bily
JF-Expert Member
- Apr 5, 2012
- 8,029
- 5,796
msemaji wa familia hajawataja clouds na adam juma nae hakuwataja achilia mbali ma mc wawili gadner na dullah hawakuwataja huku BONGO RECORDS NA PUSH MOBILES ZIKITAJWA MARA KWA MARA aliyekuja kutaja clouds aka wafu media ni rais wa federation ya wasanii.