ashy da don
JF-Expert Member
- Jan 12, 2013
- 615
- 670
Kuna wajinga humu kila siku wanafanya kazi ya kuiponda clouds fm. Lakini kwenye huu uzi ndo wa kwanza kuchangia.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Dimela auKwa msioijua PB ya kipanya na Fina, ndio ulikuwa mwisho wangu wa kipindi cha PB
BADO SIJAPATA MTANGAZAJI KAMA fINA NA mASOUD kIPANYA
HANDO ALIKUWA mamluki tu...kuna wengine wengi wa kufukuzwa clouds, na wamezea mate, wanaiona clouds kama baba yao na mama yao, mmoja wao ni mshamba mmoja alikuwaga mwigizaji
Me mzima sana Allah ana saidia.mekumiss pia rutta, mzima wewe?
kwenye kinena
Ina maana na hawa walikosea tena watawarudisha kina Hando.... Upungufu wa kujielewa tu... Magazeti ndo basi tena mmKuwarudisha Kipanya na Mango ni sign of desperation kuokoa kipindi cha PB baada ya "drunkin patnaz" wangu Hando na PJ kusepa EFM. Clouds wamekosa new talent namna hiyo hadi wawarudishe hao throwbacks?
Hawatawaweza kutubupurudisha Kama kina pj inabidi nitafute radio nyingine ya kusikilizaHabari zinasema kwamba PJ, Abel Onesmo na Gerald Hando watapigwa chini kuanzia mwezi April mwaka huu.
Kwa kawaida, Clouds wana utaratibu wa kutoa mikataba mipya kila ifikapo April 1. Katika zoezi hilo kuna wafanyakazi wapya wanaopewa mikataba na wale wa zamani ambao kituo kinawahitaji "hurenew" mikataba yao.
Imefahamika kwamba PJ , Abel Onesmo na Gerald Hando ambao wote wanatoka kipindi cha Power Breakfast (PB) watapigwa chini mwezi huu au kwa kauli ya mjini ni kwamba "Watatumbuliwa".
Sababu kubwa inayotajwa ya wakongwe hao kupigwa chini ni kushindwa kuendana na taratibu za kampuni hiyo kongwe na kinara katika sekta ya Burudani nchini kwani wanajiona wao wako juu ya watu wote.
Pia inasemekana suala la Rais Magufuli kupiga simu kwenye kipindi cha Clouds 360 limewauma sana kwani walikuwa wanaamini wao ndio kipindi bora zaidi cha asubuhi hivyo Suala la Magufuli kupiga simu 360 limeprove "otherwise".
Inadaiwa kuwa msuguano mkubwa ulianza wakati wa kipindi cha uchaguzi kutokana na kutumika kisiasa na kulipwa na baadhi ya wanasiasa ili watumie Power Breakfast kama jukwaa la kuwasafisha kinyume na maadili ya kazi yao yanayosisitiza "neutrality" katika kutoa habari.
Vilevile habari za kuaminika kutoka ndani ya Clouds zinasema kwamba tayari Clouds Media Group imeajiri vichwa vipya ambavyo kuanzia tarehe 1 vitaanza kupiga kazi.
==============
Mwingine
=============
Vipi washatolewa?!Hawatawaweza kutubupurudisha Kama kina pj inabidi nitafute radio nyingine ya kusikiliza
Unasikia maumivu?Kwahiyo E-Fm kazi yao ni kupokea "makapi" na "waliokatwa"