Clouds FM kuwatema watangazaji PJ, Gerald Hando na Abel Onesmo wa Power Breakfast

Wakitoka hawa jamaa ctosikiliza tena kipindi cha pb coz walikua wananifanya nikipende sana,mfano leo waliokuepo hawajakitendea haki hata kdogo
 
Kama wametufanya wajinga kama siku yenyewe.. Kweli hata wakirudi tena kina Hando na Pj sintasikiliza tena
 
nahis naanza kusikiliza power breakfast, from nw. fina na masood nawakubal sana, kiukwel natangaza rasm kusikiliza radio ya clouds baada ya miaka kama 7.... big up ruge, kumbe kunawakati unaakili?
Tehtehteh unaambiwa Ruge kupambana naye yakuitaji uwe na akili ya ziada, hayo maelezo yaliwahi kutolewa na Shigongo.... huyo ndo mastermind wa kwenye hizi media... naona mchezo kaumaliza ki mafia..
sasa kwamfano unaachaje kusikiliza PB?
 
Wakitoka hawa jamaa ctosikiliza tena kipindi cha pb coz walikua wananifanya nikipende sana,mfano leo waliokuepo hawajakitendea haki hata kdogo
...hando wala hakuwa na jipya zaidi ya kupiga makelele, hapo asset alikua ni pj, nina hakika majembe yaliyoshuka leo utakua unaifungulia pb kuanzia kumi na moja...
 
Hoyeeeeeeee
 
kipanya,fina mango wametak cover
Nahisi hawa Fina Mango na Masoud Kipanya hawajaja jumla hapo Clouds.

Pengine wameletwa maalumu kwa ajili ya siku ya leo tu ili ku snatch attention ya wasikilizaji ukizingatia siku yenyewe ni siku ya wajinga ili watu wadhani kwamba watangazaji wao vipenzi wamerudi kuchukua nafasi za hao Hando na PJ wanaodaiwa kuwa hawatakuwepo tena Clouds.

All in all, kama ni kweli kwamba Fina na Kipanya wameletwa kwa ajili ya leo tu pia ni aina ya ubunifu mzuri kwa Clouds.
 
ni uhakika pj na hando wameenda EFM...na kipanya na fina ndio wameshaingia hivyo mawingu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…