortion" halafu kuwa wao wakasafisha tu kizazi kuondoa mabaki yaliyobaki kwenye kizazi, lakini ukweli ni kwamba wanakua wameharibu mimba na kufanya abortion ila kwenye rekodi zao wanaonyesha kama vile ni incomplete abortion.

Kuna uwezekano pia timu ya usimamizi wa huduma za afya ya halmashauri na hata ya mkoa inajua kabisa mchezo unaoendelea lakini wananyamazishwa kwa bahasha, maana hizi habari ziliwahi kuripotiwa kwao lakini hakukua na hatua zozote ziulizofuata.

Pia, hawa watu kuanzia wakati wa usahili kama unataka kuajiriwa pale kama daktari au muuguzi, wanakuuliza kabisa wewe mtazamo wako kuhusu utoaji mimba ukoje, na wanakupa scenario kuwa ikitokea wakati unatimiza majukumu yako halafu akaja mteja ambae anataka kutoa mimba je utachukua hatua gani? Ukitoa majibu ambayo yanaonyesha kama vile unapinga mambo ya abortion, wanakuchinjia baharini hupati hiyo kazi.

Tukumbuke kuwa kwa nchi yetu, utoaji wa mimba (abortion) ni kinyume cha sheria za nchi.

Nimeona nifichue hili jamani nimechoka vitendo hivi kila siku nashiriki utoaji mimba ila ni kwa sababu ya njaa tu, nimeona nije kutoa ripoti huku, Wizara ya Afya Tanzania fuatilieni hili mchukue hatua.

Nendeni pale kagueni records zao muone walivyo na "incomplete abortion" kibao ambazo wanazifanyia dilatation and curatage, hizo zote ni mimba ambazo zimetolewa hakuna cha incomplete abortion wala nini.

Fanyeni uchunguzi kwa makini, mtagundua kitu, ila msiende kichwa kichwa.

Asante.
Mbona ndio biashara yao tangu zamani, najua ya Dar lakini
 
Nzasi palee n balaaa niliwahi kukuta ngumi nje gfriend kampigiq jamaa mimba imetokaa akagoma kumwambia alipo..gafla jama kaumwa normal asikute mwanamke yuko na mimba nataka kumwona dk acha kabisa louh
Na usikute mimba haikua ya jamaa? Maana hapa pia kuna wake za watu wanaokuja kutoa mimba za michepuko.
 
Back
Top Bottom