Clip ya YouTube Iniesta vs Zidane head to head wazee Zidane aliteswa sana

Ferguson ni shabiki tu anayeendeshwa na kumpenda mchezaji, sikuzote alikuwa anasema Ronaldo ni zaidi ya Messi ila dunia inajua balaa la Messi

Kwahiyo wewe unajua zaidi ya Fergie?

Leta list inayomrank Iniesta hata top 10 ya goats. Nadhani unajua Zizu yupo kwenye kila list.
 
Nimeangalia clip Hadi nmeshangaa zidane anagaragazwa kama mtoto na inesta sasa izo sifa mnazompaga ZIDANE Huwa zinatoka wapi?

Sio Kila Cha kale ni dhahabu
Angalia mechi yote mkuu! YouTube wana post baadhi tu.
Labada useme umechelewa kufatilia mpira. Umefatilia 2010 kombe la dunia ndo maana una msifia sana Iniesta
 
Acha uongo, Zidane ali-peak akiwa Madrid.
 
Iniesta Ni wizard alijificha kwenye soka
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…