Pascal Mayalla
Platinum Member
- Sep 22, 2008
- 53,857
- 121,995
Wanabodi,
Mtu, Taasisi au Chombo chochote kikifanya jambo jema, jambo zuri la kustahili pongezi, mimi huwa napongeza, hivyo hili ni bandiko la pongezi kwa Clouds Media kupitia kipindi chake cha Clouds 360, leo kimemtendea haki Tunda Lissu, na pia kimeitendea haki Chadema, na katika kuzitenda haki hizo, kwa vile Tundu Lissu ni Mtanzania na Chadema ni Watanzania, then Clouds Media kupitia kipindi chake cha Clouds 360, kimewatendea haki Watanzania, Hongera sana, Clouds Media, Hongera sana Clouds 360!, Hongera Babie Kabae, Hassan Ngoma na Sam Ssasali, na Hongera pia, Joseph Kusaga, Mbarikiwe sana!.
Je, Clouds media na Clouds 360, leo wamemtendea haki gani Tundu Lissu, ambayo pia ni kuwatendea Chadema na kuwatendea Watanzania?.
Andamana nami katika bandiko hili, ila
kwa kuanzia sisemi hicho nilichokiona asubuhi hii kwenye Clouds 360, ili kufanya kwanza a little viewership survey wangapi humu jf huwa wanaangalia Clouds 360, na kama wanaangalia jee leo asubuhi, Clouds 360, wamesema nini kumhusu Tundu Lissu?.
Bandiko hili limetembelewa na watu na kuchangiwa na members 39, kati ya hao, ni mmoja tuu aliyetazama Clouds 360.
Walichofanya Clouds Media, 360 ni kitu kizuri sana, wamemtendea haki Tundu Lissu, wameitendea haki Chadema, na kuwatendea haki Watanzania.
Paskali

Tuandamane,Nimeangalia vizuri ni kweli wameonesha clip ya wimbo wa pdidy na hotuba yake kisha wakaijadili kidogo
- Jana Tundu Lissu ametangaza rasmi nia ya kugombea urais kwa tiketi ya Chadema, matangazo hayo yalikuwa live kupitia mitandao ya kijamii.
- This is big news, lakini kwenye taarifa za habari za TV, kwa zile TV mimi nilizotazama, it is as if nothing happened. Hazikuripoti chochote.
- Baadhi ya magazeti yameipa umuhimu mkubwa taarifa hiyo ya Lissu na kuitoa kwenye kurasa za mbele, hivyo katika vipindi vya mapitio ya magazeti huwezi kuikwepa habari hiyo!.
- Lakini amini usiamini, katika TV nilizozifuatilia mimi, habari hiyo imekwepwa jumla isipokuwa kipindi cha Clouds 360.
- Huu ukwepaji wa kumtaja Tundu Lissu sio tuu ni kwenye baadhi ya media bali hata kwenye baadhi ya matukio mfano mzuri ni tukio hili lililotokea wakati Tundu Lissu ndiye alikuwa rais wa chama cha mawakili Tanzania cha Tanganyika Law Society Siku ya Sheria: No mention of Tundu Lissu!, Je ni amesahaulika tu kutajwa, amepuuzwa au ameepukwa?!.
- Leo asubuhi kwenye kupitia magazeti kwenye kipindi cha Clouds 360, kimepitia gazeti la Mwananchi ambalo limeipa umuhimu mkubwa habari hizo.
- Baada ya kulisoma gazeti wakaweka video clip ya Tundu Lissu akitembea na ule wimbo wa P'Didy "I'm coming home", kisha wakaweka kidogo Lissu akiongea. They spend something like 5 min. 5 min ya TV dedicated to Tundu Lissu, sio mchezo!. The normal TV news clip ni just 1 min!.
- Baada ya Clip ndipo ikaanza discussion ambayo nayo ilikuwa very healthy. Alianza Sam Sassali kusema kwa mambo makubwa JPM aliyoyafa, Tundu Lissu anajifurahisha tuu kugombea urais kwasababu he stands no chances!, na kusema Lissu anafit kuwa PM na sio rais!.
- Hassan Ngoma akapokea, kwa kumuuliza Sam, kuwa Lissu stands no chances kivipi?. Sam akasema watu wanalalamika kwanini Lissu anatangaza kugombea huku hayupo nyumbani Tanzania. Ngoma akaipangua kuwa hakuna sheria, kanuni wala taratibu iliyokiukwa inayataka watangaza nia lazima wawepo Tanzania, na kukubali kuwa ni kweli Lissu ana fit kuwa PM, lakini kwa kuzingatia kilichomtokea, then Lissu ni very credible and threat kwa urais.
- Baadae Sam akamponda Lissu, kuwa huwezi kulinganisha sifa za JPM na kumshindanisha na kwenye kugombea urais!. Ngoma akamuuliza Sam, sifa gani ya urais ambayo JPM anayo lakini Lissu hana?. Hassan Ngoma akazitaja sifa za kugombea urais kwa mujibu wa katiba ambazo zote Lissu anazo, na kusisitiza kwa vile wanaomchagua rais wa JMT ni Watanzania, na sio wana CCM, then don't under estimates uwezo wa Watanzania kumchagua mtu wamtakaye, Lissu sio mtu wa kupuuzwa!.
Walichofanya Clouds Media, 360 ni kitu kizuri sana, wamemtendea haki Tundu Lissu, wameitendea haki Chadema, na kuwatendea haki Watanzania.
Paskali