Full charge
JF-Expert Member
- Mar 1, 2018
- 1,678
- 1,617
Mke wang walmfungia kitanz kkafyatuka mimba ikaingia nmeumia sana afu alikuwa akiwaomba wakiangalie wanamjibu kunya ila cyo Mwanza
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mkuu pole sana, naona nafsi imekusuta kwamba umeshiriki kufanya mauaji ya viumbe wasio na hatia wanaosubiri kuletwa duniani. Omba toba kwa Mwenyezi kwa kujutia kwa dhati kabisa kwamba jambo ulilokuwa ukilitekeleza lilikuwa jambo ovu kabisa kulingana na utashi wa kiMungu uliojaliwa, na Mungu atakusamehe.Clinic ya Marie Stopes iliyoko jijini Mwanza wanajihusisha na vitendo vya utoaji mimba. Mimba zinatolewa sana hapa, hasa za wanafunzi wa vyuo vikuu. Mchezo unaofanyika ni kwamba wanawake wanaohitaji hiyo huduma hufika hapo na huulizia huduma ya abortion, au kwa kujifanya mimba imeharibika.
Kinachofuata, mhusika anafanyiwa huduma inaitwa "dilatation and curateage", ambayo kimsingi ni kutanua njia ya shingo ya kizazi, kisha kuharibu mimba kwa kusafisha kizazi.
Sasa, the way wana record hiyo ili kuficha huo uozo ni wana record kama vile mtu alikuja na "miscarriage" tayari au "incomplete abortion" halafu kuwa wao wakasafisha tu kizazi kuondoa mabaki yaliyobaki kwenye kizazi, lakini ukweli ni kwamba wanakua wameharibu mimba na kufanya abortion ila kwenye rekodi zao wanaonyesha kama vile ni incomplete abortion.
Kuna uwezekano pia timu ya usimamizi wa huduma za afya ya halmashauri na hata ya mkoa inajua kabisa mchezo unaoendelea lakini wananyamazishwa kwa bahasha, maana hizi habari ziliwahi kuripotiwa kwao lakini hakukua na hatua zozote ziulizofuata.
Pia, hawa watu kuanzia wakati wa usahili kama unataka kuajiriwa pale kama daktari au muuguzi, wanakuuliza kabisa wewe mtazamo wako kuhusu utoaji mimba ukoje, na wanakupa scenario kuwa ikitokea wakati unatimiza majukumu yako halafu akaja mteja ambae anataka kutoa mimba je utachukua hatua gani? Ukitoa majibu ambayo yanaonyesha kama vile unapinga mambo ya abortion, wanakuchinjia baharini hupati hiyo kazi.
Tukumbuke kuwa kwa nchi yetu, utoaji wa mimba (abortion) ni kinyume cha sheria za nchi.
Nimeona nifichue hili jamani nimechoka vitendo hivi kila siku nashiriki utoaji mimba ila ni kwa sababu ya njaa tu, nimeona nije kutoa ripoti huku, Wizara ya Afya Tanzania fuatilieni hili mchukue hatua.
Nendeni pale kagueni records zao muone walivyo na "incomplete abortion" kibao ambazo wanazifanyia dilatation and curatage, hizo zote ni mimba ambazo zimetolewa hakuna cha incomplete abortion wala nini.
Fanyeni uchunguzi kwa makini, mtagundua kitu, ila msiende kichwa kichwa.
Asante.
Relax.Issue sensitive au umbeya?
Kama una ushahidi nenda wizara ya afya/manispaa tofauti na hapo usituletee ngonjera zako.
Pole sana. Kwa nini usiwachukulie hatua hata kuwapeleka mahakamani na kuwadai fidia? Ukipata mwanasheria anaejielewa unaweza wachomoa milioni za kutosha.Mke wang walmfungia kitanz kkafyatuka mimba ikaingia nmeumia sana afu alikuwa akiwaomba wakiangalie wanamjibu kunya ila cyo Mwanza
Asante sana kwa ushauri mzuri.Mkuu pole sana, naona nafsi imekusuta kwamba umeshiriki kufanya mauaji ya viumbe wasio na hatia wanaosubiri kuletwa duniani. Omba toba kwa Mwenyezi kwa kujutia kwa dhati kabisa kwamba jambo ulilokuwa ukilitekeleza lilikuwa jambo ovu kabisa kulingana na utashi wa kiMungu uliojaliwa, na Mungu atakusamehe.
Sijali wala.Hapa hujahatarisha ajira yako mkuu? Baby by choice no chance ndo slogan yao
Huo ndio tunasema uongo na unafki kama una uchungu sana nenda wizara ya afya ,na kama hutaki kupangiwa nini kimekufanya uanzishe thread? C ungeanzisha thread na bibi yako muwe mnasoma wawili tuRelax.
Huwezi kunipangia pa kuripoti. Kunywa maji, ukojoe then ulale, acha kujichosha bure.
Pole.
Ukuda tena?Acha ukuda
Kafukuzwa kazi huyo amekuja kulia lia hapaHapa hujahatarisha ajira yako mkuu? Baby by choice no chance ndo slogan yao
Ndo nimeshapost thread sasa na hakuna unaloweza kufanya zaidi ya kutokwa povu la OMO.Huo ndio tunasema uongo na unafki kama una uchungu sana nenda wizara ya afya ,na kama hutaki kupangiwa nini kimekufanya uanzishe thread? C ungeanzisha thread na bibi yako muwe mnasoma wawili tu
Clinic ya Marie Stopes iliyoko jijini Mwanza wanajihusisha na vitendo vya utoaji mimba. Mimba zinatolewa sana hapa, hasa za wanafunzi wa vyuo vikuu. Mchezo unaofanyika ni kwamba wanawake wanaohitaji hiyo huduma hufika hapo na huulizia huduma ya abortion, au kwa kujifanya mimba imeharibika.
Kinachofuata, mhusika anafanyiwa huduma inaitwa "dilatation and curateage", ambayo kimsingi ni kutanua njia ya shingo ya kizazi, kisha kuharibu mimba kwa kusafisha kizazi.
Sasa, the way wana record hiyo ili kuficha huo uozo ni wana record kama vile mtu alikuja na "miscarriage" tayari au "incomplete abortion" halafu kuwa wao wakasafisha tu kizazi kuondoa mabaki yaliyobaki kwenye kizazi, lakini ukweli ni kwamba wanakua wameharibu mimba na kufanya abortion ila kwenye rekodi zao wanaonyesha kama vile ni incomplete abortion.
Kuna uwezekano pia timu ya usimamizi wa huduma za afya ya halmashauri na hata ya mkoa inajua kabisa mchezo unaoendelea lakini wananyamazishwa kwa bahasha, maana hizi habari ziliwahi kuripotiwa kwao lakini hakukua na hatua zozote ziulizofuata.
Pia, hawa watu kuanzia wakati wa usahili kama unataka kuajiriwa pale kama daktari au muuguzi, wanakuuliza kabisa wewe mtazamo wako kuhusu utoaji mimba ukoje, na wanakupa scenario kuwa ikitokea wakati unatimiza majukumu yako halafu akaja mteja ambae anataka kutoa mimba je utachukua hatua gani? Ukitoa majibu ambayo yanaonyesha kama vile unapinga mambo ya abortion, wanakuchinjia baharini hupati hiyo kazi.
Tukumbuke kuwa kwa nchi yetu, utoaji wa mimba (abortion) ni kinyume cha sheria za nchi.
Nimeona nifichue hili jamani nimechoka vitendo hivi kila siku nashiriki utoaji mimba ila ni kwa sababu ya njaa tu, nimeona nije kutoa ripoti huku, Wizara ya Afya Tanzania fuatilieni hili mchukue hatua.
Nendeni pale kagueni records zao muone walivyo na "incomplete abortion" kibao ambazo wanazifanyia dilatation and curatage, hizo zote ni mimba ambazo zimetolewa hakuna cha incomplete abortion wala nini.
Fanyeni uchunguzi kwa makini, mtagundua kitu, ila msiende kichwa kichwa.
Asante.
Umekereka sana eeehh mimi kuja kupost hii thread?Kafukuzwa kazi huyo amekuja kulia lia hapa
Acha unoko weye binti[emoji848]Clinic ya Marie Stopes iliyoko jijini Mwanza wanajihusisha na vitendo vya utoaji mimba. Mimba zinatolewa sana hapa, hasa za wanafunzi wa vyuo vikuu. Mchezo unaofanyika ni kwamba wanawake wanaohitaji hiyo huduma hufika hapo na huulizia huduma ya abortion, au kwa kujifanya mimba imeharibika.
Kinachofuata, mhusika anafanyiwa huduma inaitwa "dilatation and curateage", ambayo kimsingi ni kutanua njia ya shingo ya kizazi, kisha kuharibu mimba kwa kusafisha kizazi.
Sasa, the way wana record hiyo ili kuficha huo uozo ni wana record kama vile mtu alikuja na "miscarriage" tayari au "incomplete abortion" halafu kuwa wao wakasafisha tu kizazi kuondoa mabaki yaliyobaki kwenye kizazi, lakini ukweli ni kwamba wanakua wameharibu mimba na kufanya abortion ila kwenye rekodi zao wanaonyesha kama vile ni incomplete abortion.
Kuna uwezekano pia timu ya usimamizi wa huduma za afya ya halmashauri na hata ya mkoa inajua kabisa mchezo unaoendelea lakini wananyamazishwa kwa bahasha, maana hizi habari ziliwahi kuripotiwa kwao lakini hakukua na hatua zozote ziulizofuata.
Pia, hawa watu kuanzia wakati wa usahili kama unataka kuajiriwa pale kama daktari au muuguzi, wanakuuliza kabisa wewe mtazamo wako kuhusu utoaji mimba ukoje, na wanakupa scenario kuwa ikitokea wakati unatimiza majukumu yako halafu akaja mteja ambae anataka kutoa mimba je utachukua hatua gani? Ukitoa majibu ambayo yanaonyesha kama vile unapinga mambo ya abortion, wanakuchinjia baharini hupati hiyo kazi.
Tukumbuke kuwa kwa nchi yetu, utoaji wa mimba (abortion) ni kinyume cha sheria za nchi.
Nimeona nifichue hili jamani nimechoka vitendo hivi kila siku nashiriki utoaji mimba ila ni kwa sababu ya njaa tu, nimeona nije kutoa ripoti huku, Wizara ya Afya Tanzania fuatilieni hili mchukue hatua.
Nendeni pale kagueni records zao muone walivyo na "incomplete abortion" kibao ambazo wanazifanyia dilatation and curatage, hizo zote ni mimba ambazo zimetolewa hakuna cha incomplete abortion wala nini.
Fanyeni uchunguzi kwa makini, mtagundua kitu, ila msiende kichwa kichwa.
Asante.
Sasa mnachotakiwa kufanya ni kufanya advocacy, lobbying na ushawishi kwa serikali ya Tanzania kupitia policy makers na wizara ya afya pamoja na wizara ya sheria ili hiyo sheria ibadilishwe utoaji mimba nchini uruhusiwe. Ila kutoa huduma za kutoa mimba wakati sheria za nchi zinakataza ni jinai, elewa hivyo na elewa kwamba wewe kuwatetea hawa una support jinai.Ifike mahala tuseme tu ya kwamba sio kila mimba iko planned nyingine ni bahati mbaya. Every child to be planned nadhani huo ndio moto wa hii taasisi.
Tukubali tu km mimba sio planned si lazima itunzwe tuna sheria nyingi tu ambazo zinapaswa kufanyiwa marekebisho.
Tuna watoto wengi wa mitaani nyingi mnaosema kila mimba iachwe mmefanya nini kuwasaidia watoto hawa wasio na msaada?
Km huwezi kufanya hiyo kazi sepa acha mambo yaendelee hata viongozi wako wanajua hiyo kitu.
Najua utasema why watu wasex bila kuchukua precaution, hili halikuhusu ni uamuzi wa mtu na km mimba hawajaipanga au wahusika hawajajiandaa itolewe tu.
Ww unasema dhambi waliokuletea dini wenyewe wamelegalise.
Acha mambo hayo kweli niliwahi kufanya usaili pale mwenge japo sikupata ile nafasi ila siungi mkono kuzaliwa watoto bila utayari wa kuwalea.
Kuripoti uvunjaji wa sheria za nchi ni unoko?Acha unoko weye binti[emoji848]
Lakini kwa Tanzania hawajapewa usajili kwa ajili ya kutoa huduma za abortion, kasome hata website yao ya Marie stopes Tanzania.
Kwa sababu abortion kwa Tanzania ni illegal.
Sawa. Natumaini mamlaka husika zitaliona hili na kufanya uchunguzi na kuchukua hatua stahiki.Sijatamka popote kua wanakibali cha kutoa mimba au la! Pitia maelezo yangu tena na tena! Nawajua in and out ikiwa ni kufanya nao kazi!