jamani tupunguze chuki clouds ndio waliosafirisha mwili na ndio waliofunga steji na sound mbona kwa hili hamuwapi sifa yao
mbona washereheshaji hawakua wao kama kweli wao ndio waliofunga steji?
Nilikuwa makini sana sebuleni kwangu nikisubili kama watatajwa.Nakuhakikishia kwamba clouds walitajwa.Mimi spendi clouds (i hate them)Lakini jamani inatupasa kuwashukuru na kuwapongeza clouds kwa jambo jema walolifanya,naamini hawajafanya hayo kwa kujikosha au kujipendekeza ndio maana hawkutawala huo msiba kama show yao ya fiesta utaona Dulla wa eatv ndo alikuwa MC.BIG UP CLOUDSmsemaji wa familia hajawataja clouds na adam juma nae hakuwataja achilia mbali ma mc wawili gadner na dullah hawakuwataja huku BONGO RECORDS NA PUSH MOBILES ZIKITAJWA MARA KWA MARA aliyekuja kutaja clouds aka wafu media ni rais wa federation ya wasanii.
Kabla ya kwenda mbele naomba kujua kama wewe ni mtoto wa kiume au wa kikewewe bado haujawa serius na maskio yako, yule msemaji wa familia ya mangwea hakuna mahala alipoitaja hata io clouds media, achilia mbali kuvitaja vituo vingine vya radio,
afadhali...swapendi clouds mimi!
mbona washereheshaji hawakua wao kama kweli wao ndio waliofunga steji?
wewe acha ubishi ile steji na sound imefungwa na prime time ambayo ni kampuni dada ya clouds!! ivi unajua ukiwa mbishi bila kujua unachobisha uzeeni utakua mchawi we jiendekeze tu!!
wewe acha ubishi ile steji na sound imefungwa na prime time ambayo ni kampuni dada ya clouds!! ivi unajua ukiwa mbishi bila kujua unachobisha uzeeni utakua mchawi we jiendekeze tu!!
unamzulumu mtu...halafu akifa unaenda kurusha live inasadia nini sasa...? angalia wanavyoangaika na JD...bint wa watu kajitahidi wao wanampeleka mahakamani ya nini...?
usanisha ichi ulichokiandika hapa na mada hapo juu?? Wew ni hopeless