Clouds FM kwanini mnasema wazi kuwa Yanga na Singida BS ni ndugu?

Clouds FM kwanini mnasema wazi kuwa Yanga na Singida BS ni ndugu?

Acha kuppotosha Sam ameongea haoni kama ataona mechi ya kishindani wakicheza yanga na singida though ni maoni yak ndo maana hta watangazaji wenzake wakawa wanampinga. So Acha kuleta uchochezi otherwise leta video ili wadau waone. Usitulishe tango pori hapa

After all historia inaongea. Lini uliwah isikia singida Imeshinda mbelle ya yanga
Lini Simba alifungwa na Singida?
 
Vituo vingi vya redio vina watangazaji Makanjanja, Ukweli ni kuwa Mechi ya kwanza ya Singida Big Star vs Yanga iliyochezwa Aman Stadium Zanzibar

Ndio Mechi pekee iliyokua na ushindani kuanzia kwa Makocha mpaka wachezaji uwanjani.

Ni moja ya Mechi iliyochezwa kwa daraja la juu kabisa la Ushindani uwanjani uku marefa wakichezesha fair kabisa.

Awa wachambuzi njaa wanaolipwa 10,000/= wengi hawana uwezo wa kuchanganua soka.
si mlimfukuza kocha wa Singida bullshit (BS)ili. kuleta kocha atakae kubali maelekezo kutoka kwa Yanga
 
si mlimfukuza kocha wa Singida bullshit (BS)ili. kuleta kocha atakae kubali maelekezo kutoka kwa Yanga

Huyo mla Mihogo hawezi kuelewa kitu kule Utopolo timamu ni wawili tu.

Hajui Mechi kama Ya leo ndio ilimfukuzisha Patric Ausem Uchebe kule Singid.

Alipanga kikosi cha Kwanza na yanga na Kutoa ushindani wa hatari.

Viongozi wa Singida wakamnyoa
 
Tafuta kazi ya kufanya jobless ww
 
Attachments

  • downloadfile-4.jpg
    downloadfile-4.jpg
    155.5 KB · Views: 1
Mechi zao zinakuwa na ushindani pamoja na Simba kushinda au kutoa sare.
Lini Singida alitoa hata sare na Yanga?
Kwani mechi dhidi ya Yanga zinakuwa hazina ushindani? Yanga huwa anamfunga goli ngapi Singida mpaka useme hazina ushindani? Kuna sare ngapi Simba alipata dhidi ya Singida?
 
Huyo mla Mihogo hawezi kuelewa kitu kule Utopolo timamu ni wawili tu.

Hajui Mechi kama Ya leo ndio ilimfukuzisha Patric Ausem Uchebe kule Singid.

Alipanga kikosi cha Kwanza na yanga na Kutoa ushindani wa hatari.

Viongozi wa Singida wakamnyoa
Na Singida wakashinda goli ngapi?
 
Nyie nyuma mwiko kapambaneni na litimu lenu la mjomba wenu madelu....msituchoshe..
Madunduka mnataka muwe mnafunga peke yenu Singida tukimfunga sisi nongwa GSM kanunua mechi
 
Hakuna timu inayo
Hivi umeelewa kweli ulichokiandika, kama kuna timu inayoongoza kuifunga simba kwanini kusiwe na timu inayoongoza kuifunga yanga, ndio unitajie sasa kati ya timu zote ni ipi imeifunga yanga mara nyingi
 
Unataka kusema yanga ilivyofungwa na simba goli 5-1 mwaka 2012 unataka kusema wachezaji wa yanga walihongwa/kununuliwa?
Currently mmefungwa Mara 4 mfululizo na yanga Ina maana wachezaji wenu bado wananunuliwa?
Hivi umeisoma hiyo comment yangu vizuri au umekurupuka ilimradi uonekane nawe umejibu tu
 
Acha kuwa mbumbumbu
Simba na timu yoyote kufungwa ni kawaida
Madrid kafungwa na madogo wa Barcelona lakini hakuna lawama na watu wanachukulia ni matokeo ya football
Yaani Inonga na Manula professional footballer wakongwe ili wafungiwe?
Alaa kumbe mnajua kwamba ni kawaida timu yoyote hata kubwa kufungwa sasa kama mnalijua hilo mbona kutwa kuyashikia bango hayo matokeo, na kudai kwamba simba ni timu ndogo na mbovu kisa tu imefungwa na yanga, kumbe kuna muda akili zenu huwa zinarudi ila kuna muda sijui huwa mnaziacha kwenye madimbwi kule jangwani
 
Alaa, hadi Clouds wanajua? Kweli hakuna siri duniani.
 
Nilichogundua ni kuwa; kocha amewapumzisha wachezaji wasichoke kwa ajili ya next match atayovuna pointi 6. Yeye hakuona umuhimu wa kuwachosha kwa maana alikuwa akijua hawezi kupata matokeo.

Mpira jinsi ulivyo sasa, yaani ukiona huwezi kulata matokeo kabla ya match ni wazi unapanga matokeo.

Hao wachambuzi unaowalaumu mbona wametumia lugha rafiki na yenye tafsida kuwasilisha. Je, wangenyoosha maelezo? Si kingeumana!
 
Alaa kumbe mnajua kwamba ni kawaida timu yoyote hata kubwa kufungwa sasa kama mnalijua hilo mbona kutwa kuyashikia bango hayo matokeo, na kudai kwamba simba ni timu ndogo na mbovu kisa tu imefungwa na yanga, kumbe kuna muda akili zenu huwa zinarudi ila kuna muda sijui huwa mnaziacha kwenye madimbwi kule jangwani
Nilikurekebisha kuacha kutuhumu wachezaji professional wanalipwa pesa Kwa kazi yao ati waliuza mechi
Mtu aumie mazoezini aje auze mechi na akijua mpira ni kazi yake
 
Hivi umeisoma hiyo comment yangu vizuri au umekurupuka ilimradi uonekane nawe umejibu tu
Jibu swali wewe acha kudema dema,mliifunga yanga 6-0,4-1,5-1 kwahiyo kipindi chote iko mlikuwa mkiwahonga wachezaji yanga pesa?
Rage ajengewe sanamu kwa Kuwaita mbumbumbu
 
Nilikurekebisha kuacha kutuhumu wachezaji professional wanalipwa pesa Kwa kazi yao ati waliuza mechi
Mtu aumie mazoezini aje auze mechi na akijua mpira ni kazi yake
Ndio walinunuliwa sasa unabisha nini wakati uongozi wa simba ulifanya uchunguzi na ukathibitisha hilo, Manula alijijua kabisa alitoka kwenye majeruhi na hakuwa na fitness halafu akang'ang'ania kocha ampange kwenye mechi ngumu kama ile, Inonga tuliona kabisa madudu aliyofanya siku ile na magoli karibu yote yalipitia kwake sasa wewe unasema wachezaji hawawezi kununuliwa kwani wao walijua kwamba ingejulikana
 
Back
Top Bottom