Sina chuki mkuu wangu na ni mmja kati ya wafuasi wake, alipohama nikaanza kuisiliza Clouds, lakini sikupata ile radha aliyokuwa nayo RFA. Mkuu sie wengine tumeanza kumfatilia kitambo saana RFA. Kipindi chake cha asubuhi wakati akiwa RFA kilikuwa na wasikilzaji wengi sana.Sio kweli acha chuki zisizo na msingi kwa fredwaaaas
Tuko pamoja mkuu, hebu wampeleke Jahazi labda au powerbreakfast on Saturday, by the way kwa nilivyomsikiliza ruge leo, sioni kama PJ & GH, AO watarudi, na sijui ni nani kati ya hao alihamasisha watu watu wasihudhurie event ya malkia wa nguvuSina chuki mkuu wangu na ni mmja kati ya wafuasi wake, alipohama nikaanza kuisiliza Clouds, lakini sikupata ile radha aliyokuwa nayo RFA. Mkuu sie wengine tumeanza kumfatilia kitambo saana RFA. Kipindi chake cha asubuhi wakati akiwa RFA kilikuwa na wasikilzaji wengi sana.
Unajua sikio lilitaka kuzidi kichwa, kwa kuwa mtoto umleavyo ndivyo akuavyo.Tuko pamoja mkuu, hebu wampeleke Jahazi labda au powerbreakfast on Saturday, by the way kwa nilivyomsikiliza ruge leo, sioni kama PJ & GH, AO watarudi, na sijui ni nani kati ya hao alihamasisha watu watu wasihudhurie event ya malkia wa nguvu
Kweli uhuru wenye mipaka sio mzuri na ukipewa uhuru sana usijisahauUnajua sikio lilitaka kuzidi kichwa, kwa kuwa mtoto umleavyo ndivyo akuavyo.
Rais wako anipenda sana clouds tvSeriously clouds Hamna kitu! Me niliacha kusikiliza officially 2010! Huwezi kuamini lakini ukweli Ndio huo! Tatizo wanajiona wajuaji sana! Clouds tv Ndio sijawahi Kabisa kuangalia! Hata sijui logo Yao inafafanaje labda Kama ndo Ile ya kwenye microphone zao hua naiona kupitia kituo kingine wanapofanya mahojiano Na mtu waandishi wengi wakiwepo including hao clouds!
Sio Swai ni Sweya kijana wa mwanza (msukuma) Paul James SweyaMsomaji c hando ni PJ (poul James swai)
Huyu fredwaaa aliwah kunifanya nisiende shule nikiea fom two...ili nisikilize kile kipindi chake cha asbh anacheka na vitoto vyake studio...mara sindano tano za moto...aisee....Fredwaa anafit sana vipindi vya kuchangamsha wangempa kipindi cha ijumaa ucku ndo saiz yake kama alivyokuwa anabang kwny weekend fever ya RFA
Rais wa CCM Mkuu! Mimi Rais wangu Ni mteja wangu anaeniletea pesa ofisini Mkuu!Rais wako anipenda sana clouds tv
Kaka kipindi kile 2002 lazima asubuhi nimsikilize fred fredwaa.. Sasa hivi kapotezaaHuyu fredwaaa aliwah kunifanya nisiende shule nikiea fom two...ili nisikilize kile kipindi chake cha asbh anacheka na vitoto vyake studio...mara sindano tano za moto...aisee......
Akauliza swali ...Je ni sehem ipi ya mwili inaweza kuongezeka umbo lake mara mbili ya ukubwa wake.....kisha ikasinyaa na kurudi kama ilivyokuwa ......daah fredwaa alipinda aisee....jibu lake sasa akatoa jibu eti ni hiyo mboni yako ya jicho nyeusi...kwenye giza inaongezeka...kwenye mwanga inapungua.....hahaaaaaa jamaa alikuwa nuksiiiiiiii.....miaka ya 2002 hiyo.
Kipindi kingine alichokuwa ananikalisha chini ni kile cha JE HUUUU NI UNGWANAA......LA HASHA HUU SI UNGWANA....ANAMALIZIA NA CHEKO HAHAAAAAAAA
Fred nini tatzo kaka.....au uzee....ulikuwa unajaza sauti kwenye speaker ya radio yoyote ile ..what went wrong???
Imanuel likuda bado yuko Jahazinije na yule mwenzake immanuel
We na huyo "raisi" wako nchi yenu inaitwaje mkuuRais wa CCM Mkuu! Mimi Rais wangu Ni mteja wangu anaeniletea pesa ofisini Mkuu!
Utakua uwatakii mema clouds wewe! Sasa B12 na Adamu wakitoka kipindi kitaitwaje na kitasikilizwa na nani? Kibonde sawaWanafanya kazi kwa mazoea sana..bado na wale kina B12 NA ADAM MCHOMVU NA KIBONDE