Clouds FM kuwatema watangazaji PJ, Gerald Hando na Abel Onesmo wa Power Breakfast

image.jpeg
 
Kwahiyo E-Fm kazi yao ni kupokea "makapi" na "waliokatwa"
E-FM ni moja ya radio zinazo sikilizwa na watu wengi nchini ukizingatia population kubwa ya nchi hii hipo Dares-salaam.

Pamoja wako Dar tuu kwa sasa lakini wameshika sana ni moja ya radio bora kabisa!

Kimsingi ukitoa Clouds Fm inayofata ni E-FM..
Eti E Fm yaani wanashuka Kwenye Ndege wanapanda daladala ya Mbezi-Msata
 
waende tu E- fm waendeleze libeneke for sure wasikilizaji wa Clouds watahamia huko kusikiliza magazeti,jamaa ni creative ajabu mm nimesikiliza radio zingine kwenye vipindi vya magazeti ni aibu!wanaongea wanajicheka wenyewe!Wanaofatia kwa karibu kwa vipindi vilivochangamka vya asubui ni E.A fm akina Isack Lukando,Irene Tillya na yule mkenya anayevunja mbavu kwa fixi zake..Labda Clouds wawaibe hao pia kwani si mara ya kwanza wanaibomoa safu ya E.A baada ya kumchukua George Bantu wa Jahazi na Remedy wa XXL vijana hao ni hatari tupu kwenye mike...
 
E-FM ni moja ya radio zinazo sikilizwa na watu wengi nchini ukizingatia population kubwa ya nchi hii hipo Dares-salaam.

Pamoja wako Dar tuu kwa sasa lakini wameshika sana ni moja ya radio bora kabisa!

Kimsingi ukitoa Clouds Fm inayofata ni E-FM..
kimsingi nliacha kuwasikiliza clouds, baada ya fina, na masud kuondoka pb, na hata GH, hakuwa mshabiki wangu, nw husikiliaz 92.9 magic fm has asb kweny kupaka langi, japo washikaji huwa wananiboa kwa mabishano yao yasiyo na msingi, ila walau napata kitu,

siwezi kuwasemea efm maana ki ukwel tofaut na michezo napo mara 1, 1 sana hapana, anyway iwe ni kwel au uongo ila clouds kwangu nawapa 1/50
 
Nimesoma comment mwanzo mwisho ....asilimia 99 hamjui clouds walipotoka ... Clouds haifi kwa mtu kuondoka ... mnajua vichwa vilivyowahi kuondoka tukajua inakufa lakini ipo? Unaweza kuifananisha PB hii na ya akina Fina , Kipanya? mnakumbuka kipindi Amina Chifupa anaiacha leo tena ...ML Chriss na DJ bony love, Seven, Jimmy Kabwe, Mr C, Ibrahim Masoud, George Njogopa n.k
 
e fm ni michezo tu ila ki ukweli hawana vipindi vya maana, huwez kuwalinganisha na clouds hata robo...
....kwa asubuhi magic fm ni kiboko yao...
 
Nimesoma comment mwanzo mwisho ....asilimia 99 hamjui clouds walipotoka ... Clouds haifi kwa mtu kuondoka ... mnajua vichwa vilivyowahi kuondoka tukajua inakufa lakini ipo? Unaweza kuifananisha PB hii na ya akina Fina , Kipanya? mnakumbuka kipindi Amina Chifupa anaiacha leo tena ...ML Chriss na DJ bony love, Seven, Jimmy Kabwe, Mr C, Ibrahim Masoud, George Njogopa n.k
....nakubaliana na wewe mkuu... wanaosema hivo ni wale wasioijua clouds... fikiri mtu kama gadner kaondoka jahazi na ladha ya kipindo ikapungua lakini haijawa sababu ya watu kuacha kusikiliza kipindi kwa vipindi vya jioni bado wanaongoza....
 
Hando na pj ni vichwa szan kama watawatema kzembe
....hapo hando ni wakawaida mno,hana ubora wowote wa kutisha labda useme pj nitakuelewa.... maana bongo hii sijawahi ona mwandishi anayesoma magazeti kama yule..
 
Ila hando akitoka sjui yale magazeti atayasoma nani, maana jamaa huwa anayasoma kwa ustadi sana
I think ni PJ huwa anayasoma Na Hando anasherehesha.

EFM breakfast iko loose kidogo wanaweza kuwa good fit.
 
vip uhusiano wa hao wanaotazamiwa kufukuzwa na mpenzi wake hapo ofisini.....mana kuna watu walishaonya kuwepo kwa mahaba na subordinator wake mambo kama haya ni nadra kutotokea
 
Mwenye
Mahaba lazima atakuwa anawachongea wenzake kwa bosi
 
Back
Top Bottom