Dr hyperkid
JF-Expert Member
- Jun 7, 2019
- 12,679
- 25,646
ulitaka mbowe ndio apige picha na wafanya biashara? chadema acheni wivu wa kike
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wewe usimu underrate Mwigulu,ana akili kama mchwa,alijua hilo litatokea hivyo alishajipanga.Ujinga tu!..
Yani Mwigulu awe amewalipa watu wote hao? Saa ngapi hilo tukio la malipo kimefanyika?
Mbona wewe una wivu wa kisengerema? Chadema inaingiaje hapo?ulitaka mbowe ndio apige picha na wafanya biashara? chadema acheni wivu wa kike
Kweli kabisaHebu jiulize vizuri hapo mjinga ni nani?
Kwangu mjinga ni yule aliyeenda kutafuta selfie kwa watu akakimbia vikao vya bunge, anafanya hivyo ili kuwa "prove wrong" wale waliotoa shutuma dhidi yake kwamba yeye ni tatizo, nami naamini ni tatizo kweli, amejaa jeuri, kiburi, na dharau.
Kwa akili zake fupi anadhani kujipeleka kupiga picha na hao aliowaokota ndio kutafuta tuhuma dhidi yake, kumbe ndio kwanza amezidi kujionesha alivyo "bongo movie" asiyefaa kuwa kiongozi, anayetafuta sifa za kijinga ili kuwadanganya wajinga wenzie.
Ashukuru Mungu mamlaka ya uteuzi imezubaa ipo kama haipo, vinginevyo hakutakiwa kabisa kuwepo ofisini tangu wakati ule alipotuambia tuhamie Burundi kwa kupinga tozo, ambazo mpaka leo hatuambiwi zinakusanywa ngapi kwa mwezi, wala matumizi yake yanapelekwa wapi, wizi mtupu.
Ila Urais kwa hutu mnyiramba ataisikia redioni kwa jinsi ileile ambayo Lowassa aliusikia hadi anaugua na sasa yuko kitandaniKama Lowasa na kashfa zake zote bado wananchi walitaka awe rais basi Mwigulu hana hatia kabisa. Usishangae akaja kuwa Rais wako.
LEGACY BADO INATUFUATAIla mkuu Retired majority ya hao kwenye picha wamezaliwa wakati Nyerere ameshakufa. Usimsingizie Baba wa Taifa
Mleta mada mbona kama una chuki binafsi na Mwigulu??Hebu jiulize vizuri hapo mjinga ni nani?
Kwangu mjinga ni yule aliyeenda kutafuta selfie kwa watu akakimbia vikao vya bunge, anafanya hivyo ili kuwa "prove wrong" wale waliotoa shutuma dhidi yake kwamba yeye ni tatizo, nami naamini ni tatizo kweli, amejaa jeuri, kiburi, na dharau.
Kwa akili zake fupi anadhani kujipeleka kupiga picha na hao aliowaokota ndio kutafuta tuhuma dhidi yake, kumbe ndio kwanza amezidi kujionesha alivyo "bongo movie" asiyefaa kuwa kiongozi, anayetafuta sifa za kijinga ili kuwadanganya wajinga wenzie.
Ashukuru Mungu mamlaka ya uteuzi imezubaa ipo kama haipo, vinginevyo hakutakiwa kabisa kuwepo ofisini tangu wakati ule alipotuambia tuhamie Burundi kwa kupinga tozo, ambazo mpaka leo hatuambiwi zinakusanywa ngapi kwa mwezi, wala matumizi yake yanapelekwa wapi, wizi mtupu.
Hili la picha haliondoi malalamiko yaliyokwisha kuwakilishwa kwa waziri mkuu wala kupiga naye picha wapo sawa tu pale hawakuja kama adui bali kujiwakilisha. Kama ni kosa ni la kimfumo. Ndio maana wapinzani wakifika kwenye misiba ya viongozi huwa wanakaa pamoja wanacheka pamoja.Kumnanga haimaanishi kuwa yeye ni adui. Pale walikuwa wakimuwajibisha kwenye kqzi yake. Hapo kwenye selfie ni mambo binafsi
Hata Lissu amepiga picha na raisi, lakini akioanda jukwaani humsema na kumuwajibisha
Ulitaka kina lisu ndio wapate picha na wafanya biasharaMbona wewe una wivu wa kisengerema? Chadema inaingiaje hapo?
Kundi kubwa la watanzania huwa wana ugonjwa wa Upumbavu uliopitiliza hv kama uko mental fit unawezaje kupiga selfie na waziri mpuuzi asiyejielewa na umetoka kumlalamikia juu ya utendaji wake wa kijinga na kipumbavu ndani ya wizara.TUNA SAFARI NDEFU SANA KWA UJINGA HUU.Jee huu ni UNAFIKI au UPUMBAVU? Seriousness ya Watanzania iko wapi? Ndiyo maana Mwigulu anawadharau anajuwa zile ni mbambamba tu. Angalia wajinga hao kwenye clip wanavyogombea kupata selfie na Mwigulu!! STUPID
View attachment 2626100
Iko hivi Huihui2 kwenye mikusanyiko kama ile kuna watu huandaliwa kwa ishu kama hizo na zinazofanana na aidha na mamlaka ama na mtu binafsi mwenye malengo yakeHata kama siyo waliomnanga, lakini wafanyabiashara wote ni wahanga wa Mwigulu Nchemba. Wale waliongea wanawakilisha mawazo ya wote. Kitendo cha kum hug na kupiga naye selfie kina dilute yote yale waliyoongea
Asante Mkuu, nimekupataIko hivi Huihui2 kwenye mikusanyiko kama ile kuna watu huandaliwa kwa ishu kama hizo na zinazofanana na aidha na mamlaka ama na mtu binafsi mwenye malengo yake
Post in thread 'Camouflagers na informers ' Camouflagers na informers
Mtu aliyetuma watu kuandika kwenye madaraja na mawe nchi nzima hii kuwa angekuwa Rais 2015 atashindwaje kufanya igizo lile?Iko hivi Huihui2 kwenye mikusanyiko kama ile kuna watu huandaliwa kwa ishu kama hizo na zinazofanana na aidha na mamlaka ama na mtu binafsi mwenye malengo yake
Post in thread 'Camouflagers na informers ' Camouflagers na informers
Mwigulu ana tatizo gani ambalo wengine huko ccm hawana?Ila Urais kwa hutu mnyiramba ataisikia redioni kwa jinsi ileile ambayo Lowassa aliusikia hadi anaugua na sasa yuko kitandani