Bufa
JF-Expert Member
- Mar 31, 2012
- 12,599
- 26,263
Huyu aliyesema hivi ni Ferguson ambae amewaona wote Iniesta na Zidane.
Kiufupi Zidane ni James Bond, Iniesta ni Inspekta Seba.
😂😂😂
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Huyu aliyesema hivi ni Ferguson ambae amewaona wote Iniesta na Zidane.
Kiufupi Zidane ni James Bond, Iniesta ni Inspekta Seba.
Ferguson ni shabiki tu anayeendeshwa na kumpenda mchezaji, sikuzote alikuwa anasema Ronaldo ni zaidi ya Messi ila dunia inajua balaa la Messi
Angalia mechi yote mkuu! YouTube wana post baadhi tu.Nimeangalia clip Hadi nmeshangaa zidane anagaragazwa kama mtoto na inesta sasa izo sifa mnazompaga ZIDANE Huwa zinatoka wapi?
Sio Kila Cha kale ni dhahabu
Kaka yani watu wa mpira ulimwenguni wamekaa wakapanga rank kulingana na ubora wa mchezaji bado unabisha!!!?Una uhakika Gani walioandaa walikuwa wazima?
Acha uongo, Zidane ali-peak akiwa Madrid.Mzee mbona unakuwa kama vile hujawahi kuchangia kweny mijadiliano ya mpira, hoja yako au yangu kupondwa ni jambo la kawaida sana kweny uchambuzi wa soka.
Sababu zako hazi make sense kwasababu huwez sema scenario ulizoona zidane anatoboa iniesta hawez kutoboa, inaonekana hujamwangalia iniesta akicheza au uko biased, Messi mwenyew ana respect kubwa sana na uwezo wa kimpira wa Iniesta, sometime hadi alisemaga iniesta yuko more technical than him, zidane yupo poa sana ila hajamzidi Iniesta kitu chochote, sio creativity, sio passing, sio dribbling.
Na watu wengi hawajui, prime ya zidane haikuwa alivokuwa anacheza Madrid bali alivokuwa anacheza Juventus, ila watu utawakuta wana praise version ya Zidane ya madrid.
Messi ni bora kuliko Maradona, Maradona ana creativity kubwa sana but wote tunajua defence za zamani zilikuwa shit, ugumu wa kupitisha through pass miaka ya 80s na kupitisha through pass 2010s au 2020s haufanani, today football is very advanced and defenders are trained very strategic kuzuia pass kupita kizembe.
makaveli10
Zero ball knowledgeAcha uongo, Zidane ali-peak akiwa Madrid.
Spain alipigwa Chuma Tatu hiyo mech.Main man umewaona wakicheza against utacheka zidane anaanguka tu Kila akimkaba inesta
What has knowledge got to do with facts? What did Zidane achieve with Juventus compared to Madrid?Zero ball knowledge