Clouds FM kuwatema watangazaji PJ, Gerald Hando na Abel Onesmo wa Power Breakfast

Clouds FM kuwatema watangazaji PJ, Gerald Hando na Abel Onesmo wa Power Breakfast

Sio kweli acha chuki zisizo na msingi kwa fredwaaaas
Sina chuki mkuu wangu na ni mmja kati ya wafuasi wake, alipohama nikaanza kuisiliza Clouds, lakini sikupata ile radha aliyokuwa nayo RFA. Mkuu sie wengine tumeanza kumfatilia kitambo saana RFA. Kipindi chake cha asubuhi wakati akiwa RFA kilikuwa na wasikilzaji wengi sana.
 
Tuko pamoja mkuu, hebu wampeleke Jahazi labda au powerbreakfast on Saturday, by the way kwa nilivyomsikiliza ruge leo, sioni kama PJ & GH, AO watarudi, na sijui ni nani kati ya hao alihamasisha watu watu wasihudhurie event ya malkia wa nguvu
 
Unajua sikio lilitaka kuzidi kichwa, kwa kuwa mtoto umleavyo ndivyo akuavyo.
 
Seriously clouds Hamna kitu! Me niliacha kusikiliza officially 2010! Huwezi kuamini lakini ukweli Ndio huo! Tatizo wanajiona wajuaji sana! Clouds tv Ndio sijawahi Kabisa kuangalia! Hata sijui logo Yao inafafanaje labda Kama ndo Ile ya kwenye microphone zao hua naiona kupitia kituo kingine wanapofanya mahojiano Na mtu waandishi wengi wakiwepo including hao clouds!
Rais wako anipenda sana clouds tv
 
Fredwaa anafit sana vipindi vya kuchangamsha wangempa kipindi cha ijumaa ucku ndo saiz yake kama alivyokuwa anabang kwny weekend fever ya RFA
 
Fredwaa anafit sana vipindi vya kuchangamsha wangempa kipindi cha ijumaa ucku ndo saiz yake kama alivyokuwa anabang kwny weekend fever ya RFA
Huyu fredwaaa aliwah kunifanya nisiende shule nikiea fom two...ili nisikilize kile kipindi chake cha asbh anacheka na vitoto vyake studio...mara sindano tano za moto...aisee....

Akauliza swali ...Je ni sehem ipi ya mwili inaweza kuongezeka umbo lake mara mbili ya ukubwa wake.....kisha ikasinyaa na kurudi kama ilivyokuwa......daah fredwaa alipinda aisee....jibu lake sasa akatoa jibu eti ni hiyo mboni yako ya jicho nyeusi...kwenye giza inaongezeka...kwenye mwanga inapungua.....hahaaaaaa jamaa alikuwa nuksiiiiiiii.....miaka ya 2002 hiyo.

Kipindi kingine alichokuwa ananikalisha chini ni kile cha JE HUUUU NI UNGWANAA......LA HASHA HUU SI UNGWANA....ANAMALIZIA NA CHEKO HAHAAAAAAAA

Fred nini tatzo kaka.....au uzee....ulikuwa unajaza sauti kwenye speaker ya radio yoyote ile ..what went wrong???
 
Huyu fredwaaa aliwah kunifanya nisiende shule nikiea fom two...ili nisikilize kile kipindi chake cha asbh anacheka na vitoto vyake studio...mara sindano tano za moto...aisee......
Akauliza swali ...Je ni sehem ipi ya mwili inaweza kuongezeka umbo lake mara mbili ya ukubwa wake.....kisha ikasinyaa na kurudi kama ilivyokuwa ......daah fredwaa alipinda aisee....jibu lake sasa akatoa jibu eti ni hiyo mboni yako ya jicho nyeusi...kwenye giza inaongezeka...kwenye mwanga inapungua.....hahaaaaaa jamaa alikuwa nuksiiiiiiii.....miaka ya 2002 hiyo.

Kipindi kingine alichokuwa ananikalisha chini ni kile cha JE HUUUU NI UNGWANAA......LA HASHA HUU SI UNGWANA....ANAMALIZIA NA CHEKO HAHAAAAAAAA

Fred nini tatzo kaka.....au uzee....ulikuwa unajaza sauti kwenye speaker ya radio yoyote ile ..what went wrong???
Kaka kipindi kile 2002 lazima asubuhi nimsikilize fred fredwaa.. Sasa hivi kapotezaa
 
Maneno ya Ruge
 
Attachments

  • 1459412589974.jpg
    1459412589974.jpg
    74.7 KB · Views: 57
Back
Top Bottom