Uchaguzi 2020 Clouds 360, leo imemtendea haki Tunda Lissu, imeitendea haki Chadema, imewatendea haki Watanzania, hongera sana, mbarikiwe sana!

Uchaguzi 2020 Clouds 360, leo imemtendea haki Tunda Lissu, imeitendea haki Chadema, imewatendea haki Watanzania, hongera sana, mbarikiwe sana!

Bills za tra zinatisha! Kodi zilikwepa huko nyuma hakuna aliye tayar kuhamsha hisia za simba aliyelala nawakati umaweza kupita kimya usidhurike

Msafi anaweza lkn mwandamu mwenye makandokando hana uhuru wake
Wajitakase kwanza ndipo watapata credibility ya serikali

Lkn Pasco 360 daima hawaachi kitu hasa huyo ngoma na ameambukiza kabaye naye sasa kakomaa kutembea na line ili hata akitoa nje haina madhara kama rafu ya primetime
 
Wanabodi,

Mtu, Taasisi au Chombo chochote kikifanya jambo jema, jambo zuri la kustahili pongezi, mimi huwa napongeza, hivyo hili ni bandiko la pongezi kwa Clouds Media kupitia kipindi chake cha Clouds 360, leo kimemtendea haki Tunda Lissu, na pia kimeitendea haki Chadema, na katika kuzitenda haki hizo, kwa vile Tundu Lissu ni Mtanzania na Chadema ni Watanzania, then Clouds Media kupitia kipindi chake cha Clouds 360, kimewatendea haki Watanzania, Hongera sana, Clouds Media, Hongera sana Clouds 360!, Hongera Babie Kabae, Hassan Ngoma na Sam Ssasali, na Hongera pia, Joseph Kusaga, Mbarikiwe sana!.

Je, Clouds media na Clouds 360, leo wamemtendea haki gani Tundu Lissu, ambayo pia ni kuwatendea Chadema na kuwatendea Watanzania?.
Andamana nami katika bandiko hili, ila
kwa kuanzia sisemi hicho nilichokiona asubuhi hii kwenye Clouds 360, ili kufanya kwanza a little viewership survey wangapi humu jf huwa wanaangalia Clouds 360, na kama wanaangalia jee leo asubuhi, Clouds 360, wamesema nini kumhusu Tundu Lissu?.

Karibu.
Paskali
Mbowe kavamiwa hujaona hill ili ulaani uhuni huo?
 
Usimtetee. Anahusika moja kwa moja. Alikwishakemea hadharani vyombo vya habari na kusema, "You have no freedom of expression to that extent...". Nani asiyeogopa kesi za uhujumu uchumi za kubambikiziwa bila ya dhamana? Nani asiyeogopa kupotea na kutoonekana tena? Kutekwa? Tuko katika udikteta kwa hiyo kila mwenye biashara yake anajaribu kukaa kimya na kumfurahisha dikteta kipindi chake kipite akiwa salama.
Sikuhizi ata kureport habari za Matukio ya ndani imekuwa ni criminal mimi nimeshapunguza credibility na wala sihangaiki na media za Ndani mana tayari wako na watu special for filtering kipi kiwe broadcasted imagine Lisu katangaza nia na leo Mbowe amekuwa attacked ila kuna radio na Tv husikii kabisa kuchambua izo events wakati ni habari zaidi ya kudonoa donoa kwenye magazeti , Hawa wanao regulate izi media naamini kabisa wala hawana Baraka za Rais ni wao tu wanajiamulia ku oppress sasa imagine kenyan media ziko open kureport yanayojili hapa nchini kuliko hata waliopo hata saivi mimi na relay zaidi on Outside media, local news ntazipata tu humu JF na Twitter na other social network ila sio radio wala TV i dont waste my time
 
Nimeangalia vizuri ni kweli wameonesha clip ya wimbo wa pdidy na hotuba yake kisha wakaijadili kidogo
 
Wanabodi,

Mtu, Taasisi au Chombo chochote kikifanya jambo jema, jambo zuri la kustahili pongezi, mimi huwa napongeza, hivyo hili ni bandiko la pongezi kwa Clouds Media kupitia kipindi chake cha Clouds 360, leo kimemtendea haki Tunda Lissu, na pia kimeitendea haki Chadema, na katika kuzitenda haki hizo, kwa vile Tundu Lissu ni Mtanzania na Chadema ni Watanzania, then Clouds Media kupitia kipindi chake cha Clouds 360, kimewatendea haki Watanzania, Hongera sana, Clouds Media, Hongera sana Clouds 360!, Hongera Babie Kabae, Hassan Ngoma na Sam Ssasali, na Hongera pia, Joseph Kusaga, Mbarikiwe sana!.

Je, Clouds media na Clouds 360, leo wamemtendea haki gani Tundu Lissu, ambayo pia ni kuwatendea Chadema na kuwatendea Watanzania?.
Andamana nami katika bandiko hili, ila
kwa kuanzia sisemi hicho nilichokiona asubuhi hii kwenye Clouds 360, ili kufanya kwanza a little viewership survey wangapi humu jf huwa wanaangalia Clouds 360, na kama wanaangalia jee leo asubuhi, Clouds 360, wamesema nini kumhusu Tundu Lissu?.

Karibu.
Paskali
Paskali,
Akili nyingi sana weye. Najua unajihami kwa sababu unatumia identity yako kuwa ukielezea walichojadili Clouds kuhus CHADEMA yaani kuvamiawa kwa Mbowe na hotuba ya TL basi utaonekana kama vile unawapigia debe CHADEMA. So uwatega watu wao ndiyo wajadili. Mie ninavyokuona ni kama unafuata mkumbo huo huo wa vyombo vingine vya habari ambavyo vinaogopa kuongelea uzuri wa TL na hata vyama vya upinzania. Mimi kwangu naona Gazeti la Mwananchi limekuwa fair kati ya vyombo vyote vya habari na title yake LISU : "Kwa nini nautaka urais". Vyombo ambavyo vinaogopa zaidi ni TV zetu hizi kubwa kubwa. Hamna hata TV moja ambayo at least imechukua hata kasehemu tu ka nusu dakika ka hotuba ya TL. Historia inaandikwa!
 
Nimeacha kuangalia hiyo channel tangu alivyokufa Ruge.

Halafu unavyosema kuwa leo wameitendea haki chadema una maanaisha hao jamaa ni wabaguzi ama?
 
Wanabodi,

Mtu, Taasisi au Chombo chochote kikifanya jambo jema, jambo zuri la kustahili pongezi, mimi huwa napongeza, hivyo hili ni bandiko la pongezi kwa Clouds Media kupitia kipindi chake cha Clouds 360, leo kimemtendea haki Tunda Lissu, na pia kimeitendea haki Chadema, na katika kuzitenda haki hizo, kwa vile Tundu Lissu ni Mtanzania na Chadema ni Watanzania, then Clouds Media kupitia kipindi chake cha Clouds 360, kimewatendea haki Watanzania, Hongera sana, Clouds Media, Hongera sana Clouds 360!, Hongera Babie Kabae, Hassan Ngoma na Sam Ssasali, na Hongera pia, Joseph Kusaga, Mbarikiwe sana!.

Je, Clouds media na Clouds 360, leo wamemtendea haki gani Tundu Lissu, ambayo pia ni kuwatendea Chadema na kuwatendea Watanzania?.
Andamana nami katika bandiko hili, ila
kwa kuanzia sisemi hicho nilichokiona asubuhi hii kwenye Clouds 360, ili kufanya kwanza a little viewership survey wangapi humu jf huwa wanaangalia Clouds 360, na kama wanaangalia jee leo asubuhi, Clouds 360, wamesema nini kumhusu Tundu Lissu?.

Karibu.
Paskali
Siwezi kuangalia Tv za humu maana hawana uhuru wa kuandika ukweli wa roho zao, wataandika unafiki, uongo and the like kuogopa serikali ya Jiwe. Unaangalia nini sasa kama wanatangaza kwa woga wa kufungiwa!
 
Bandiko hili limetembelewa na watu na kuchangiwa na members 39, kati ya hao, ni mmoja tuu aliyetazama Clouds 360.
Nimeangalia vizuri ni kweli wameonesha clip ya wimbo wa pdidy na hotuba yake kisha wakaijadili kidogo
Tuandamane,
  1. Jana Tundu Lissu ametangaza rasmi nia ya kugombea urais kwa tiketi ya Chadema, matangazo hayo yalikuwa live kupitia mitandao ya kijamii.
  2. This is big news, lakini kwenye taarifa za habari za TV, kwa zile TV mimi nilizotazama, it is as if nothing happened. Hazikuripoti chochote.
  3. Baadhi ya magazeti yameipa umuhimu mkubwa taarifa hiyo ya Lissu na kuitoa kwenye kurasa za mbele, hivyo katika vipindi vya mapitio ya magazeti huwezi kuikwepa habari hiyo!.
  4. Lakini amini usiamini, katika TV nilizozifuatilia mimi, habari hiyo imekwepwa jumla isipokuwa kipindi cha Clouds 360.
  5. Huu ukwepaji wa kumtaja Tundu Lissu sio tuu ni kwenye baadhi ya media bali hata kwenye baadhi ya matukio mfano mzuri ni tukio hili lililotokea wakati Tundu Lissu ndiye alikuwa rais wa chama cha mawakili Tanzania cha Tanganyika Law Society Siku ya Sheria: No mention of Tundu Lissu!, Je ni amesahaulika tu kutajwa, amepuuzwa au ameepukwa?!.
  6. Leo asubuhi kwenye kupitia magazeti kwenye kipindi cha Clouds 360, kimepitia gazeti la Mwananchi ambalo limeipa umuhimu mkubwa habari hizo.
  7. Baada ya kulisoma gazeti wakaweka video clip ya Tundu Lissu akitembea na ule wimbo wa P'Didy "I'm coming home", kisha wakaweka kidogo Lissu akiongea. They spend something like 5 min. 5 min ya TV dedicated to Tundu Lissu, sio mchezo!. The normal TV news clip ni just 1 min!.
  8. Baada ya Clip ndipo ikaanza discussion ambayo nayo ilikuwa very healthy. Alianza Sam Sassali kusema kwa mambo makubwa JPM aliyoyafa, Tundu Lissu anajifurahisha tuu kugombea urais kwasababu he stands no chances!.
  9. Hassan Ngoma akapokea, kwa kumuuliza Sam, kuwa Lissu stands no chances kivipi?. Sam akasema watu wanalalamika kwanini Lissu anatangaza kugombea huku hayupo nyumbani Tanzania. Ngoma akaipangua kuwa hakuna sheria, kanuni wala taratibu iliyokiukwa inayataka watangaza nia lazima wawepo Tanzania.
  10. Baadae Sam akamponda Lissu, kuwa huwezi kulinganisha sifa za JPM na kumshindanisha na kwenye kugombea urais!. Ngoma akamuuliza Sam, sifa gani ya urais ambayo JPM anayo lakini Lissu hana?. Hassan Ngoma akazitaja sifa za kugombea urais kwa mujibu wa katiba ambazo zote Lissu anazo, na kusisitiza kwa vile wanaomchagua rais wa JMT ni Watanzania, na sio wana CCM, then don't under estimates uwezo wa Watanzania kumchagua mtu wamtakaye, Lissu sio mtu wa kupuuzwa!.
My Take.
Walichofanya Clouds Media, 360 ni kitu kizuri sana, wamemtendea haki Tundu Lissu, wameitendea haki Chadema, na kuwatendea haki Watanzania.
P
 
Back
Top Bottom