Clouds FM inapoteza mvuto au imeshindwa kwenda sawa na mabadiliko na uwepo Radio nyingine?

clouds-pic-data.jpg

Kama ni mfuatiliaji mzuri wa vipindi vya Radio, utagundua kuwa kuanzia saa 12 asubuhi kipindi cha Good Morning kutoka Wasafi FM kinasikilizwa sana mitaani, kwenye madaladala, magari binafsi kuliko ilivyo Power Breakfast ya Clouds FM. Nimeshindwa kuelewa tatizo ni nini kwa Clouds kupoteza usikilizwaji kiasi hiko.

Kipindi cha Good Morning kinafanywa na Salma Dakota, David Rwenyagira, Oscar Kawau, Zungu, Charles William na Babu Zembwela wakati Power Breakfast inaanza na Matei, Khan then wanafuata Fatma (DJ Fetty), Masoud Kipanya, Ceazer, Sasali na Bonge. Tangu kuondoka kwa Gerald Hando ni kama hawajawahi kukaa sawa, bado wakamuondoa Barbara Hassan kumpeleka kwenye TV ndio kabisaaa.

Kwa kiasi kikubwa Clouds kwasasa inabebwa na Leo Tena, Amplifaya na Jahazi, ila PB, XXL, Sports Extra, Ala za Roho vyote vinakufa taratibu.
Shida clouds Ina shida baadhi ya mikoa haiskiki vzr kbs,kama Moshi huku ukiwasha haishiki ,Yani kusikiliza hii radio ni shida, ukiriport hawajali, na kipindi Cha power breakfast kina matangazo mno mvuto hakuna. Kipindi Cha Good Morning Cha wasafi ni kizuri sana, shida pia huku Kilimanjaro hakishiki vzr, lkn wako vzr sana na Kwa Dar unafurahia hakisumbui kbs.

Sent from my M2004J19C using JamiiForums mobile app
 
clouds-pic-data.jpg

Kama ni mfuatiliaji mzuri wa vipindi vya Radio, utagundua kuwa kuanzia saa 12 asubuhi kipindi cha Good Morning kutoka Wasafi FM kinasikilizwa sana mitaani, kwenye madaladala, magari binafsi kuliko ilivyo Power Breakfast ya Clouds FM. Nimeshindwa kuelewa tatizo ni nini kwa Clouds kupoteza usikilizwaji kiasi hiko.

Kipindi cha Good Morning kinafanywa na Salma Dakota, David Rwenyagira, Oscar Kawau, Zungu, Charles William na Babu Zembwela wakati Power Breakfast inaanza na Matei, Khan then wanafuata Fatma (DJ Fetty), Masoud Kipanya, Ceazer, Sasali na Bonge. Tangu kuondoka kwa Gerald Hando ni kama hawajawahi kukaa sawa, bado wakamuondoa Barbara Hassan kumpeleka kwenye TV ndio kabisaaa.

Kwa kiasi kikubwa Clouds kwasasa inabebwa na Leo Tena, Amplifaya na Jahazi, ila PB, XXL, Sports Extra, Ala za Roho vyote vinakufa taratibu.
All of the programs are zero e.g.Millard Ayo amishiwa mpaka anauliza ukivaa chupi Rangi gani inakupendeza hiyo ndiyo Amplifier [emoji350] duuuuh

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom