Clouds FM kuwatema watangazaji PJ, Gerald Hando na Abel Onesmo wa Power Breakfast

Kuna wajinga humu kila siku wanafanya kazi ya kuiponda clouds fm. Lakini kwenye huu uzi ndo wa kwanza kuchangia.
 
Wanatapatapa tu. Zama zenu zilishapita bwana Ruge sasa tuna machaguo mengi tu.
 
Dimela au
 
Kuwarudisha Kipanya na Mango ni sign of desperation kuokoa kipindi cha PB baada ya "drunkin patnaz" wangu Hando na PJ kusepa EFM. Clouds wamekosa new talent namna hiyo hadi wawarudishe hao throwbacks?
 
watangazaji tajwa hapo juu wamepiga kazi chini clouds fm
 
Habari ipo nusu nusu, ungeandika na sababu na wanataraj kwenda wapi labda, au ndio mnasheherekea siku kuu yenu?
 
...dah ama kweli leo siku ya wajinga... kipanya na fina wala sio wafanyakazi clouds bali walikaribishwa kwa leo tu...
 
Kuwarudisha Kipanya na Mango ni sign of desperation kuokoa kipindi cha PB baada ya "drunkin patnaz" wangu Hando na PJ kusepa EFM. Clouds wamekosa new talent namna hiyo hadi wawarudishe hao throwbacks?
Ina maana na hawa walikosea tena watawarudisha kina Hando.... Upungufu wa kujielewa tu... Magazeti ndo basi tena mm
 
Hawatawaweza kutubupurudisha Kama kina pj inabidi nitafute radio nyingine ya kusikiliza
 
Captain G bash,,. Ndani ya cloudsfm
 
achilia hawa hii radio imekuwa utaratibu mbovu sana wa kumaliza mkataba na wafanyakazi wake
kumbuka kina
k single
ML chriss
seven aka severina
jumanne kabwela aka jimmy kabwe
mzee wa bambataaa
na wengine wengi sidhani kama wanaweza sema kama were happy during their termination
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…