Jadda
JF-Expert Member
- May 20, 2019
- 30,567
- 86,748
Sasa simba tangu lini ikawa na utamaduni wa kuhonga wachezaji wa timu pinzani ili ilegezewe, ingekuwa inafanya hivyo basi huko kimataifa ambako kuna timu ngumu na hakuna kuhonga isingekuwa inafanya vizuri, kabla hamjajenga Sanamu la Rage anzeni kwanza kujenga la Eymael maana yeye ndiye alikuwa sahihi kuliko Manara kuwahusuJibu swali wewe acha kudema dema,mliifunga yanga 6-0,4-1,5-1 kwahiyo kipindi chote iko mlikuwa mkiwahonga wachezaji yanga pesa?
Rage ajengewe sanamu kwa Kuwaita mbumbumbu