Per Diem
JF-Expert Member
- Mar 28, 2018
- 2,189
- 3,724
Ndjo hiki nimewaeleza hawa wanaoshangaa. Magufuli alienda kwenye msiba wa kaka yake mbowe, wakapiga picha wakazungumza.lakini haikuondoa lawama za mbowe kwa Magufuli. Walipomaliza hapo mbowe aliendelea kumpinga kama kawaidaHili la picha haliondoi malalamiko yaliyokwisha kuwakilishwa kwa waziri mkuu wala kupiga naye picha wapo sawa tu pale hawakuja kama adui bali kujiwakilisha. Kama ni kosa ni la kimfumo. Ndio maana wapinzani wakifika kwenye misiba ya viongozi huwa wanakaa pamoja wanacheka pamoja.