Uchaguzi 2020 Clouds 360, leo imemtendea haki Tunda Lissu, imeitendea haki Chadema, imewatendea haki Watanzania, hongera sana, mbarikiwe sana!

Yani Lisu atoke kutangaza nia baada ya masaa machache Mbowe avamiwe?

Tena avamiwe saa saba usiku alikuwa anatoka wapi?
Kuna dalili ya Lisu kutengenezewa tukio la kufunikwa hapa .

pole sana Mh Mbowe.
Uvamizi huu ni utekelezaji wa azimio la uvccm
Your browser is not able to display this video.
 
Safi sana kaka Paskali. Uko vizuri!
 
Karibu
P
 
Yani kila nilitafuta kitu cha maana hapa sikioni kuhusu jinsi alivyotendewa haki aunt Lee
 
Exactly na watanzania hatupo tayari kuifanya nchi ya majaribio ,tuendelee kulinda amani,umoja na mshikamano wetu .
 
Tusidanganyike !Maendeleo ni Mchakato, yapo mengi aliyofanya Rais wetu na Tunajivunia kua na Rais Mazalendo na Mchapakazi kama Dr.Magufuli ..Tunaendelea Nae...!KURA KWA MAGUFULI
#ChaguaMagufuli
#ChaguaMagufuli
#ChaguaMagufuli
#ChaguaMagufuli
#ChaguaMagufuli
#ChaguaMagufuli
 
Nilipenda sana makala na hoja zake zikigusa maeneo mengi. Leo ni upande mmoja tu kusifia.
Nikiona makala yake huwa nasoma tu kichwa naishia.
Mkuu Mzamifu, karibu katika makala hii, uangalie jinsi ninavyosifu Clouds media.
P
 
Leo Tarehe 7 Septembre, imetimia miaka 4 kamili tangu Tundu Lissu ashambuliwe na watu wasiojulikana ambao mpaka leo ni miaka 4, bado hawatajulikana.

Tumuombee Lissu afya njema na kwenye kuikumbuka siku hii, Mungu amuepushe kupata kitu kinachoitwa "stigimatta"

Pole sana Lissu, survival yako tuu ni muujiza, mwacheni Mungu aitwe Mungu, mengine yote mwachie Mungu.

P.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…