Mwanapropaganda
JF-Expert Member
- Aug 19, 2014
- 4,235
- 2,508
Diva naye vipi?Kwani hujui zamaradi na Ruge wakoje? Muulize Dina Marios atakuambia Zamaradi kawa boss lini. Sijaongea kuhusu Diva.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Diva naye vipi?Kwani hujui zamaradi na Ruge wakoje? Muulize Dina Marios atakuambia Zamaradi kawa boss lini. Sijaongea kuhusu Diva.
Kutumbua majipu imekuwa lugha maarufu tangu kuingia madarakani kwa Rais, Dkt John Magufuli. Watumishi wa Umma wanaoshindwa kutimiza vyema majukumu yao wanafukuzwa au kusimamishwa kazi mara moja, huko ndio kutumbua majipu.
Kutumbua majipu kumeanza kutumika katika sekta binafsi ambapo wafanyakazi maarufu wa Clouds Fm, wametumbuliwa.
Habari zinasema kwamba PJ, Abel Onesmo na Gerald Hando watapigwa chini kuanzia mwezi April mwaka huu. Kwa kawaida, Clouds wana utaratibu wa kutoa mikataba mipya kila ifikapo April 1.
Katika zoezi hilo kuna wafanyakazi wapya wanaopewa mikataba na wale wa zamani ambao kituo kinawahitaji "hurenew" mikataba yao.
Imefahamika kwamba PJ , Abel Onesmo na Gerald Hando ambao wote wanatoka kipindi cha Power Breakfast (PB) watapigwa chini mwezi huu au kwa kauli ya mjini ni kwamba "Watatumbuliwa".
Sababu kubwa inayotajwa ya wakongwe hao kupigwa chini ni kushindwa kuendana na taratibu za kampuni hiyo kongwe na kinara katika sekta ya Burudani nchini kwani wanajiona wao wako juu ya watu wote.
Pia inasemekana suala la Rais Magufuli kupiga simu kwenye kipindi cha Clouds 360 limewauma sana kwani walikuwa wanaamini wao ndio kipindi bora zaidi cha asubuhi hivyo Suala la Magufuli kupiga simu 360 limeprove "otherwise".
Inadaiwa kuwa msuguano mkubwa ulianza wakati wa kipindi cha uchaguzi kutokana na kutumika kisiasa na kulipwa na baadhi ya wanasiasa ili watumie Power Breakfast kama jukwaa la kuwasafisha kinyume na maadili ya kazi yao yanayosisitiza "neutrality" katika kutoa habari.
Vilevile habari za kuaminika kutoka ndani ya Clouds zinasema kwamba tayari Clouds Media Group imeajiri vichwa vipya ambavyo kuanzia tarehe 1 vitaanza kupiga kazi.
Clouds nao wametumbua!
Akina Fina MangoWalitoka wakina Masoud hapo..Wao hawatakuwa wa kwanza
Wewe utapata faida gani !?
vyapombeNasubiria kwa hamu kuona kama chapombe Hando atatumbuliwa.
Yuda Hando hajapata mrithi bado kipindi kita flopNasubiria kwa hamu kuona kama chapombe Hando atatumbuliwa.
Mkuu wakitoka tu m naingia ....umeshachelewawaache mbwembwe, kwanza hao wanaofukuzwa wote wanavipaji na hawabahatishi, ko sidhani kama watakosa kazi sehem nyingne. Mungu awasimamie, all in all nataka nkaombe kazi pale cloudz ya utangazaji cjui wanataka vigezo gan wakuu?
Hapana... Fredwaa huyu alikuwaga redio free, kipindi cha mizaa mizaa... Sijui kilikuaga sa mbili vileHivi fredwaa ndo fredy macha wa makala ya salamu kutoka London kwenye gazeti la mwananchi?
Tupo wengi tu sema wengine wanaongozwa na mahaba... Awawezi onaKumbe sijaona mimi tu?
Mzee hapo usiguse, tulia hivyo hivyo!KIBONDE YUMO??????
Kama ni mlevi na kazi yake anafanya vizuri.. Sioni tatizo..... Pj na Hando kiukweli wapo vizuri...vyapombe
hando sijui
pj hata juzi nilimuona kunduchi anakula bia kibonde hata sijui niseme nini maana ni mlevi kupindukia kuna siku nilimuona pale chuo cha uhasibu kalewa anayumbayumba na suti yake mchana wa saa7 hahahah
Basi huyo wa RFA ndo nikajua ni huyo wa kalamu kutoka London.
fredwaa hawezi hiki kipindi, sijui hawaonikama alivyopwaya fredwa leo sidhani kama kitasikilizwa tena aisee. ngojea tuone maana wote wawili hawakuwepo leo pengine utekelezaji ushaanza.
mhhhhhhhhhhhhhhh kuna muda ukimskiliza kibonde unajua kabisa huyu jamaa kalewa ...Kama ni mlevi na kazi yake anafanya vizuri.. Sioni tatizo..... Pj na Hando kiukweli wapo vizuri...