Hili la picha haliondoi malalamiko yaliyokwisha kuwakilishwa kwa waziri mkuu wala kupiga naye picha wapo sawa tu pale hawakuja kama adui bali kujiwakilisha. Kama ni kosa ni la kimfumo. Ndio maana wapinzani wakifika kwenye misiba ya viongozi huwa wanakaa pamoja wanacheka pamoja.