Clouds FM kuwatema watangazaji PJ, Gerald Hando na Abel Onesmo wa Power Breakfast

Clouds FM kuwatema watangazaji PJ, Gerald Hando na Abel Onesmo wa Power Breakfast

My dear,kwa maandishi haya nachelea kusema huna uthubutu.
Kwanini unafikiri bila ya Hando kipindi kitaflop?
Kwani endapo ikitokea Hando kafariki kipindi kitafutwa?
C'mon kedrick.....
Hapana ila lazima wayumbe c unaonaga pj au hando hata akiwa hayupo unaona kipindi kinavyo pooza
 
za
waache mbwembwe, kwanza hao wanaofukuzwa wote wanavipaji na hawabahatishi, ko sidhani kama watakosa kazi sehem nyingne. Mungu awasimamie, all in all nataka nkaombe kazi pale cloudz ya utangazaji cjui wanataka vigezo gan wakuu?[/QUO
wengine watie maji
 
Kama binadamu.. Wanaweza kukosea... Lkn kuwatoa Hando na PJ ....mmmmmh!!!! Watakua hawajui watendalo. Hivi Yale magazet yatasomeka kweli!?! Fredwaa na mizaa atasikilizwa na nani?! Mfano uchambuzi wa leo ..
watoke efm iongezewe nguvu
 
kumbe wanajifanya wanajua basi ngoja moto uwake dhidi yao wajinga sana.
 
Back
Top Bottom